Duh kumbe ilianza jana......!
Ningepost hii kitu hapa kwenye picha!
Asha Dii anastaili, hata asingechangia alistaili kupata zawadi.
View attachment 41397
Post: 505
Sasa mbona hukurudi? au Dikishenari imeloa maji?
nirudi kufanya nini na wewe umenibania zawadi. Sirudi tena.
Watu kujifanya wanawajua wenzao kupitia majina bandia inachekesha
There is power ina names, kama hujui hilo.
Soma vitabu vya dini ujue kqa nini manabii walichaguliwa majina hata kabla ya kuzaliwa.
Duh kumbe ilianza jana......!
Ningepost hii kitu hapa kwenye picha!
Asha Dii anastaili, hata asingechangia alistaili kupata zawadi.
View attachment 41397
There is power ina names, kama hujui hilo.
Soma vitabu vya dini ujue kqa nini manabii walichaguliwa majina hata kabla ya kuzaliwa.
Mwajey.....
nirudi kufanya nini na wewe umenibania zawadi. Sirudi tena.
Niko hapa hapa..ila muda kidogo unanipiga chenga kupita JF mara kwa mara..kwani nimeshaanza kuandika siku ukutani na kuzipunguza kwa slash..nikiwa njiani kurudisha majeshi moja kwa moja kule nyanda za juu baada ya kupambana na wakoloni mamboleo kwa muda mrefu...
BTW..ni vigumu kuchoka kusoma post na analysis zako..Salute!
Love....in case you win...hiyo zawadi itapitia KWANGU....then ntakuletea...sawa baby?
Posts : 500
Duuh......Ilibidi nijitazame kwenye kioo kuona kama ni kweli nafanana na hizo contents, baadae nikagundua kuwa it has nothing to do with the appearance but moral, nikafikiria zaidi nikahisi kama nina sifa hizo basi hata nature inaweza ikanitii so nikajaribu kubeba maji kwenye chujio, hayakufika popote, nikaamuru mlima kuhama lakini ukanihakikishia kuendelea kuwepo pale bila ukomo, nikagundua kumbe hilo ni suala la kiimani.
Nikabeba jembe langu kuelekea shamba huku nikifikiria sana, nikaamua kukaa chini ya mti huku nikitafuna kipande cha mhogo, nikapata swali lingine kwanini mhogo kadiri unavyoutafuna na unavyoelekea kuisha mdomoni utamuweka ndiyo unazidi na kukupa hamu ya kuongeza kipande kingine .......badala ya kuchuja hapa nilielekea kupata jibu (Majibu juu ya mambo na watu wengine), haraka nikagundua kichwa changu kinaanza kukimbia mada, hakitaki nijifikirie mimi bali nifikirie nje ya mimi, nikajilazimisha na kukirudisha kwenye yale matukio yaliyokataa kumtii mtu anayetazamika kuwa na sifa tajwa, nikagundua kuwa mazingira yapo kwa ajiri ya kutoa chamgamoto na ndiyo maana tukapewa miili yenye viungo na mifupa ili kuzikabili hizo changamoto na tuzitumie katika kujifanikisha kimaendeleo.
Mpaka hapo nikaishia tu kujiuliza maswali lakini hakuna popote nilipofanikiwa kuziona hizo sifa ndani yangu.
Katika kufikri zaidi nikagundua kuwa hili ni suala ambalo akili ya mtu imefumbwa kuligundua bali hufunuliwa kwa wengine na wao kwa upeo wao ndiyo watakuelezea wewe u mtu wa aina gani na utatakiwa uwasikilize, be it positive or negative, you have to take it.
Anaysis
Huwa napenda mtiririko wako wa analysis be the facts wrong or right, naongelea mtiririko wa analysis.
Thinking and acting
In most of your posts you have proven yourself to be real fast thinker and sharp shooter.
Im afraid to say Thanks, but all I can say is noted.
Ila washindi wameongezeka na nitamjibu na kum-PM kila aliyenigusa
Nafurahi zaidi kwani kwa post 500 nimepata likes 206
Ambazo ina maanisha asilimia 41 hadi 42 ya posts zangu zimekuwa liked.
Its a Time Now to hand over The Trophies.
mee too thax mkuu kwa zawadi naona airtime mwaka huu watu wanibip tuu ahahaaaaaaaaaaaaa hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee stay blessed sana lini tena sandakalawe mkuu kumbe kuna wanaume wanasema ukweli banaRespect Mkuu for keeping up your Promise... Naona sitahangaika airtime for the next 6 months......
mee too thax mkuu kwa zawadi naona airtime mwaka huu watu wanibip tuu ahahaaaaaaaaaaaaa hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeestay blessed lini tena sandakalawe mkuukumbe kuna wanaume wanasema ukweli bana
Wasiwasi wako tu!
Ila ukweli wa mambo ni kwamba kujifanya unajua wakati unajua fika kuwa hujui ni unafiki. Na kujifanya unajua huku hujui kuwa hujui ni ujinga.
Huku huku kujua ndo kumewafanya watu waseme/ wadhanie kuwa wewe ndo wale watu wote ambao umehusishwa nao. Je, wewe ndo hao watu wote?
Umeona kid see eeh?? Kweli kabisa mpaka sijutii the analysis....
anti nirushie sh 50. Sina hata hela ya kubip.
@ consi washindi wengine zawadi zetu lini?
Tigger am used to you now... Daima sina wasi wasi juu yako, but some minimal anticipation.... What i have written hapa haijabuka beyond ID, Sig, na Avatar ya member in relation to what the members posts in most cases especially of what carries weight... I am not that naive to think that what ever way a member presents him/her self ndo alivo.... NO! ila wapo ambao ndo wapo hivo.... You seem to be throwing that line at me any chance you get (about others linking my name to others... That infact does not bother me any mo' - what bothers me mo sasa ni threads za Cheap popularity in my name.... Walau ikiwa imelenga more members na for fun afadhali).... Whether mimi ni watu woote Ama lah! What counts is that minds that are intelligent know better... na hao ndo wanamatter most for when i meet them in serious discussions hawatani-Link idea yangu na ID ya mtu mwingine...
BUT the Great thing about it all.... Faiza Foxy (FF) I admire, Russian Roulette (RR) I love, Nyani Ngabu (NN) I Respect na Michelle I adore... A perfect List to be linked to if any.... Wangeniambia ni another weak Character......