Salum Mwalimu ukitoka mahabusu achana na CHADEMA

Ifike hatua sisi wana CHADEMA tuache unafiki,
Tumeona mkipigana tundu lisu atoke ndani kwa kujitokeza na kuja na mawakili na mavitabu, lakin huyu kabaguliwa, sijui dini, au kabila au ukanda? Kwakweli wengi hatujapenda na inavunja moyo kwa wana harakati, Huyo anajulikana mmempotezea ,vip nkikamatwa mimi, mi nasema sasa basi
1473109306659.jpg

Sasa mi na CHADEMA baas,
 
Ifike hatua sisi wana CHADEMA tuache unafiki,
Tumeona mkipigana tundu lisu atoke ndani kwa kujitokeza na kuja na mawakili na mavitabu, lakin huyu kabaguliwa, sijui dini, au kabila au ukanda? Kwakweli wengi hatujapenda na inavunja moyo kwa wana harakati, Huyo anajulikana mmempotezea ,vip nkikamatwa mimi, mi nasema sasa basiView attachment 394376

Sasa mi na CHADEMA baas,
Kwenda huko....
 
Then What ? aende ccm walomfunga ? na kumuonea ? akitoka ndio atakua ngangari zaidi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.
kwa hiyo wanachofanya serikali ndio unaona ni sawa, kama kwa maoniyako unaona anaonewa kwa nini usiwalaumu wanaomuonea kwa kumuweka ndani bila sababu za msingi? kwa chadema mambo hayo ya kuwekwa ndani wameyazoea,hakuna mapambano yaliyo rais
 
Wakati huo huo kamanda anasota rumande siku ya sita sasa!
Makamanda mnatisha!!!!
Ila kumbuka ni serikali yetu ilimfungia dhamana kwa kusema ile kesi haidhaminiki..saa nyingine tunawaonea uje..hahahahaaaaa. Ila alikuwa na Mwanansheria anamtetea lakini kwa maelekezo maalum akafungiwa dhamana kama tulivyojitahidi kumfungia Tundu Lissu wao..anyway ametoka baada ya kushinda rufaa ya dhamana.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Ni zaidi ya Siku tano sasa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salum Mwalimu anasota Mahabusu huko Geita. Kwa cheo alichonacho ndani ya CHADEMA sikutegemea kama angeweza kusota rumande muda wote huu.

Wanachofanya CHADEMA si fair kabisa. Wanabagua watu wengine na kuwapendelea wengine. Alipokamatwa Tundu Lissu, CHADEMA wote walishtuka na viongozi wakuu wote walihakikisha kuwa anatolewa mahabusu mapema iwezekanavyo. Hali hiyo ilisababisha utetezi wa Tundu Lissu kusomwa nyakati za Usiku na kesi ya kuomba dhamana imevunja rekodi kwa kusikilizwa muda mrefu zaidi ambapo ilichukua masaa 5. Hatimaye Tundu Lissu kaachiwa kwa dhamana.

Godbless Lema, naye amesota rumande kwa siku tatu tu. viongozi wote wa CHADEMA akiwemo Mbowe walishtuka kukamatwa kwa Lema na walifanya kila jitihada kuhakikisha anapata dhamana na kweli wakafanikiwa.

Leo Salum Mwalimu maskini anasota rumande kwa makosa ya Freeman Mbowe. Ni Mbowe ndiye aliyempa kazi Kanda ya Ziwa ya kunadi UKUTA.

Nafahamu kuwa kinachomuweka Salum Mwalimu CHADEMA ni uwezo wake wa kujielewa awapo jukwaani. Ila hatakiwi kwa vile si MWENZAO! Hafanani na wao na ndio maana akikamatwa wao wanaona sawa tu.

Nimshauri sana Mdogo wangu Salum Mwalimu. Ni Bora akarejea Channel Ten kuendelea na kazi yake ya habari kuliko kuhangaika na CHADEMA. Kama itabidi afanye siasa basi ni bora akajiunga na ama CUF au hata ADC. Kuendelea kuwa kiongozi wa CHADEMA ni kupoteza muda.

Umejitahidi sana lakini hauwezi kututenganisha.Kawaulize wale Polisi na RC kwa nini walikuwa wanatumia mbinu zote za kipumbavu kumnyima dhamana,mpaka mlipoandikwa magazetini?

Haya Umemsikiliza Bashe leo?
 
Back
Top Bottom