Said Bakhressa aanza kuwasogelea wanasiasa

Hii ni hulka ya wanasiasa wa Zanzibar, kwani mmesahau aliyemtajirisha huyu jamaa? si Mzee Ruksa

acha uongo kama kutajirishwa huyu alitajirishwa na marehemu karume original enzi hizo,kuna siri nzito sana juu ya familia ya marehemu karume na huyu jamaa
 
KUMBE BAKHRESSA ni mwanachama na mfuasi wa The Civic United Front – Chama cha Wananchi (CUF)? Angalia rangi zilizopamba sherehe yake. Ni rangi za CUF tupu.

Ni kweli na ndio demokrasia inavotakiwa iwe,haiwezekani watu woooote tukapenda ccm au wooote tukawa chadema ama cuf,kila mtu ana choice yake ndio maana tulililia mfumo wa vyama vingi ili tuwe na uhuru wa kutoa mawazo na kutofautiana kistaarabu,huyu alishawahi kuwa mpaka mfadhili binafsi wa cuf kama alivo sabodo kwa ccm na chadema,nakumbuka kipindi cha mkapa ccm waliwahi kuchoma unga wake wa ngano maelfu ya tani ili kumkomoa,kilichotokea mpaka leo mkapa anajuta,bahresa alichofanya ni kuishitaki kampuni ya marekani iliyomuuzia huo unga kwa kumuuzia unga usiofaa kama walivyodai serikali ya tanzani,sasa si unawajua wamarekani wanavyojua kulinda wafanyabiashara wao,ilitumwa timu kuja kuchunguza sababu za kuteketeza huo unga...mbona serikali ilibidi wampigie magoti bakhresa yaishe...huyu ni cuf damu na ataendelea kuwa hivyo si mnajua wapemba na cuf yao kama vile wachaga na chadema,mtu mwingine cuf na ccm wanajua ni ramadhani dau wa nccf
 
Kwani Alishaacha Kuajiri Watu Kwa Dhana ya Udini? Au Amepunguza?

we mtu kaajiri mpaka wazungu we unazungumza nini,pale kuna wakenya kibao,wazimbabwe kibao,waganda kibao,hizo za udini ni propaganda tu za wafanyabiashara wenzie dizaini ya kina mengi waliokua wakimuonea wivu,yule mtu simple kinoma mpaka leo ofisi iko palepale uswahilini kariakoo,hana makuu mpemba wa watu na ndio anaongoza kwa kulipa kodi bongo
 
duuuuu! aisee ni mara ya kwanza namuona jamaa. kumbe bado junki kinoma!
 
we mtu kaajiri mpaka wazungu we unazungumza nini,pale kuna wakenya kibao,wazimbabwe kibao,waganda kibao,hizo za udini ni propaganda tu za wafanyabiashara wenzie dizaini ya kina mengi waliokua wakimuonea wivu,yule mtu simple kinoma mpaka leo ofisi iko palepale uswahilini kariakoo,hana makuu mpemba wa watu na ndio anaongoza kwa kulipa kodi bongo

kumbe mpembaaa! aisee kuna mengi ya kujifunza
 
Huyu huwa hapendi kuuza sura au promo kwenye vyombo vya habari.
Tofauti na matajiri wengine akitoa kamsaada ka lakini 5 anaita vyombo vyote vya habari alafu waandishi wanapewa bahasha ukijumlisha zinazidi hizo laki 5 alizo toa lengo nikupata promo kwenye radio, TV, blogs n.k

kama hana point hadharani ajitokeze tu? Mbona sasa kajitokeza?
 
we mtu kaajiri mpaka wazungu we unazungumza nini,pale kuna wakenya kibao,wazimbabwe kibao,waganda kibao,hizo za udini ni propaganda tu za wafanyabiashara wenzie dizaini
Hilo si swala la kumsifia. Na naishangaa sana serikali, inalia kila siku la tatizo la ajira halafu inaruhusu kina Bakhressa ku import wataalam "wakenya kibao,wazimbabwe kibao,waganda kibao...wazungu" kuja kufanya kazi ya kuuza unga na maandazi ya Azam!

Uzalendo zero!
 
Hilo si swala la kumsifia. Na naishangaa sana serikali, inalia kila siku la tatizo la ajira halafu inaruhusu kina Bakhressa ku import wataalam "wakenya kibao,wazimbabwe kibao,waganda kibao...wazungu" kuja kufanya kazi ya kuuza unga na maandazi ya Azam!

Uzalendo zero!


Nani kakwambia wanakuja kuuza unga na mandazi. Wataalam anao import kutoka nje hawafikia hata 20% ya wafanyakazi wake wote na isitoshe wanakuja kwa ajili ya kumanage stregic position's tu.
 
Bakhresa si mtu wa kujisifia na kupenda kamera hata watu wengi hawamfahamu.

Hongera S S bakhresa
 
Bakheresa ni Tajiri pekee mzawa anayedai serikali ya JMT. Mbona JK alifungua mlimani City mali ya Mbostwana hatukulalamika?
 
hizi porojo za masikini mvivu, na wewe kafanye kazi acha anaefanya kazi awe bepari maana hata tusipokuwa na mabepari waua chawa watakuwa wengi
 
Tuache masihara, jamaa anaijuwa biashara!! mie kaniacha hoi na zile malta zake...manake kama unakula ulabu vilee; kumbe wapi!!!! Utashangaa unazikata bottles tu; kulewa hulewi kama unavyokunywa bia na wala kushioba hushibi kama unavyoshiba kwa soda!!! Na isingekuwa kutoka kwa SSB, ingenipa wakati mgumu sana kuamini kuwa sio pombe!!! Likewise, Distribution system yake ndio msingi mkubwa wa mafanikio na haogopi kujaribu!!! nasikia wenye viwanda vya vinywaji baridi washaanza kumtilia fitina kwenye azam coke....! Na kwa rais wa znz kufungua biz yake kwangu sioni tatizo manake kwa mtu kama SSB akitaka ku-influence ki2 kwa hivi sasa anaweza kufanya hivyo hata asipoalika kiongozi kufungua biashara zake. Ikiwa Mkapa (akiwa raisi wa URT)aliweza kufungua kajengo kadogo kama Haidary Plaza, kuna ajabu gani kwa rais wa znz kufungua biasghara ya mfanyabiashara mkubwa na m-tz kama SSB. Hilary Clinton, pamoja na nafasi yake nyeti bado miongoni mwa mambo aliyoyafanya alipokuja nchini ni kuzindua symbion.....symbion kwa nchi kama USA si lolote si chochote ukilinganisha na SSB kwa TZ!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom