Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

Mh Sitta anatakiwa kuelewa kuwa, you only need a single person at the top to make it or break it. Rwanda wamepiga hatua si kwa sababu ya watu '20' au '40' bali ni kwa sababu aliye juu ameweza ku-manage hao 20 au 40.
 
kwanini mh.sitta ametoa kauli hii kwa wakati huu ,nini kilichomsukuma hadi kufika kuleta dhihaka hii mbele ya watanzania ,wanafikiri nini juu ya vyama vingine ,kwanini wanaingiwa na woga mbona bado sana .
 
TANU ilipochukua uongozi wa nchi 1961 ilikuwa na "wenye uzoefu wa kufanya kazi serikalini" wangapi? Na iliongoza vizuri sana.

Uzoefu walio nao hawa viongozi wakuu wa CCM ya leo ni wa kuiba sana mali ya nchi na kuficha Uswizi.

Hatutaki wenye uzoefu wa kuongoza serikali inayofanya vibaya. Tunataka kuanza upya, na viongozi wapya.

Sita and the other used leaders in CCM are shameful failures.
 
Mkuu umeni-pre-empty! Nilitaka kusema hayo hayo ulioyasema wewe! Kuna uzoefu gani wa maana mtu anaweza kuupata toka serikalini kwa sasa? Kila sehemu ni uozo mtupu, mawaziri wezi na wababaishaji, Rais ndo usiseme- yuko kimya kwa sensitive issues, teuzi za kishikaji na visasi, matumizi mabaya ya madaraka, mabavu, etc. Tupate uzoefu gani hapo? Kwa serikali inayopanga vipaumbele vyake bila kuangalia hali halisi na si kujaribu kuscore some political points, serikali isiyoweza kubuni vyanzo vipya vya mapato na kodi badala ya kuendelea na vilevile kwa mazoea! Aaagh, inatia kinyaa!
 
Nimeshangazwa na habari kwenye gazetu la mwananchi toleo la leo lenye kichwa cha habari SITTA: TISHIO LA URAISI CHADEMA NI DR SLAA TU.

Ni wazi kuwa mheshimiwa sitta amefilisika kimawazo. Anajua fika kuwa ndani ya CDM kuna watu wenye uzoefu lukuki wa kiuongozi ndo maana hata yeye amekuwa akifanya vikao vya siri na viongozi waandamizi wa CDM ili ikiwezekana 2015 ahamie CDM.

Nimemnukuu akimponda Kamanda Mbowe kuwa ana uzoefu wa kuendesha kumbi za muziki tu si kuongoza serikali. huu kwangu ni uendawazimu mwingine wa mzee Sitta, Kwani anajua fika kuwa chini ya uongozi imara kwa Mh Mbowe CDM kimekuwa chama imara kisichotetereka, kupitia busara, hekima na ubunifu wa Mbowe CDM inawanyima CCM usingizi ndo maana kila kukicha CCM hawachoki kukisema.

Nakumbuka wakati Reginald Mengi alipofiwa na Kaka yake mzee Elitira Mengi, mzee Sitta na wenzake 3 waliomba kukutana na Mbowe pale Aishi Hotel na moja ya mambo walioongea ni sitta na wenzake 3 kuhamia CDM uchaguzi ujao wa 2015 na kuhakikisha CCM inaondoka kabisa madarakani.

masikini mzee 6 kumbe saa hizi hajitambui tena kweli CCM haina mana!
 
Oh... Nooo Zitto Kabwe kitumbua cha URAIS kinamchanga sidhani kama kinamtisha MTU YOYOTE TENA... NILIJUA Alikuwa anakimbia a 100M Dash

bila VIATU
 
hata ASP na TANU vilianzia hukohuko,hata mbuyu ulianza kama mchicha kwani wanaopiga kura ni wao au cc wananchi na yeye ni nana aseme muda bado MUNGU AKISEMA YES NI YES TU HAKUNA NO.
 
Kumbe moja wapo ya sifa za uongozi ndani ya CCM ni kuropoka na kufyatuka, nilidhani Nape labda ni sababu ya usharo baro ndiyo maana anatoa matamshi tata, kumbe hata wazee wazima.Lakini huyu mbuda ajue kuwa ana deni kubwa kwa watanzania kwa jinsi alivyolimaliza kihuni sakata la Richmond wakati alipokuwa spika wa bunge, huyu hana tofauti na wachumia tumbo wengine huko CCM. Ombi langu kwa viongozi wa chama makini Chadema wasimjibu lolote na kila mtu atajua kuwa watu wenye akili zao wameamua kumpotezea.
 
Yaani hata Sitta anaongea haya ?Sikutegemea aje na utumbo huu for sure Ila kesha fungi lia nyuki soon ataumwa na analia mtasikia tu.Not sure Kama yuko tayari kutibu damage control wenyewe wakija na kumjibu
 
Kumbe moja wapo ya sifa za uongozi ndani ya CCM ni kuropoka na kufyatuka, nilidhani Nape labda ni sababu ya usharo baro ndiyo maana anatoa matamshi tata, kumbe hata wazee wazima.Lakini huyu mbuda ajue kuwa ana deni kubwa kwa watanzania kwa jinsi alivyolimaliza kihuni sakata la Richmond wakati alipokuwa spika wa bunge, huyu hana tofauti na wachumia tumbo wengine huko CCM. Ombi langu kwa viongozi wa chama makini Chadema wasimjibu lolote na kila mtu atajua kuwa watu wenye akili zao wameamua kumpotezea.
 
kumbe raisi tunaye na ana julikana safi sana kwa mh sita kumuunga mkono doctor slaa wa ukwel kuwa ndiye atakayekuwa raisi wa nchi hii
 
Mh Sitta anatakiwa kuelewa kuwa, you only need a single person at the top to make it or break it. Rwanda wamepiga hatua si kwa sababu ya watu '20' au '40' bali ni kwa sababu aliye juu ameweza ku-manage hao 20 au 40.

Nyerere alipata wapi uzoefu wa kuwa Rais, maana hakuwa waziri ktk serikali ya kikoloni,
Mawaziri wa Nyerere walipata wapi uzoefu? Hawakuwa mafisadi kama tulio nao sasa.
Yeye angekubali tu kwamba Chadema na Dr Slaa wao ni tishio.
 
Tutaona na kushuhudia mengi kwa siku hizi, kwel sita kapagawa, Je hao 20 yeye si mmoja wapo?au kajitoa'
 
Hizi dharau za wana CCM kwa Watanzania sijui zitaisha lini?? Hivi nani kawambia kuwa na uwezo ni lazima uwe mwana CCM ................. Kwa kuwa amekubali kuwa Dr. wa Ukweli ana uwezo na kumtaja waziwazi sasa atutajie hao 20 wa CCM wenye uwezo kama anavyodai ili atudhibitishie madai yake.

Kwanza Sita ni fisadi tu kama wana CCM wenzake wengi................ Hivi ile ofisi ya Spika aliyoijenga wilayani kwake ina fanyanyiwa kazi sasa. Au alifikiri atakuwa Spika maisha yake yote............. Ukisikia Ulevi wa madaraka ndiyo huo. CDA ilimshinda halafu leo kweli tumpe nchi tena akiwa mzee namna hiyo??
 
unaweza ukawana kikundi kinachofanana kwa lakini hakina akili za kutukomboa watanzania ndio hao sita unaowasema waliochanganyikiwa na kulewa madaraka na kusahahu waliowaweka ni wananchi tena wakipato cha chini sana
 
Tangu lini Mr six akawa mplga ramli wa cdm? Ya kwao yanawashinda wanavalia mbeleko ngoma ya jjamii.
 
Back
Top Bottom