Safu ya kampeni Igunga

Nkanaga

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
653
619
Katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga 2011, chama cha mapinduzi kilikuwa na "Majembe" yaliyoongoza kampeni, baadhi ni pamoja ni Ben Mkapa aliyefungua na kufunga, Stefano Wasira, John Komba, Aden Rage mzee wa bastola, Mwigulu meneja kampeni na mchumi daraja la kwanza, Magufuli mtaalam wa kutisha wananchi, na wabunge vijana kadhaa....pia walialikwa wazee wastaafu akiwepo mzee Mashishanga. Ukitangazwa uchaguzi tena, unadhani chama cha mapinduzi kitaingiza safu ipi?
 
Kwanza ukitaka tuchangie ondoa neno Majembe.hawana hadhi hiyo hao.HAO NI VIMUNDO.Majembe yako Cdm.ova
 
Sasa hivi lazima kampeni meneja awe mwenezi. Kisha upande wa kushoto lazima arudi mchumi class A. then pembeni kibonge STD VII, Kibajaji. Hao wengine ni wakuja na kutoka tu ila BWM hawezi kujiingiza tena weee.
 
Mkuu Dallai lama iangalie hiyo "Majembe" vizuri, ipo ndani ya alama mwanzo na mwisho.
 
Kwanza ukitaka tuchangie ondoa neno Majembe.hawana hadhi hiyo hao.HAO NI VIMUNDO.Majembe yako Cdm.ova

mkuu umenena nilipoona neno majembe nilistuka. hivo vimundu c walivipeleka arumeru vikakuta MAJEMBE we vilipoteza mipini. Nakumbuka vilibaki na matusi na kuchafua familia ya mwalimu.
 
Mi nilidhani Igunga tutaongelea Majaliwa ya rufaa, kumbe tumeanza kuongelea kampeni!...my hairs!
 
Kwanza ukitaka tuchangie ondoa neno Majembe.hawana hadhi hiyo hao.HAO NI VIMUNDO.Majembe yako Cdm.ova

Exactly,huwa nashangaa ccm wanaitana majembe badala ya mundu au nyundo,kazi yao kuiga njia ipitayo CDM.Kaaaaaaaazi kwelikweli.
 
Najaribu kuzungusha akili huku na kule kupata picha, kama yale "Majembe" ndo kwanza yameletekeza hoja zilizoimwaga ccm ktk kesi, nani gwiji basi atakayeaminiwa kupewa rungu pindi uchaguzi ukitokea?
 
Nina wasiwasi kuanzia JK mpaka Kibajaji na mchumi grd A Hakuna atakayekubali kwenda Igunga, hilo jimbo la Igunga CCM hawatasimamisha mgombea, wanaona haya.
 
labda watakuja na chipukizi wao kama malecela , na mama ana abdallah majembe ya ziada hayo wakati
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom