Salim Kikeke..............@ BBC

Kuna huyu jamaa wa ITV anaitwa Arbet Nitwa namuona anaupeo mzuri na style nzuri ya usomaji habari lakini simuoni akifikia kule anapostahili hadi umri umesogea sasa!
Huyu ni mkongwe nadhani kabla ya kuja pale ITV amewahi kuwa BBC.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom