Salim Kikeke..............@ BBC

kipindi ni saa 3 kila siku kuanzia j3 mpaka ijumaa.

Ni ktk station ya Star Tv. Salym anfanya kipindi kionekane ni kifupi maana mtu bado
unakuwa unatamani kukiangalia jinsi kilivyo bomba na taarifa zimeandaliwa vema.
 
Salim Kikeke ni mtangazaji mzuri, zamani alikuwa itv/radio one, itv/radio one wametoa watangazaji wazuri sana.
 
Samadu Hassan wa Statv naye ni bingwa sana wa International news ambapo watangazaji wengi wa tanzania hawawezi nahisi sababu ya lugha. Watangazaji
 
Kwasababu hajawahi kukaa akatangaza Ujinga eti Slaa ameanga kumuua Zitto hiyo inaitwa Professionalism...huyu amebobea kwenye taaluma na hawa wa Hapa wamebobea kwenye majungu,uzushi,chuki na fitna...
 
Binafsi mimi huwa ninasemaga,yule ni mtangazaji no1 wa vipindi vinavyorushwa kwa lugha ya kiswahili!
Ukijaribu kuwafananisha watangazaji wa bongo na mtu kama Salim Kikeke,nikufananisia usingizi na kifo.kama vp acha nikawahi habari muda mchache ujao!
 
Hilo la vipaji vya kuzaliwa huwa nashindwa kulielewa vizuri. Mimi nadhani vipaji ni sawa lakini shule muhimu!
hata yeye hakuwa mzuri darasani kwani alizungusha form 6 pale makumira mwaka 91 kama sijakosea.kipaji muhimu
 
K wa kweli mi namkubali yule jamaa wa Star Tv anayetangaza habari za kimataifa na mwingine wa DW. Lakini hata Salum anavutia katika utangazaji wake huwezi wafananisha na watangazaji wengi wa nchi hii ya Baba Mwanaasha
 
Kuna huyu jamaa wa ITV anaitwa Arbet Nitwa namuona anaupeo mzuri na style nzuri ya usomaji habari lakini simuoni akifikia kule anapostahili hadi umri umesogea sasa!
 
Othman Miraji
Ramadhani Ally
Ummy .... DW
Erasto Mbwana
..... Dahman
Aisha Yahya
Mwai Kikonyo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom