battawi JF-Expert Member Mar 29, 2014 2,698 2,560 Jan 1, 2020 #21 Ikiwa wewe umekubali kuwa wakala na unakula na wakubwa ,basi hilo ni lako wewe, Mimi natetea haki za walio wengi.
Ikiwa wewe umekubali kuwa wakala na unakula na wakubwa ,basi hilo ni lako wewe, Mimi natetea haki za walio wengi.
Kobaba JF-Expert Member Oct 29, 2011 492 341 Jan 1, 2020 #23 Nayatamani mabadiliko yaje lakini hayatokei. Lengo langu nione wale walio nje ya uwanja; Je wakiingia kwenye pichi watapafom vyema?
Nayatamani mabadiliko yaje lakini hayatokei. Lengo langu nione wale walio nje ya uwanja; Je wakiingia kwenye pichi watapafom vyema?
chase amante JF-Expert Member Feb 24, 2018 5,558 2,076 Jan 1, 2020 #24 Zitto ni mnaa Sent using Jamii Forums mobile app
List 255 JF-Expert Member Oct 26, 2019 270 538 Jan 1, 2020 #25 Huruma yangu kwako SEIF nilikuona kama mtu mwenye maono na anaejua vyema kucheza na karata zake.. Lakini sasa umegeuka kama kikaragosi kinachocheza midundo ya kiha..ni swala la muda tu, utajua nachomaanisha
Huruma yangu kwako SEIF nilikuona kama mtu mwenye maono na anaejua vyema kucheza na karata zake.. Lakini sasa umegeuka kama kikaragosi kinachocheza midundo ya kiha..ni swala la muda tu, utajua nachomaanisha
All TRUTH JF-Expert Member Nov 20, 2011 5,453 2,565 Jan 1, 2020 #26 Pamoja Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
SN.BARRY JF-Expert Member Oct 12, 2012 4,040 8,903 Jan 1, 2020 #27 Zanzibar itakuwa kama Dubai kabla ya 2015-2020!!!! Siasa ni mchezo mchafu sana! Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar itakuwa kama Dubai kabla ya 2015-2020!!!! Siasa ni mchezo mchafu sana! Sent using Jamii Forums mobile app
YEHODAYA JF-Expert Member Aug 9, 2015 36,906 51,938 Oct 26, 2020 #28 Hii mada iliyoletwa Huu mwandiko ni wa Zitto Kabwe sio Wa Seif Sharif Hamad Haikutakiwa kuchanganya ya bara na ya Zanzibar kwenye andiko!!!! Someni wana jamii forums haujaandikwa na wazanzibari kuongelea yao ya Zanzibar tu mwandishi kajisahau ni MTU wa bara na ni Zitto Kabwe
Hii mada iliyoletwa Huu mwandiko ni wa Zitto Kabwe sio Wa Seif Sharif Hamad Haikutakiwa kuchanganya ya bara na ya Zanzibar kwenye andiko!!!! Someni wana jamii forums haujaandikwa na wazanzibari kuongelea yao ya Zanzibar tu mwandishi kajisahau ni MTU wa bara na ni Zitto Kabwe