Salalee, Jamaa alikuwa anaendesha punda!

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,477
Jamaa alikuwa anaendesha punda, siku 1 alimuuliza rafiki yake, kwnn! gari zinaenda mbio sana? Akamjibu zinatumia Petrol siku ya pili akaenda sheli na punda wake,Alipofika akamnyanyua mkia,akasema atiwe lita 5!. Petrol ikamuwasha Punda akatoka mbio nyingi sana! Jamaa akamfukuza wapi hakumpata! akarudi sheli Akavua suruali!, akainama!, akamwambia muuza mafuta niwekee lita 10! lazima nimpate tu!, Unajua kilichotokea hapo? subiri part 2.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nakushauri endelea na biashara ya ubuyu maana haina madhara, hii ya jokes utaua watu!!!!!!
 
Nakushauri endelea na biashara ya ubuyu maana haina madhara, hii ya jokes utaua watu!!!!!!

Aaaaaaaaaaa, Laptani, biashara ya ubuyu ndugu yangu nimeshaiacha nimeadvansi kidogo nauza barafu za ubuyu pamoja na juicy ya ubuyu make nimegundua nilikuwa nakula hasara baada ya kugundua faida wanayotengeneza wakina mama na kinadada kutokana na ubuyu ninaowauzia!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom