Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

Kama ni kweli idadi iliyotolewa basi hana tofauti na mhaini! Najua tabia ya wapenda anasa kama yeye hawawezi kutulia zaidi ya kuzungukazunguka kama mbweha
 
Du bila shaka carbon footprint ya mkuu ni kubwa ajabu. Sijui Kyoto protocol inazingatiwa? Haya ma expensive toys hayai kabisa.
 
Du bila shaka carbon footprint ya mkuu ni kubwa ajabu. Sijui Kyoto protocol inazingatiwa? Haya ma expensive toys hayafai kabisa.
 
Sasa unataka abaki nchini mumpigie kele za umeme na fujo za maandamano yenu?maraisi wasio na tija huwa hawatulii ikulu na huyu ni mfano wa hao.tumechajua mzururaji na si mtendaji.next time tusifate sura,ndo mana anauza sura tu nchi za watu.
 
Wakuu mnajua kama waandishi wetu wa habari wangekuwa "creative" hii topic ya safari za nje za Raisi ingekuwa nzuri sana ya kuifanyia investigation, (60 minutes style) sijui kwa nini hawaangali wenzao wanafanya nini. Kama mwana JF anajua idadi ya ziara za JK nje ya nchi na watu ambao wanalipwa kukusanya habari hawajui inasikitisha, Kuddos to this JF member.
 
Sidhani kama Mh. JK anatambua kuwa yeye ni mkuu wa nchi. Nafikiri kuwa anafikiri anashikilia role ya u-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa...ningekuwa ni Bernard Membe ningeweka deal na huyu jamaa la ku "switch positions" yeye afanye kazi yangu ya kusafiri na mimi nifanye kazi yake pale Ikulu. Halafu nafuu hata misaada yenyewe tungekuwa tunapewa bure..tuna accumulate madeni kwenye hii misaada ambayo baadae lazima tuyalipe. Inasikitisha.
 
Mbona watu tunaingila privacy za watu? He is president, we don't have right to question chochote!
Wrong move Rejao....hebu fikiria mara mbili mbili uone how wrong you are.
 
Wakuu mnajua kama waandishi wetu wa habari wangekuwa "creative" hii topic ya safari za nje za Raisi ingekuwa nzuri sana ya kuifanyia investigation, (60 minutes style) sijui kwa nini hawaangali wenzao wanafanya nini. Kama mwana JF anajua idadi ya ziara za JK nje ya nchi na watu ambao wanalipwa kukusanya habari hawajui inasikitisha, Kuddos to this JF member.

Waandishi habari wa bongo wanajua nini zaidi ya kuandika upupu wa mtaani? Wao ndio wanaorudisha nyuma nchi hii na ni wa kuogopwa kuliko mafisadi. Wameshakatiwa na JK na CCM kwa hiyo wanachoandika ni mambo ya kumfurahisha mkuu wa nchi na chama chake
 
Acha umbea ww dogo...fanya research usikurupuke ni marais wangapi wanafanya ziara...kaz yko ni kuhesabu safari z rais zinakuhusu nn...kama huna huna hoja ondoka jf...au bado una ndoto za slaa kuwa rais nchi hii....acha jk ajinafasi ts tym 4 hm...

Umelipwa kiasi gani kumtetea tozi wa Boys II Men?? OOps...I know...tarehe ya kujiunga kwako JF says a lot. ofcourse lazima tuhesabu ziara za Rais kwani akilala Waldorf Astoria analala kwa hela yake au ya walipa kodi walalahoi wa ki Tanzania...Narudia tena Rais unaye mtetea ni JUHA! period, angekuwa anajua matatizo ya nchi yake angeacha for once kuwa Waziri wa Mambo ya Nje..lakini hajitambui..there you go.
 
Aage kamsahau nani huku bongo????
Hata hotuba zake mbofumbofu za mwisho wa mwezi kazikacha kisa kuwa bize na safari za mamtoni daaah hii kali sana jamani mwenye data vizuri tujuzeni huyu jamaa ni lazima atakuwa na maslahi na hizi safari sio bure kila kukicha mara yupo uwanja wa newcastle akiangalia mpira wa ligi kuu ya uingereza mara mpira wa kikapu marekani..huku watanzania maskini wakifa kwa njaa vijijini, Hivi tumemkosea nini Mungu jamani mbona raisi wa serikali ya CCM anafanya hivyo? nani anamshauri huyu jamaa? Mmmh jana Lembeli kasema uvumilivu wa wanyamwezi na wasukuma utafikia mwisho then Barrick watavamiwa na sisi Watanzania uvumilivu utatushinda sijui itatokea nini..
 
msafiri mashuhuri mithili ya Vasco da gama or Marco pollo. duh! Mshikaji anatalii sana!
 
Wabongo bana, sasa mlitaka awatume nyie? acheni kelele za kipumbavu, safari ni katika kazi za rais. Hii kelele yote ni ya CDM. tumewazoea.
 
Back
Top Bottom