Said Bakhressa aanza kuwasogelea wanasiasa

Ameanza kujito kwenye macho ya watu,vema.Lakini ni hatari sana.Siasa ni hatari kuliko HIV.
 
Ni kweli imekuwa rahisi kumchukua rais kufungua shule ambayo haija sajiliwa hata banda la kuku
 
KUMBE BAKHRESSA ni mwanachama na mfuasi wa The Civic United Front – Chama cha Wananchi (CUF)? Angalia rangi zilizopamba sherehe yake. Ni rangi za CUF tupu.
 
Mkuu mbona unazungumza utumbo wewe?

Nchi pasipo kuwa na Wafanya biashara kutakuwa na maendeleo? huko Amerika Serikali inawategemea Wafanya biashara wa Ki Israil na akina Bill Gates, Marehemu Steve jobs na wengine wengi tu Nchi pasipo kuwa na wafanyabiashara akina sisi wasikuwa wafanya biashara tutapata wapi kazi? Acha ubaguzi wako huo. Ana haki Rais kumunga mkono mfanya biashara

Said Salim Bakhressa mimi pia namuunga mkono Rais wa Zanzibar mheshimiwa Ali shein hajafanya makosa kufunguwa biashara ya Mzee Said Salim Bakhressa achana chuki zako hizo.
 
Jamani tusijenge utamaduni wa kupinga kila kitu au kupotosha vitu vingine, unasema viongozi wa serikali zingine (za nje ya nchi) huwa hawahudhurii hafla za kukata au ufunguzi wa biashara za mtu binafsi (mfanyabiashara/tajiri), tusiende mbali, this is a simple fact "alipokuja hapa nchini, Hilary Clinton alikwenda kutembelea /kuzindua mradi wa kufua umeme wa Simbion, ambao naamini haupo chini ya serikali ya marekani bali mtu "wafanyabiashara" binafsi.
 
Pia ifike wakati serikali inapotaka kuingia mikataba na wawekezaji hasa wa nje wawaalike wafanyabiashara wa aina ya S.S.B in negotiations kuliko hawa maofisa wa serikali pekee ambao hata biashara ya kiosk hajawahi wala hawezi kuiendesha

Hilo ni wazo zuri. Inasikitisha kuons utendaji mbovu wa bandari ya Dar es salaamkutokana na kurundikana kwa mizigo unaotokana na urasimu na kutowashirikisha washika dau wengine.
 
Akina bakhresa na wenye nchi hii. Wanapesa zaidi ya serkali kujipendekeza kwa wanasiasa is two ways traffic. Wanafanya biashara wanataka upendeleo kutoka kwa wanasiasa. Wanasiasa nao wanataka pesa za kampeni kutoka kwa ma tycoon kama bakhresa.
 
Unamaanisha nini hapo kwenye bold mkuu?

Kutulisha anamaanisha kuwa huyu jamaa anatuuzia unga wa mahindi na wa ngano; anatupikia keki, maandazi, mikate, machapati, sambusa na vitu kama hivyo; anatuuzia maji ya kunywa, juisi na siku za hivi karibuni ameongeza vinywaji aina ya soda za jamii ya fanya na coca cola.
 
Halafu hakuna mbaya. Mtoa mada anadai ni siku chache baada ya vivo vya wa tz. Mbona huko bara waliendele na sherehe za kumsaka miss tz vodacom tena wazenji walikua ktk msiba mkubwa?
 
Mengi alitwa Ikulu, Watu hamkuiona? Hiyo ni huduma kwa jamii hivyo Serikali Kuzindua Sio Jambo Baya.
 
Wacheni chuki huyu jamaa hapendi kuuza sura kama mbunge wetu lema angukuwa na hela kama huyu jamaa Arusha tungeiona chungu
 
Binafsi nashangaa serikali kutegemea kampuni za nje kuzalisha umeme mfano symbion baadala ya kuwategemea wafanyabiashara wazalendo mfano SSB. Ukichunguza scale ya investment za SSB naamini kabisa anao uwezo wa kufinance 100 megawatt gas/oil fired power plant. Operational profits zingenzuka hapa inchini baadala ya kuishia Ulaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom