Sandakalawe....jitahidi unaweza ukajishindia muda wa maongezi.

Katiba mpya ya Tanzania bila katiba mpya :A S embarassed:ya Tanganyika haiwezekani:msela::msela::flame::flame:
 
Cons. Mkuu nami nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sio bahili nisipo jinasibu kuwa miongongi mwa wa washindi na kuchelea kutoa shukrani zangu kwako na JF kwa ujumla kwa kutukutanisha jamvini. Bravo na washindi wenzangu wote
 
Thank you consi... Simu yangu umeijaza mivocha hadi imekuwa nzito. Lol.
Sandakalawe nyingine lini?
 
Cons. Mkuu nami nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sio bahili nisipo jinasibu kuwa miongongi mwa wa washindi na kuchelea kutoa shukrani zangu kwako na JF kwa ujumla kwa kutukutanisha jamvini. Bravo na washindi wenzangu wote

you are karibishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom