Abbasy
Senior Member
- Nov 24, 2010
- 123
- 9
Wamegundua aina mpya ya kulazimisha mgao. Big up Ngeleja!.umenena mkuu huu ndo mgao mpya magamba kwa kuchakachua utafikiri majini
Wamegundua aina mpya ya kulazimisha mgao. Big up Ngeleja!.umenena mkuu huu ndo mgao mpya magamba kwa kuchakachua utafikiri majini
Ngeleja shabiki mkuu wa Jairos, wanafuhia kuchukua na kugawana rushwa dili za kudidimiza nchi ndiyo furaha yao, ajabu hii!!!!!!!!!Wamegundua aina mpya ya kulazimisha mgao. Big up Ngeleja!.umenena mkuu huu ndo mgao mpya magamba kwa kuchakachua utafikiri majini
Mkuu cheki na vishoka wakupe kitu live nchi ishauzwa hii kama noma na iwe noma
Ulipoichagua CCM ulitarajia nini? Hayo ndo matunda ya kuchagua chama cha kihuni kama CCM.Mimi sina umeme maana natakiwa ninunue nguzo tatu ili uingie kwangu jana nimelipia nimeambiwa by next three days utawaka, hivyo nitaingia rasmi kwenye changamoto ya wapi pa kununua umeme, naipenda sana Tanzania lakini basi tuu, nisiseme mengi nisije itwa mdini na mchochezi. Hivi inaingia akilini kununua nguzo moja kwa wastani wa Milioni moja na zaidi? ili niweze kupata huduma ya umeme na ikumbukwe kwamba nguzo hizo zitaendelea kuwa mali ya Tanesco.