Same Magharibi haina mbunge?

Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi mkuu uliopita hakjaonekana jimboni, Mheshimiwa kama unapita hapa janvini, tunaomba uwe na huruma hata kidogo, watu wa masandare, majengo, same mjini, stesheni, majevu, kiwanja tunateseka saaana

kwani wewe ni Tume ya Uchaguzi ya Tanzania. kama hajakunufaisha wewe au kijiji chako basi wananufaika wengine. Wewe subiri zamu yako.
 
<font size="4"><span style="font-family: book antiqua">Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..</span></font>
<br />
<br />
wakati wenzao wa majimbo ya rombo mpaka Hai wanaweka lami vijijini wao wanang'ang'aa na miamba wapere zindukeni tafuteni mtu atakaye payuka kwa step kama kilango!jifanyeni mnajua kufa na Ccm shingoni,sioni sababu same kuwa na tatizo la maji toka nikimbie same enzi hizo !maji same ni shida mwambieni no water no vote!
 
Back
Top Bottom