Sala ya kuwaombea wanawake

Huwa wananunua Hand bag Kwa bei kubwa Lakini Sisi wanaume Huwa hatuna hata stori na handbag zao, wanazobeba,
.
huwa wanachana nywele na kujiangalia kwenye kioo kabla ya kwenda kulala,
Eeh Mungu Uwaokoe
Wanachana nywele kabla ya kulala? Aisee mume wangu ajiandae kisaikolojia kwa kweli! Mi nywele hata sinaga habari nazo nikilala. Ni mwenye wa kuvaa hair net tu.
 
Any way... uzi huu na nyinginezo kuhusu wanawake zilizoanzishwa na wanaume ni kiashiria tosha WANAUME WANAWAPENDA SANA WANAWAKE KIASI MAWAZO, MAONGEZI NA MAANDISHI YAO NI KUHUSU WANAWAKE.

Wanawake oyeee!
We jipe moyo wakati mnachokwa hivyoo
 
14. Uwanyooshee mikono baba kwenye handbags zao wanatembea na dressing table yote mfukoni..utakuta perfumes..chana..kioo..lipstick..chupi..lotion..wengine hadi madraya baba

15. Pia uwafunue waache kuficha simu mbali baba..utakuta simu ipo ndani ya pochi iliyopo ndani ya pochi iliyopo ndani ya kihandbag kidogo kilichopo ndani ya handbag kubwa. Hapo unaweza kupiga mara 2 ndiyo wafanikiwe kuitoa.
 
Eh baba wambinguni, ninakuomba uzipokee na kuzibariki sala zilizoletwa kwako na wanaume wote. Ninakuomba baba hawa viumbe wenye ukubwa wa miili, misuri mikubwa lakini wadhaivu na wanyonge wa nafsi uwainulie mkono wako wa nguvu ili waimarike ktk kuchunguza udhaifu wetu unaoonekana. Amina
kwikwi kwi kwi kwiiiiiii mbavu zangu mtuvumilie tunafanya hayo yote kuwafurahisha.

baba nakuona Sala hizo uzipuuzie na uendelee kuwaelimisha.

ee bwana twakuomba utusikie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom