Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 apige mbizi

sasa ndio wamejua madhara ya kuchagua magamba
kura zao zitaendelea kuwatafutana wenyewe
nawapa pole waliokataa sera za magamba.
 
Safi sana MAGUFULI!
Utukane tena na kesho,ili watanzania watambue kwamba CCM hamna kitu huko!
 
Hoja ya Waziri ni kuwa nauli hiyo itabidi ipande ili kuzuia ruzuku ya serikali isitumike kuviendesha vivuko. Nakubaliana naye kuwa Si haki kutoa hela kutoka kwenye vivuko vingine kuchangie hiki cha Dar. Tatizo la kupanda hii nauli mimi naona ni secondary problem, main ni kuyumba uchumi wa nchi. Hapa cha kujadili ni kama taratibu zilifuatwa kabla ya kubishania kuhusu kiwango
1. Je mamlaka ya SUMATRA ipo wapi? Si kuna neno Marine kwenye SUMATRA?
2. Tangazo lilitolewa mapema?
3. Wametumia formular ipi baskeli kuwa ghali zaidi ya gari ndogo?
4.Gharama za kuendesha kivuko ni shs ngapi na wanakusanya shs ngapi?
5. Life span ya kivuko ni miaka mingapi? Inabidi pawepo na fedha za kununua kingine kutoka vyanzo vya vivuko vyenyewe.
 
Ndugu yangu,

Wanadai kuwa wanakusanya tsh Mil 4 kwa siku kwa hiyo kivuko hakiwezi kujindesha na hizo walitaka ruzuku serikalini.

Magufuli kuna siku aliwaweka watu wake pale zikakusanywa tsh mil 13. sasa tunashangaa na mbunge anashangaa, kwanini kwanza wasidhibiti wizi ULIOTUKUKA pale halafu ndio wapandishe nauli?

Wanakwiba mafuta na kuwauzia wenye boti na watu wanaona, mie kuna mtu kutwa anashinda pale ferry na wanaona wale wa maboti wanavouz\iwa mafuta halafu KINACHOSIKITISHA FOLEN ZINACHELEWESHWA makusudi ili kufidia mafuta ionekane trip sio nyingi!

Hiyo life span sidhani kama itadumu sana ! watu wanaopark maboti pale wanatupa uchafu wa kila aina na SERIKALI INAWAONA ! wewe ukitaka kujionea taka zikielea nena majira ya asubuhi uone ! kinachouma ! MASUPERVISOR WAPO PALE WANAONA UCHAFU ULE ! na wala hawachukui hatua yeyote! ukiuliza wanasema serikali inaiopa kuwaudhi wale maana ni wapiga kura ! sasa sijui hawaoaogpi swala la nauli kupanda kwa kuwa magufli ameudhi sana wapiga kura
 
Watu wa Dar mmezoea dezo sana.Wenzenu huku bara maisha magumu lakini hatulalamiki ovyo kama nyie.Cha kushangaza nyie ndo mnaongoza kuchagua CCM hafu mnalalamika.Watu wa ajabu sana nyie.

Mimi naishi Sengerema nafanya kazi Mwanza.Kivuko cha binafsi kwa trip ni shs 800 one way wakati kile cha serikali ni Shs 400.Nyie maisha magumu ni kwenu tu sisi wa bara mnatuona kama sio watanzania wenzenu sio.Mimi naunga mkono ongezeko la nauli tena isiwe 200 bali iwe 400 kama sisi.

Najua kuna watu watachukia ila huo ndo ukweli sisi tumemizwa muda mwingi sana na nyie muonje makali ya maisha bora!!
 
Alitoa mfano wa Bajaji ambao alisema ni usafiri wa wanyonge uliokuwa ukitozwa Sh300 lakini kwa viwango hivyo vipya, itavushwa kwa Sh1,300 huku baiskeli ya miguu mitatu inayotumiwa na wanyonge pia kuchukulia bidhaa kutoka Kariakoo ikiongezewa nauli kutoka Sh200 hadi Sh1,800 na gari ndogo sasa zinatakiwa kulipa Sh1,500 badala ya Sh800.

Kwa ufupi ni kwamba guta hazitakiwi mjini kati kama ambavyo daladala hazitakiwi, lakini pia hao wakazi wa kigamboni ndo waliipa CCM kura nyingi hayo ndo matokeo yake na bado mpaka hilo daraja litengenezwe mwaka 2050.
 
Watu wa Dar mmezoea dezo sana.Wenzenu huku bara maisha magumu lakini hatulalamiki ovyo kama nyie.Cha kushangaza nyie ndo mnaongoza kuchagua CCM hafu mnalalamika.Watu wa ajabu sana nyie.

Mimi naishi Sengerema nafanya kazi Mwanza.Kivuko cha binafsi kwa trip ni shs 800 one way wakati kile cha serikali ni Shs 400.Nyie maisha magumu ni kwenu tu sisi wa bara mnatuona kama sio watanzania wenzenu sio.Mimi naunga mkono ongezeko la nauli tena isiwe 200 bali iwe 400 kama sisi.

Najua kuna watu watachukia ila huo ndo ukweli sisi tumemizwa muda mwingi sana na nyie muonje makali ya maisha bora!!

Mie nakuunga mkono kabisa hiyo 200 ndo inawafanya kulalamika kiasi hicho, isitoshe huko mjini mnaenda kufanya udalali tu, kauli ya waziri kweli ni kali lakini ukweli ndo huo mmezoea kubembelezwa kama watoto wadogo.
 
Ndugu yangu,

Wanadai kuwa wanakusanya tsh Mil 4 kwa siku kwa hiyo kivuko hakiwezi kujindesha na hizo walitaka ruzuku serikalini.

Magufuli kuna siku aliwaweka watu wake pale zikakusanywa tsh mil 13. sasa tunashangaa na mbunge anashangaa, kwanini kwanza wasidhibiti wizi ULIOTUKUKA pale halafu ndio wapandishe nauli?

Wanakwiba mafuta na kuwauzia wenye boti na watu wanaona, mie kuna mtu kutwa anashinda pale ferry na wanaona wale wa maboti wanavouz\iwa mafuta halafu KINACHOSIKITISHA FOLEN ZINACHELEWESHWA makusudi ili kufidia mafuta ionekane trip sio nyingi!

Hiyo life span sidhani kama itadumu sana ! watu wanaopark maboti pale wanatupa uchafu wa kila aina na SERIKALI INAWAONA ! wewe ukitaka kujionea taka zikielea nena majira ya asubuhi uone ! kinachouma ! MASUPERVISOR WAPO PALE WANAONA UCHAFU ULE ! na wala hawachukui hatua yeyote! ukiuliza wanasema serikali inaiopa kuwaudhi wale maana ni wapiga kura ! sasa sijui hawaoaogpi swala la nauli kupanda kwa kuwa magufli ameudhi sana wapiga kura

Huyo mbunge anajikosha tu mbele ya wapiga kura wake anajua 2015 watakuja muuliza yeye alifanya nini kuzuia hali hiyo isitokee. Halafu pia ajue hilo guta halina road license wala halilipii bima, hicho kiasi ni saizi yake kabisa.

Huwa sipendi CCM lakini kwa hilo naona ni sawa tu.
 
Jamani jamani tembeeeeeeni muone,msilalamike tuuuuuuuuuuuuuu,sisi wabongo vitu karibu vyote tunapata bureeeee yaaani bwelele na hii ndio imetufikisha hapa tulipoooo

wataniunga mkono wale wote waliosoma nje ya Tanzania

jamani hakuna vitu vya bure ktk hii Dunia,wenzetu huku wanalipia hadi maji ya kuoga,yaani wanafunzi wa chuo kikuu analipia maji ya kuoga,maji ya kunywa,internet na kila kitu kinachomzunguka

ktk daladala zao utamwona mzee na kadi yake anagusisha tkt kifaa kinachokata pesa auto,yaani kila kitu hapa ni pesa,

ukienda hospital ndio utacheka kwa sisi tuliozoea buree unaweza kuanza kufoka
akija Dk kukuona tu hiyo ni pesa,akikupima joto tu hiyo pesa imekwenda,wewe utakae lala na mgonjwa utalipa pesa ya chumba na malazi,

lakini sisi bongo lawama,kelele,maneno,kulialia kwa sana tu

na hii ndio inasababisha tunashindwa kukusanya mapato mengi,kwani vitu vinge vipo free

wenzetu wamebana kila kona
ukienda kata tiketi ya kwenda mji furani,watakata nauri ya gari,kodi ya kituo,na mzani mahari ambapo gari zitapita,je bongo yapo hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?

tuna lalama sana jamani,lipeni nauri hamtaki pigeni mbizi​
 
Kila mtu mwenye gari yake anajua opperating cost yake kwa kutambua kiwango cha ulaji wa mlafuta, gharama za vipuli, gharama za service na kadhalika. Pia ni dhahiri kama hutaweza kuwa na pato la kukidhi gharama hizi huwezi kumilik na kuendesha gari!! Aidha gharama za uendeshaji wa corolla au marcedes benz unajulikana!
Vivuko vya magogoni na alina ni aina ambayo ipo sehemu zingine pia. Utafiti huru unaweza kufanyika ili kujua operating costs na je sustainability inawezekana kwa kiwango cha sasa au la? Changamoto ya utafiti wa namna hii inaweza kuwa na mantiki zaidi.
 
Wakuu vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Waziri wa Ujenzi Magufuli akisistiza msimamo wa serikali wa kuongeza nauli ya abiria katika vivuko vyote vya serikali nchini. Alifanya ziara ya ghafla kutembelea kivuko cha Kigamboni ambako nauli iliyopandishwa kutoka sh. 100 hadi 200, ilizua mzozo, wananchi wakionekana kuipinga. Anaweza (kama waziri) au serikali ikawa sahihi au si sahihi katika kupandisha nauli hiyo, lakini tatizo ni lugha aliyotumia katika kuwasilisha msimamo wake.

Amenukuliwa akiwaambia wananchi kuwa kama hawawezi kulipa nauli mpya, WAPIGE MBIZI KUVUKA BAHARI, WAHAMIE VIJIJINI AU WAPITIE MBAGARA. Ingawa pia naona Mbunge amepingana naye, hivyo ni kama hawakubaliani katika hii kitu na imeandikwa wazi katika magazeti.

Magufuli anaonekana kuchukua njia ya akina Mramba (ikibdi mtakula hata nyasi ndege ya Rais inunuliwe), Malecela (They can go to hell), mwingine simkumbuki aliwahi kuwaambia wanafunzi waliomlalamikia ukosefu wa maji shuleni kwao, akwaambia wakojoe maji yapatikane! Katika nchi za kidemokrasia na serikali iliyo makini kwa ajili ya watu, kauli mbaya ya kiongozi wa umma kwa wananchi ni kitu kinachoweza kumgharimu nafasi yake, kuitia serikali matatani au kulazimika yeye/serikali kuomba radhi.

Kwani lazima utumie lugha ya kuuzi na kuonekana kama unadharau wananchi katika kusukuma kazi za serikali?

mwingine akasema mimba ni?
 
Jamani jamani tembeeeeeeni muone,msilalamike tuuuuuuuuuuuuuu,sisi wabongo vitu karibu vyote tunapata bureeeee yaaani bwelele na hii ndio imetufikisha hapa tulipoooo

wataniunga mkono wale wote waliosoma nje ya Tanzania

jamani hakuna vitu vya bure ktk hii Dunia,wenzetu huku wanalipia hadi maji ya kuoga,yaani wanafunzi wa chuo kikuu analipia maji ya kuoga,maji ya kunywa,internet na kila kitu kinachomzunguka

ktk daladala zao utamwona mzee na kadi yake anagusisha tkt kifaa kinachokata pesa auto,yaani kila kitu hapa ni pesa,

ukienda hospital ndio utacheka kwa sisi tuliozoea buree unaweza kuanza kufoka
akija Dk kukuona tu hiyo ni pesa,akikupima joto tu hiyo pesa imekwenda,wewe utakae lala na mgonjwa utalipa pesa ya chumba na malazi,

lakini sisi bongo lawama,kelele,maneno,kulialia kwa sana tu

na hii ndio inasababisha tunashindwa kukusanya mapato mengi,kwani vitu vinge vipo free

wenzetu wamebana kila kona
ukienda kata tiketi ya kwenda mji furani,watakata nauri ya gari,kodi ya kituo,na mzani mahari ambapo gari zitapita,je bongo yapo hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?

tuna lalama sana jamani,lipeni nauri hamtaki pigeni mbizi​

Unaweza kutupa baadhi ya hizo nchi kama mfano tuu?
 
Tulipe hata elfu 20 ..lakn tuone hizo hela zikifanya kazi na huduma zikiboreshwa...Huwezi fananisha ulaya na Bongo.Kule kodi na hayo malipo mengine yanaonekana katika huduma bora zaidi.Na ndio maana watu wa huko hawalalamiki kama huku..sio hapa bongo viongozi na wananch wamekuwa mijizi tu.
 
Hili lanikumbusha kwenye miaka ya sabini wananchi walipolalamikia usafiri wa reli, Waziri mhusika wakati huo John Samwel Malecela akawaambia wanaolalamika waende kuzimu ( they can go to hell !). Miaka ya baadaye kidogo wananchi wakalalamikia mzigo walio nao na ugumu wa maisha na bei kupanda, Waziri moja Cleopa Msuya akawataka hao wananchi kubeba mizigo yao wenyewe ! Baada ya miaka kadhaa wananchi wakalalamikia gharama za ununuaji wa ndege na kama kawaida jibu la serikali lilikuwa ni kuwa ngege itanunuliwa hata kama wananchi watalazimika kula nyasi ! Majuzi hapa Raisi amaewaonya wafanya kazi waliolalamikia mishahara midogo kuwa wakiendelea wataonja virungu vya polisi na kutoka na nundu. Leo Magufuli anawaambia wananchi wanaolalamikia nauli kubwa kwenye kivuko cha Kigamboni kuwa kama hawawezi hizo nauli wapige mbizi ! Sasa ajabu nini, kwani tunasahau kuwa wanafunzi wa kike wanapata mimba wakiwa shuleni kutokana na viherehere vyao, tunaendelea ... !
 
Safi, kazi nzuri. Hivi mnapolalamika juu ya huduma mbovu za serikali mnafikiri hela zitatoka wapi? nasema tatizo labda ni kuwa walikaa muda mrefu bila kupandisha na hilo ndiyo tatizo, wananchi kama vile wamefanya ni haki yao, mfano ukiwa unamletea mkaa/mchele baba mwenye nyumba uliyepanga kila unapotoka safari, siku ukiacha atakudai, wananchi kwa hili watazoea!

huduma bora ziache kuja kupitia madini zije kwa kupitia ushuru? Kajipange tena. Ni kwa vile tu wewe si mkazi wa kigamboni
 
ivi inakuwaje guta lilipishwe 1800 af gari ndogo ilipe 1500?ina mana guta linaloendeshwa na wavuja jasho ndio wakamuliwe hadi damu?mambo mengine aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa hilo mimi namunga mkono Dr Magufuli watu wa Kigamboni lazima walipe hicho kiwango kipya mbona vivuko vingine wanatoza hadi 300 au wananchi wa maeneo hayo ni ma tycoon,watu wanaelezwa utaratibu wao wanazomea huo ni uhuni,walitakiwa wasililize hoja halafu ndio waanze nao kutoa dukuduku lao.siku hizi Watanzania tumeanza tabia ya ovyo pale tunapoona yale tunayoambiwa sio yale tunayoyataka huanza kuzomea,kutoa matusi.kutishia maadamano ,sidhani kama tutafika kwa hiyo tabia.Kulipa 100 kwa wakati huu ambapo kuna gharama kubwa za uendeshaji ni sawa na kutaka kivuko kishindwe kufanya kazi hali itakayowafanya watu wa Kigamboni ama wapite Kongowe au WAPIGE MBIZi
 
Jamani jamani tembeeeeeeni muone,msilalamike tuuuuuuuuuuuuuu,sisi wabongo vitu karibu vyote tunapata bureeeee yaaani bwelele na hii ndio imetufikisha hapa tulipoooo

wataniunga mkono wale wote waliosoma nje ya Tanzania

Je umejaribu pia kuchunguza hao wananchi wa huko wanapataje ujira wao? je ni sawa na hapa kwetu? na wale wasio na ajira serikali zao zinafanyaje? Je, mishahara ya kima cha chini kwa mfano inatosheleza mahitaji? Ingekuwa bora kulinganisha hali ya nchi tuzazofanana nazo kiuchumi na siyo Marekani na Ulaya.

Back
Top Bottom