Hii safi sana kwa Watanzania na wapenda mabadiliko kwani Mzee Sitta kaweka mambo sawa,kwamba Dr.Slaa mmoja ni sawa na viongozi 20 wa CCM wenye uwezo wa kuongoza nchi,halafu kama haitoshi bado hao viongozi 20 pamoja na yeye hawapati usingizi kwa sababu ya Dj anayeongoza CDM kwa uweledi,nidhamu,hekima na ubunifu wa hali ya juu!
Very interesting guys,Tanzanians should read btn the lines!!!
Very interesting guys,Tanzanians should read btn the lines!!!