Kwanini ujiumize kukimbilia matatizo?
Siku Upinzani wakijipanga, wakawa na sera za maana na zenye tija..nitawaunga mkono!
Mtu mwenye akili zako huwezi kusupport vyama vya kuhuni kama CDM!
Hivyo ni vitu vidogo tu vinarekebishika.
ikifika wakati wa kulia, kilio kitakujia kama radi, hutakisoma humu!utalia sana!!!
Habari za asubuhi wana jamii wenzangu, hivi.mna habari kuwa kama tatizo halitatatuliwa Leo itakuwa ni siku ya nne tangu kukosekana kwa mauzo ya umeme nchi nzima...na sababu network hakuna.
Hii nimeshuhudia mwenyewe jana mara baada ya kuzunguka.mji mzima na kukuta kundi la watu wakisubiri huduma ambayo haijulikani itapatikana au laa...hali watu wakiwa wenye hasira kali walilaani na kutoa maneno makali sana jambo ambalo hata mimi nilijikuta napandwa na hasira juu ya sirikali hii ambayo kimsingi inaonekana wazi imevurugika na kukosa.mwelekeo, ambapo sasa naweza kusema kuwa, pamoja na kuwa na mgao mkali wa umeme bado hata upatikanaji wa umeme huo mdogo ni wakusuasua.
Hivi unapokwenda kununua umeme halafu unaambiwa network hakuna, inakuja na kuondoka....jambo lakusikitisha sana, jana nikiwa katika kuhangaika kutafuta umeme nilikutana na shuuda mmoja aliyekuwa anatafuta umeme tangu majuzi na Lu.ishuhudia kuwa hawa mawakala wanaouza umeme wa luku wamekuwa wakidai rushwa ili mtu apewe favour Kila network inaporudi na wamekuwa wakitoa 5000/- . Hii imenisikitisha sana sana.
Sijui siku ya leo itakuwaje Ndigu zangu ila habari ndo hiyo.
Wewe umaifanyia nini serikali zaidi ya kuilaumu kila kukicha? Hata mtandao mkishindwa muumanage mnataka Rais aje kuutengeneza? Yeye sikisha wawekea mkonga wa kisasa kabisa? Au mnataka aje kuwaunganishia na kwenye Luku?
Unapoona kuna tatizo fikiria ni vipi utalitatuwa si kulalamika tu.
Umerudi na matatizo yako yale yale. Pumba kabisa
Hili la LUKU ni kero ya muda sasa.
Kwanini ujiumize kukimbilia matatizo?
Siku Upinzani wakijipanga, wakawa na sera za maana na zenye tija..nitawaunga mkono!
Mtu mwenye akili zako huwezi kusupport vyama vya kuhuni kama CDM!
Hilo swali lina maana yake ndg yangu, mapato na matumizi ya TANESCO yako vipi????????? Uliona matumizi ya matanuzi ya Ngorongoro, mbona waziri alizuia safari za wakurugenzi!!!!!! Tunahitaji matumizi na mapato ya fedha za LUKU, MBONA NI RAHISI TUU tuwekewe hapa kwenye jamvi tujiridhishe bila hivyo kuna siri nzito inayofichwa isijulikane!!!!!!!!!!wewe jamaa maswali gani hayo? mbona sioni la maana ulilouliza, si kuna accounts zinaandaliwa mkuu. Labda ungeuliza kwa nini hiyo system ya luku haifanyi kazi. hayo mengine ni obvious, rudi darasa kidogo utaelewa.
Hayo makusanyo hayana shida ila fedha hizo zinaingia Acount ipi TANESCO na mapato yake hadi hii leo ni fedha ngapi, zinatumika vipi kwa maendeleo ya nchi hii?????????Bungeni kwenye budgeti ya TANESCO zilitajwa??? Mbona wenyewe TANESCO hawajajibu, hivi hawaingigi hapa JF?????Unaponuna LUKU ile vending station huwasiliana moja kwa moja na servers zizolizopo TANESCO na mwisho wa siku agent huenda kuchukua commision yake baada ya kuwasilisha mapato ya makusanyo ya LUKU alizouza. kwa hiyo ni mfumo ambao fedha zote hurudi TANESCO na agent anaambuliwa commision tu. Nadhani nimetoa mwanga kdg