SAUTI HURU: "CUF yaingia kwa kishindo, yazoa 3,000 wa CHADEMA Arusha!"

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.
 
hao wanaohamia cuf wana akili timamu kweli? Wanategemea kuchukua nchi ya nani? Kwa lipi hasa jipya ambalo cuf wamefanya? Weka picha zao basi au mlisahau kamera zenu visiwani
 
Cuf wahangaike tu! Uchaguzi wa mwisho ulikua cdm buku 56 ccm buku 37 taslim. Endeleeni ku-edit photos na kuandika titles za magazeti.
 
Gazeti huru ni hovyo tu na habari zao, CUF na CCM ni sawa na pete na kidole.
 
Hilo gazeti ni noma. CUF wenyewe kwenye risala yao kwa Sultan walisema wamepata wanachama 100 na hao wanachama 3000 waliwapatia wapi? make kwenye mkutano sijaona mtu akirudisha kadi
 
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.

Ahaa haaa mgosi watafuta habari za ukweli za CUF ndani JF? ni sawa kusema bahari ya Hindi imepita imepita Mashewa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jamani mkutano wenyewe ukitoa watu walioletwa na mabasi kutoka Dar na Morogoro hawakuzidi 100 Na hata ukijumlisha waliotoka Dar na Moro na watu wa Arusha kwa pamoja hawakuzidi 700 sasa hao 3000 wanatoka wapi? au waliimanisha watatu kama ni watatu ni kweli na majina nawafahamu..
 
Hilo gazeti ni noma. CUF wenyewe kwenye risala yao kwa Sultan walisema wamepata wanachama 100 na hao wanachama 3000 waliwapatia wapi? make kwenye mkutano sijaona mtu akirudisha kadi

jiulize tu hao mia wametoka wapi?
 
Wametumia enlarged scale ya 1000:1 (ukitaka kujua namba halisi iliyotajwa unagawanya kwa buku). Walipata wanachama watatu, so wakitumia hiyo scale wanapata 3000, ila sijui kama imani yao ni kuwa enlarged scale itageuka true scale!
 
Ukiangalia kichwa cha habari hapo juu utagundua kuwa unachoenda kukipata si cha kweli na kimejaa uongo ndani yake. Heading hiyo iko kwenye gazeti la sauti huru.

Sauti huru nila kada wa ccm lakini hapa linatumika kujenga uongo wa mchana kweupe! Labda mlioko Arusha mumsaidie muandishi kumuambia ukweli.

Kiwanda cha uongo at work
 
Hahahaha unajua kuna vitu vingine ni vichekecho sana! Yan hata wananchi walio udhuria mkutano wa Cuf hawafiki 3000

Kwakweli hivi ni vichekesho kutoka kwa gazeti hilo!
 
Itabidi Mtatiro aje hapa atueleze kama mpinzani wa CUF ni CDM ambayo bado haijakamata dola na sio CCM iliyokamata dola. Kumpinga mpinzani mwenzio na kumuacha aliyekamata dola, hata kama ni mumeo, ni uendawazimu wa hali ya juu. Sidhani kama kuna mwananchi atajiunga na chama kisicho na malengo ya kuchukua dola bali lengo ni kulinda ndoa akina Maalim Seif waendelee kula bata SUK huku wana Tandahimba wamedhulumiwa fedha za korosho na serikali ya mume wa chama chao
 
Back
Top Bottom