Jason Bourne
JF-Expert Member
- May 11, 2011
- 200
- 438
- Thread starter
- #61
Amini usi amini takwimu zinazidi kupaa za sharobaro wetu wa magogoni! Anazidi kuigawa dunia mapandemapande vyovyote atakavyo na sasa huyooo kwa Madiba!!
Juzi juzi tu alikuwa huko south Africa kwa mambo haya haya ya uwekezaji! Hv kwanin asiende mkurugenzi wa EPZA,AU HUYO WA TIC AU HATA WAZIRI WA UWEKEZAJI NA UW EZESHAJI AU MEMBE BASI! Aaaaaah' inakera sana kuwa na raisi kama huyu!
Safari zake zimekuwa nyingi mpaka anayeupdate blogu ya Ikulu kashindwa: Ikulu Mawasiliano
namalizia course ya website dev,subiri utaona nitakavyopoteza hizi web za kipuuzi,kamwe hazitaonekana tena,nina hasira sana!!!!!!!!!!
Pole sana! Namshukuru mungu mimi nilishamtoa akilini mwangu hata kabla hajaingia magogoni!Mwache aende coz anajua katiba mpya itaondoa kinga ya raisi mstaafu kutoshitakiwa na ikiwa hivyo kwa madudu aliyoyafanya lazima tumpige ndani. Huwezi amini ndg yangu hamna mwanasiasa niliyewahi kumpenda na kupoteza muda wangu mwingi kumsikiliza kama huyu lkn sasa viceversa is true namchukia huyu jamaa zaidi ya malaria.
Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...
Mkuu hapo hujajumlisha siku alizospend huko safarin or? Ni safari nyingi sana!Mheshimiwa wa magogoni juzi alisafiri kinyemela bila kutuaga waajili wake na kwenda Juba South Sudani kwenye birthday ya taifa hilo!Hiyo ni safari ya 313 ta awe rais wa tz mwaka 2005!
Unajua ulichokiandika lakini? Nawasi wasi party affiliation feelings zinakutesa!Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...
We ukiwa upande gani?Anzisheni maandamano.
You were a bit incorrect, you should have said before the middle of this July. Yuko South Africa.Mark my words......Nakuhakikishia before end of July mkuu wa nchi atasafiri tena kwenda nje ya nchi tena sio mara moja, kama kuna anyebisha let's bet a million $$$