Mhe.Chenge amedai kwamba Spika amemchafulia jina Nationally and Internationally.
He says he is going to push for a Parliamentary Disciplinary Committee to oversee this issue.
His Lawyers are going to act promptly.
Kivumbi hichooo!
Tuwaache waparurane wenyewe kwa wenyewe labda chama chao cha mafisadi kitasambaratika na hivyo kuleta mabadiliko makubwa katika anga za kisiasa Tanzania.
bado ni mtuhumiwa tu ,mpaka ithibitike si umeona akina Lowasa sasa eti wamikuwa wasafi baadaya kusafishwa na Chama chao Chama Cha Matopasi.anayechafuliwa jina ni aliyemsafi na si mchafu kama Chenge
wanaomtetea chenge nisawa na wale waisifuyo mvua kwa kuwa imewanyea, bei zao ni ndogo mno!kwa kuwa wamevalishwa miwani za mbao ili wasione kinachoendelea, wanapishana na mama zao wakijifungua barabarani kwa kuwa hakuna hospitali, wanapishana na vibaka barabarani hata wakati mwingine kunyanganywa kamera zao, lakini hawaelewi kuwa vibaka hawa ni kundi lililozulumiwa kwa kukosa ajira kwa ajili ya ufisadi wa chenge na wenzao, wamevaa miwani za mbao na kuziba maskiko yao kwa pamba! msipoteze muda wenu kwa fedhuli hawa
siyo mambo yote yanayosemwa ni uchawi yanahusiana na mashetani au visivyoelezeka kisayansi. Kuna mambo yanayofanywa na wachawi lakini msingi wake uko katika sayansi.
Wacha wakabane , lakini Spika kuna kitu kafanya ama kasema kuhusiana na Chenge ama ndiyo bifu za kuachia mjadala wa Richmonduli ?
Chenge hakufurahishwa na kauli ya Sitta kuwa watawashughulikia mafisadi huko bungeni.
Na ndio maana Chenge akatumia VITISHO ili bunge lisiyajadili madhambi yoyote ya mafisadi.
Thats my take for now...Tunasubiri kuona kama watakamatana.