Sasa ndio Nimejua chanzo cha kupigwa Marufuku "Bunge Live" na Mikutano Ya Kisiasa

Sasa hamna chama tena cha upinzani Chadema imegeuka kuwa Press conference Party.

Umekosea, ungesema; Chadema imeamua kufanya PCs badala ya mikutano ya hadhara?? Nadhani ungelikuwa umewafungua macho wanao wanyima hata mikutano ya ndani mkuu.
 
Umeainisha vizuri sana kiongozi. Mi nashindwa kabisa kuelewa vyama vya upinzani sijui shabaha yao ni ipi au ndo kupinga kila kitu labda.
Hivi vyama vimegeuka kuwa Press conference Party. Leo utasikia Sumaye kesho mbowe next Tundu Lissu next Bavicha. Hiyo inaonyesha Chadema hakina mwelekeo na hakifai kuongoza nchi. Kipo very disorganized party
 
Kama tukiwa na watu 2 ka wewe, nadhani tutakuwa watu wenye akili finyu sana. Nimeisoma thread yako yote sikuona mahali ulipo eleza sababu genuine ya kufungia bunge live. Pia hayo mabadiliko anayotaka kuyaleta sijaona aliloleta kwa kufungia bunge live na mikutano ya hadhara. Kama ni kuizuia mikutano azuie vyama vyote na yeye pia asihutubie atende tu kama anavyotenda bila mikutano. Wanyamwezi husema; Actions speaks louder than words. Na mswahili akasema, Ada ya mja kunena, muungwana, vitendo.
Kila mmoja wetu, anaingojea hiyo 2020 kwa hamu. Yaani, siku haziendi kabisaaaaa.
Kufungia bunge kumezuia upotoshaji wa malengo ya serikali kutuletea maendeleo ambao ungefanywa na wapinga maendeleo wa taifa letu "at massive level" - Wewe fikiria kuna upotoshaji na kubeza juhudi za serikali humu JF ambao sisi wengine tunaweza kuchambua na kuona mchele ni upi na chuya ni nini! Lakini kama bunge linge achiwa live kuna watu wengi wange weza kurubuniwa na hao maadui wa taifa wa ndani na ingekuwa siyo rahisi kuendelea kuleta maendeleo. Imagine mbunge - MwifwaJF-Expert Member asimame aulize swali hili bungeni!:
"Jamani Bombardier itaachiwa lini, maana Lumumba wamepata kichaa".
Au Mbunge ObumaJF-Expert Member anasimama na kusema haya :
"Kwa kweli hili jukwaa limekuwa na watu wajinga mno. Mleta uzi ni miongoni mwao". Wasikilizaji na watazamaji wengine kama bunge ni live watawaiga hawa watu (wabunge) na kuona ni role model na wao wataanza kufanya kama wao- hivyo ile mbiu ya "HAPA KAZI TU" hawataweza kuikubali. Lakini kwa sababu bunge siyo live wanaopotoshwa siyo wengi na taifa linazidi kunyooka!
 
Kwa kweli hili jukwaa limekuwa na watu wajinga mno. Mleta uzi ni miongoni mwao.

Mjibu hoja zake badala ya kum-attack personality yake. Kupishana mitazamo, maono, misimamo ni moja ya mambo yanatufanya tuitwe binadamu.
Kama hukubaliani na hoja zake; pambana kwa hoja
 
Wakati Rais Magufuli alipoingia madarakani mwaka 2015 alijua kuwa anaingia kwenye kazi ngumu sana katika kurekebisha hali ya nchi ilipokuwa imefikia. Kwa ujumla watanzania walikuwa wamechoka na utawala wa CCM ilivyokuwa inaendesha nchi.
1. Matumizi mabaya ya fedha za serikali.
2. Ukusanyaji mbovu wa kodi za serikali
3. Demokrasia ilivyofikia hatua yakuwa ni biashara kwa viongozi kununua madaraka.
4. Mikataba mibovu iliyoiletea nchi hasara ya matrilioni.
5. Uhujumu mkubwa kwenye kampuni ya Tanesco kufikia hatua nchi kuwa na mgao wa umeme.
6. Kuuwawa kwa maelfu ya wanyama Tembo na kufikia hatua Tanzania kuwa kinara wa kusafirisha Pembe za Tembo Afrika.
7. Serikali kuchukua mikopo mikubwa na mikopo hiyo kuishia kwenye matumizi yasioeleweka.
8. Kiwango cha Elimu kushuka kiwango.
Hiyo hapo juu ni baadhi ya kero iliyokuwa ikiwagusa watanzania kwa ujumla, vyama vya upinzani vilionekana kama vikitetea masuala hayo juu kwenye majukwaa kiasi ambacho kwenye kampeni za ukawa kauli Mbiu ilikuwa Mabadiliko. Cha kushangaza baada ya Rais Magufuli alipoingia madarakani alianza kwa haraka sana kutekeleza mabadiliko hayo vyama vya upinzani ndio zimekuwa kiasi kikubwa kikwazo dhidi ya mabadiliko hayo. Imefikia hatua viongozi wa upinzani kuita press conference na kuanza kuponda hatua anazozichukua Rais Magufuli dhidi ya mikataba mibovu leo kuna viongozi wa vyama vya upinzani wamefikia hatua ya kuwa watetezi na wasemaji wa makampuni haya ya kinyoyaji bila aibu. Juzi tumesikia kiongozi wa upinzani akiitisha press conference kufurahia kwa Ndege kuzuiwa huko Canada.
Katika nchi nyingi inapokuja masuala yanayohusu maslahi ya kitaifa huwa hakuna mambo ya vyama. Rais Magufuli alipoamua kupiga marufuku bunge live na mikutano ya kisiasa aligundua kuwa viongozi wengi wangetumia majukwaa haya kukwamisha juhudi zake. Wapinzani wawe nasubira mwaka 2020 watanzania wataamua.

Nimeipenda sana hii ijapo umewagusa moja manyumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau
9)Viongozi kuuza nyumba za Serikali.... Kikubwa ni kwamba yoote uliyaorodhesha yamefanywa na ccm na yeye akiwemo kwahiyo ni ngumu kuirekebisha nchi zaid anawalaghai wananchi
 
Hakuwa Rais kwa wakati huo mpeni muda hamuoni tayari TTCL amerudisha kumilikiwa na serikali, mikataba ya madini imepitiwa tena. Mtamuhukumu 2020
 
Wakati Rais Magufuli alipoingia madarakani mwaka 2015 alijua kuwa anaingia kwenye kazi ngumu sana katika kurekebisha hali ya nchi ilipokuwa imefikia. Kwa ujumla watanzania walikuwa wamechoka na utawala wa CCM ilivyokuwa inaendesha nchi.
1. Matumizi mabaya ya fedha za serikali.
2. Ukusanyaji mbovu wa kodi za serikali
3. Demokrasia ilivyofikia hatua yakuwa ni biashara kwa viongozi kununua madaraka.
4. Mikataba mibovu iliyoiletea nchi hasara ya matrilioni.
5. Uhujumu mkubwa kwenye kampuni ya Tanesco kufikia hatua nchi kuwa na mgao wa umeme.
6. Kuuwawa kwa maelfu ya wanyama Tembo na kufikia hatua Tanzania kuwa kinara wa kusafirisha Pembe za Tembo Afrika.
7. Serikali kuchukua mikopo mikubwa na mikopo hiyo kuishia kwenye matumizi yasioeleweka.
8. Kiwango cha Elimu kushuka kiwango.
Hiyo hapo juu ni baadhi ya kero iliyokuwa ikiwagusa watanzania kwa ujumla, vyama vya upinzani vilionekana kama vikitetea masuala hayo juu kwenye majukwaa kiasi ambacho kwenye kampeni za ukawa kauli Mbiu ilikuwa Mabadiliko. Cha kushangaza baada ya Rais Magufuli alipoingia madarakani alianza kwa haraka sana kutekeleza mabadiliko hayo vyama vya upinzani ndio zimekuwa kiasi kikubwa kikwazo dhidi ya mabadiliko hayo. Imefikia hatua viongozi wa upinzani kuita press conference na kuanza kuponda hatua anazozichukua Rais Magufuli dhidi ya mikataba mibovu leo kuna viongozi wa vyama vya upinzani wamefikia hatua ya kuwa watetezi na wasemaji wa makampuni haya ya kinyoyaji bila aibu. Juzi tumesikia kiongozi wa upinzani akiitisha press conference kufurahia kwa Ndege kuzuiwa huko Canada.
Katika nchi nyingi inapokuja masuala yanayohusu maslahi ya kitaifa huwa hakuna mambo ya vyama. Rais Magufuli alipoamua kupiga marufuku bunge live na mikutano ya kisiasa aligundua kuwa viongozi wengi wangetumia majukwaa haya kukwamisha juhudi zake. Wapinzani wawe nasubira mwaka 2020 watanzania wataamua.
Dawa ya deni ni kulipa, hakuna namna
 
Bado hujitambui wewe kaa kimya
 
na ndiyo maana wazungu wanatuona malofa ,ndiyo maana walitucolonize kwa sababu walituona ni mazuzu.linapokuja swala la kitaifa bhuwezi kuona mzungu akimpinga rais wake.lakini mwaafrica mweusi anakuwa mtetezi wa mkoloni .ndo maana africa haiwezi kusonga mbele
ni kweli nyie ni malofa na mazuzu kama ulivyo tanabahisha mwenyewe hapo juu
 
Back
Top Bottom