Same Magharibi haina mbunge?

MWAKIGOBE

Member
Nov 1, 2010
65
2
Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi mkuu uliopita hakjaonekana jimboni, Mheshimiwa kama unapita hapa janvini, tunaomba uwe na huruma hata kidogo, watu wa masandare, majengo, same mjini, stesheni, majevu, kiwanja tunateseka saaana
 
Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..
 
Angalizo zuri sana hilo...Ndio shida ya kuendekeza "huyu avae ni wa kwetu bwana thithi hatutaki mwingine" Lenyewe Limagamba Maghembe linakula bata kiulaiiiiini.Mtajijuu!!!
 
Wana JF tuwe makini na data na tuwe na uhakika nazo. Tuwe na weledi katika kupashana habari tusieleweke vibaya!. Mbunge wa Same Magharibi ni Dr Mathayo David Mathayo siyo Prof Maghembe.
 
Tangu nimefika Same ni miaka sita sasa kunatatizo sugu la maji, lakini mbunge wao sijawahi kumsikia hata sikumoja ni jitihada gani atakazo au alizo zichukua kutatua tatizo hili. pia tangu uchaguzi mkuu uliopita hakjaonekana jimboni, Mheshimiwa kama unapita hapa janvini, tunaomba uwe na huruma hata kidogo, watu wa masandare, majengo, same mjini, stesheni, majevu, kiwanja tunateseka saaana

Tatizo ni kuwa toka aingie kuwa mbunge amekuwa Naibu Wazir na sasa ni Wazir. Kazi yake akifika jimboni anaongea kipare tu na wazee wancheka anarudi dar
 
Hata Mimi ninaomba wanajamii tuwe na uhakika wa mambo tunayoyaongelea,Mbunge wa Same Magharibi ni Dr.David Mathayo na sio Pro.Maghembe,

Onyo kwa wachangiaji:NO DATA NO RIGHT TO CONTRIBUTE,hapa mtu anatakiwa awe amefanya utafiti kwanza sio mtu tu anapayuka,mtakuja kushitakiwa kwa kumchafulia mtu jina,si mnajua wapare wanapenda KESI,Be careful,just to remind you,kama hajafanya chochote wapiga kura wanahaki ya kumuuliza kulikoni?
 
Onyo kwa wachangiaje:NO DATA NO RIGHT TO CONTRIBUTE,hapa mtu anatakiwa awe amefanya utafiti kwanza sio mtu tu anapayuka,mtakuja kushitakiwa kwa kumchafulia mtu jina,si mnajua wapare wanapenda KESI,Be careful,just to remind you,kama hajafanya chochote wapiga kura wanahaki ya kumuuliza kulikoni?

Ahsanteni kwa kunisahihisha, my apologies.
 
mfe tu mlidhani zile kofia, pilau na fuso zilizowabeba zilikuja bure. na mtakoma mwaka huu. Bado, na mwaka 2015 ni mbali kwa matatizo hayo mtakoma kuringa.
 
wapare mmezidi kuwa wafuasi wa magamba ndo sababu matatizo yenu hayaishi!

"MMBEA HAKOSI UMBEA"
 
Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..
Me like this
 
Wana JF tuwe makini na data na tuwe na uhakika nazo. Tuwe na weledi katika kupashana habari tusieleweke vibaya!. Mbunge wa Same Magharibi ni Dr Mathayo David Mathayo siyo Prof Maghembe.
Yeyote kati ya hao. Hata kama angekuwa Kilango, Lowassa, Chenge, nk. Ukweli ni kwamba wenyewe ndio wamemchague. So waache kulialia. Wanywe mawe na milima yao hadi 2015.
 
Sioni tatizo lolote kwa kiongozi huyo, tatizo lipo kwa waliomchagua...
Next time you must be careful!
 
Si mlimchagua nyie wenyewe? Sasa mnalialia nini? Kunyweni hayo mawe na milima yenu hadi 2015 ndo mtapata akili ya kwamba mbunge ni nani. Mkishashiba hayo mawe, nendeni kwa majirani zenu wa Moshi mjini mkapate kozi jinsi ya kupata Mbunge wa Ukweli..

Na Ubungo pia tuna tatizo sugu la maji
 
Haina mbunge kwani kiti cha mwakilishi wenu Bungeni kipo wazi?
Mbona kumbu kumbu za bunge tume ya uchaguzi na hata kwa msajili zinaonyesha jimbo lina mbunge? Labda kama hawajibiki, pia mjiulize kama mnampa support ya kutosha au baada ya kumchagua mumejigeuza makinda ya ndege....
 
Hata Mimi ninaomba wanajamii tuwe na uhakika wa mambo tunayoyaongelea,Mbunge wa Same Magharibi ni Dr.David Mathayo na sio Pro.Maghembe,

Onyo kwa wachangiaji:NO DATA NO RIGHT TO CONTRIBUTE,hapa mtu anatakiwa awe amefanya utafiti kwanza sio mtu tu anapayuka,mtakuja kushitakiwa kwa kumchafulia mtu jina,si mnajua wapare wanapenda KESI,Be careful,just to remind you,kama hajafanya chochote wapiga kura wanahaki ya kumuuliza kulikoni?
Kama suala ni kupayuka mbona wewe mwenyewe umepayuka humu jamvini.
 
Bila shaka huyu atakua magamba ndio hawana adabu baada yakupata kura
 
Back
Top Bottom