wewe ulieandika hii thread nami kwa mamlaka nilioyopewa na wanakijiji wa kijiji cha butumba natangaza rasmi kwamba tumekutuku u DAKTARI wa Utafiti kuanzia leo utaitwa Dr. Whisper
kigomakwetu husomeki mwanakwetu. Slaa ni rais wako, bado kitambo kidogo tu. Tena acha Slaa aitwe Prof. Ww unafikiri Slaa na wale wakina Magembe pale mjengoni nani zaidi. Infwakti Jakaya ametuangusha sna Watz.
wewe ulieandika hii thread nami kwa mamlaka nilioyopewa na wanakijiji wa kijiji cha butumba natangaza rasmi kwamba tumekutuku u DAKTARI wa Utafiti kuanzia leo utaitwa Dr. Whisper
Naungana na mleta mada. Kuanzia leo tunatangaza rasmi jamii forum kumuita Dk Slaa *Frofessor*.
Naunga mkono hoja.
Kweli huyo anafaa kuwa professor wa kushughulikia wake za watu. Josephine?