Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

kigomakwetu husomeki mwanakwetu. Slaa ni rais wako, bado kitambo kidogo tu. Tena acha Slaa aitwe Prof. Ww unafikiri Slaa na wale wakina Magembe pale mjengoni nani zaidi. Infwakti Jakaya ametuangusha sna Watz.
 
Nami kwa heshima ya watu wa Nshamba Muleba.. Nakupa 100,kwa kumtambua Slaa. Lile zaidi ya Jembe.
 
wewe ulieandika hii thread nami kwa mamlaka nilioyopewa na wanakijiji wa kijiji cha butumba natangaza rasmi kwamba tumekutuku u DAKTARI wa Utafiti kuanzia leo utaitwa Dr. Whisper

Nakuunga mkono mkuu. Kuna maprof uchwara wngi bongo. Kufundisha hawsaju, kuleta maendeleo hawaju, siasa hawajui na tena wachojua ni KUJIGAMBA tu "U know when I was making may 2nd Phd at Harvard University......" I made my 1st research at.........
 
kigomakwetu husomeki mwanakwetu. Slaa ni rais wako, bado kitambo kidogo tu. Tena acha Slaa aitwe Prof. Ww unafikiri Slaa na wale wakina Magembe pale mjengoni nani zaidi. Infwakti Jakaya ametuangusha sna Watz.

ashakum




Junior Member Array


Join Date : 25th April 2012
To Do Special Work
With Another JF Account

Posts : 8
Rep Power : 302
Likes Received 0

Likes Given 0




ashakum, moto wa Prof. Slaa huwezi kuuzima.
 
Naunga mkono hoja.

MAWAZO YAKO NI MAZURI SANA. ILA WEWE UNATEGEMEA NINI KAMA PROFESSOR SLAA AKICHUKUA NCHI? Nakupa usia mmoja tuu . Usimpende mwanasiasa asemaye maneno mengi sana ila hataji ni kwa jinsi gani atatatua tatizo la ajira kwa watanzania.

Hali ya kukosa ajira kwa watanzania ni mbaya sana kutokana na sisi watanzania kuwapenda viongozi wasemao sana bila kutujali maisha yetu. Si unakumbuka mwaka 1982 waziri wetu mkuu aliwahi kutembelea Mtwara na kuwakuta 60% ya watu wapo nusu uchi akimsikiliza mkutanoni? hawakususa kwenda mkutanoni kugomea hali mbaya ya maisha ila walikwenda kumsikiliza kiongozi maneno yake ya unabii wa uongo. wanasiasa wengi na wasomi wengi sana hapa TZ ni anti western europe and anti -semites(wachukia wayahudi) huwezi kutatuliwa ajira ikiwa una watu kama hao ktk jamii. ndio maana nakuambia kuwa TANZANIA ITAJENGWA NA MTOTO ALIYEZALIWA JANA!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom