mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 320
Jamaa naye si haba! Hivi Flora Nducha yuko wapi siku hizi?
Flora Nducha yuko radio ya umoja wa mataifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa naye si haba! Hivi Flora Nducha yuko wapi siku hizi?
Samadu Hassan wa Statv naye ni bingwa sana wa International news ambapo watangazaji wengi wa tanzania hawawezi nahisi sababu ya lugha. Watangazaji
Samadu Hassan wa Statv naye ni bingwa sana wa International news ambapo watangazaji wengi wa tanzania hawawezi nahisi sababu ya lugha. Watangazaji
Salim Kikeke ni mtangazaji mzuri, zamani alikuwa itv/radio one, itv/radio one wametoa watangazaji wazuri sana.
Kumbe alitoka itv/radio one?
kabla ya kwenda BBC alikuwepo itv/radio one.
ok. je ni mtanzania?
kabla ya kwenda BBC alikuwepo itv/radio one.
Ila kila siku yeye tuu its too monotonous
<br />Aliniudhi tu pale alimpomtelekeza Rukia Mtingwa na Watoto! Mia
<br />Kasoma Ilboru Sec, ana asili ya kihindi
naomba kujua kinakuwa saa tatu kila siku au kuna siku maalum
Aliniudhi tu pale alimpomtelekeza Rukia Mtingwa na Watoto! Mia
Wadau, mimi ni mpenzi wa kipindi cha habari kinachorushwa na BBC kuanzia saa 3 kamili usiku kupitia Star TV. licha ya habari moto moto ambazo unazipata, pia kuna huyu mtangazaji anayeitwa Salim Kikeke.. Kifupi, jamaa ni jembe sana. Huwezi kuchoka ukiwa unamsikiliza au kumwangalia anavyotangaza.
Nimegundua licha ya technolojia waliyonayo BBC, lakini ubunifu unahusika kwa kiwango kikubwa sana, kumfanya mtazamaji au msikilizaji aweze kuendelea kufatilia matangazo. Kwa watangazaji wa hapa bongo, ni vipindi vichache sana ambavyo unaweza kuvutika kiasi hicho. Mfano, hata kama unaangalia taarifa ya habari kwenye kituo flan cha television au redio, ni vigumu kuitazama yote katika shauku ileile mpaka taarifa yote iishe.
Nadhani, watangazaji wetu wa bongo, wanapaswa kuwa wabunifu katika vipindi vyao ili viweze kuvutia na kuwa vya kimataifa pia. Nakiri kuwa vipo vipindi vichache vizuri lakini vingi bado havikidhi haja ya kimataifa.
Ni mtazamo tu binafsi!
arifu acha hizo...... https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/33156-wale-wa-ist-wenzangu-mpo.htmlWe ulisoma spesho skul Msalato?
usikonde kaka....Hii Avatar yako imesababisha scratch kwenye PC yangu nikidhani kuna mdudu kwenye PC