Salamu za kuukaribisha mwaka mpya wa 2020 kutoka kwa Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kwa Watanzania

Ikiwa wewe umekubali kuwa wakala na unakula na wakubwa ,basi hilo ni lako wewe,
Mimi natetea haki za walio wengi.
 
Nayatamani mabadiliko yaje lakini hayatokei. Lengo langu nione wale walio nje ya uwanja; Je wakiingia kwenye pichi watapafom vyema?
 
Huruma yangu kwako SEIF nilikuona kama mtu mwenye maono na anaejua vyema kucheza na karata zake..

Lakini sasa umegeuka kama kikaragosi kinachocheza midundo ya kiha..ni swala la muda tu, utajua nachomaanisha
 
Hii mada iliyoletwa Huu mwandiko ni wa Zitto Kabwe sio Wa Seif Sharif Hamad

Haikutakiwa kuchanganya ya bara na ya Zanzibar kwenye andiko!!!!

Someni wana jamii forums haujaandikwa na wazanzibari kuongelea yao ya Zanzibar tu mwandishi kajisahau ni MTU wa bara na ni Zitto Kabwe
 
Back
Top Bottom