Sallam SK: Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola milioni 230

Huyu jamaa anajua dola milion 230 kweli? Album ya thriller ya Michael Jackson in two years after being released ndio iliingiza 134 million dollars sasa huyu paka wa bongo ndio alete 230 labda ya mabox.

Waache kujitamba uongo haiwasaidii kitu maana huyo dogo kaanza kusema na ule mgahawa ni wake kwani akisema ukweli shida ipo wapi? Ndio maana wakija kupata matatizo watu wanaanza kuwabeza na kutisaodia sababu wanaona kama alichezea hela kumbe hata hakuwa nazo.
Honestly namuonaga kama limbukeni tu
 
Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza.

Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya pesa za makenikia, ni pesa nyingi sana, sasa sijui ni kweli au kiki msikilize.

Mhh! dola bilioni kaka unazungumzia trilioni za madafu. Ukibadili kwa za madafu maana yake ni zaidi ya trilioni mia tano. Hatari hii mmezumu sana
 
Back
Top Bottom