Nkanaga
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 653
- 619
Katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga 2011, chama cha mapinduzi kilikuwa na "Majembe" yaliyoongoza kampeni, baadhi ni pamoja ni Ben Mkapa aliyefungua na kufunga, Stefano Wasira, John Komba, Aden Rage mzee wa bastola, Mwigulu meneja kampeni na mchumi daraja la kwanza, Magufuli mtaalam wa kutisha wananchi, na wabunge vijana kadhaa....pia walialikwa wazee wastaafu akiwepo mzee Mashishanga. Ukitangazwa uchaguzi tena, unadhani chama cha mapinduzi kitaingiza safu ipi?