Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

na muheshimiwa Vasco da Gama,amefudhu sasa kuwa prof.baada ya kufanya safari za nje za kutosha
 
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

Hivi kijana wetu umesema tarehe ya kumpongeza kuwa prof. Ni lini vile
 
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.

Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!

Mimi nijuavyo maproffessor kwao ni vyuoni ama kwenye maabara ili watuletee mambo mapya. Mwanasiasa akishakuwa proffesor ujue pumba ndizo zinachukua nafasi. Mwanasiasa akiwa proffessor tegemea akili za kitaahira kwenye maamuzi. mimi naona unamtabiria anguko kuliko kumsifia bora tu tuendelee kumuita PADRE maana yake ni BABA! dr. Slaa ni baba kuliko professor. Chukua mifani hii
1. Prof. Bingu wa Mutharika - aliua uchumi wa malawi hadi kawaacha wananunua bidhaa kwa foleni!
2. Prof. Mungai - aliua elimu ya Tanzania kwa kubadili mitaala kila mwaka na kibaya zaidi kulazimisha somo la kifaransa wakati anajua hana walimu!
3. Prof kigoma ali malima - Alipopewa tu wizara ya fedha kutoka kwa kibona ndipo shillingi ya tanzania ikaokota mporomoko! akageuza wizara kuwa msikiti kibaya zaidi alifariki akiwa anaimarisha chama chake cha kidini!
4. prof. Juma kapuya - alikuwa anaipendelea simba mpaka inatia aibu. Alikuwa anawahi mashindano ya Umiss huku apointment za maana hazichukulii uzito.
5. Prof. Lipumba - CUF kaipeleka kaburini
6. Prof. pro, pro, prof, - (na ninyi jazeni wa kwenu!)

mahaba yatakuua wewe! Nyie ndo mnakunywaga supu ya.,.....duh ngoja niache make
 
Maprofessor mbona wapo wengi yupo Prof J, Prof Maji Marefu..
 
Sishangai,alipomaliza Diploma akapewa PHD bila ya kupitia undergraduate,wala Masters sasa mnampa u Profesa kwa zile hotuba za kukomesha nyumba za nyasi within 5 years, cement elf 5 mfuko.hiko chuo kinachotunuku hiyo Professorhood kitakuwa Arumeru mashariki!
 
Mimi nijuavyo maproffessor kwao ni vyuoni ama kwenye maabara ili watuletee mambo mapya. Mwanasiasa akishakuwa proffesor ujue pumba ndizo zinachukua nafasi. Mwanasiasa akiwa proffessor tegemea akili za kitaahira kwenye maamuzi. mimi naona unamtabiria anguko kuliko kumsifia bora tu tuendelee kumuita PADRE maana yake ni BABA! dr. Slaa ni baba kuliko professor. Chukua mifani hii
1. Prof. Bingu wa Mutharika - aliua uchumi wa malawi hadi kawaacha wananunua bidhaa kwa foleni!
2. Prof. Mungai - aliua elimu ya Tanzania kwa kubadili mitaala kila mwaka na kibaya zaidi kulazimisha somo la kifaransa wakati anajua hana walimu!
3. Prof kigoma ali malima - Alipopewa tu wizara ya fedha kutoka kwa kibona ndipo shillingi ya tanzania ikaokota mporomoko! akageuza wizara kuwa msikiti kibaya zaidi alifariki akiwa anaimarisha chama chake cha kidini!
4. prof. Juma kapuya - alikuwa anaipendelea simba mpaka inatia aibu. Alikuwa anawahi mashindano ya Umiss huku apointment za maana hazichukulii uzito.
5. Prof. Lipumba - CUF kaipeleka kaburini
6. Prof. pro, pro, prof, - (na ninyi jazeni wa kwenu!)

hiyo no. 2 Professor Mungai yupi? Huo uprofessor ulimpa ww?
 
Jamani malumbano ya nini tena,mi nadhani wote tunajenga nyumba moja sioni haja ya kugombea ufito!
 
Tunamtambua kwa kazi alizoifanyia Tanzania na umma wake,hakika anastahili aitwe na apewe heshima ya kuwa miongoni mwa wanafalsafa wa karne ya 21 ...Hongera Prof Slaa!!
 
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii

Na wewe umepagawa si bure, kama Nundu vile nani kakutuma hapa JF kuleta kichefuchefu au kujitia kichefuchefu wakati uko mtupu kuanzia kichwani hadi kwenye kucha? Mawazo hayana tija ila mfilisi halafu unajidhalilisha eti KIGOMA KWETU akina Zitto hawawezi kuwa kama wewe...kichwa kama MAIGE!
 
hiyo itakua ni kuendekeza yaleyale tunayoyakataa humu ya kuvikana vilemba vya ukoka... profesa haandaliwi kwa kusoma/kuandika hotuba

sidhani kama hii ni progressive if we really want to nurture education

You are wrong professor anatokana kwa kufundisha na kuwa na falsafa zake
the guy did both
 
Back
Top Bottom