Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

fisadi mmoja atashinda uspika. Wabunge kama Peter Serukamba na Makongoro Mahanga lazima watawampigia kura spika fisadi.
 
Wakirogwa tu hao ccm wakampitisha Fisadi yoyote yule wanazidi kukichimbia kaburi Chama,Wabunge wa sasa hata wa ccm wengi wao c wale wa ndio Mzee watakuwa wako Radhi kumpa wa upinzani mwenye Intergrity yakutosha,personaly nadhani watu perfect wakugombea hapo ccm ni Job Ndugai na Samwel Sitta tu,huyu Mama Makinda ndo hafai kabisa nakufanya kaz kwake kwa Maslahi ya Chama kwenye hili Bunge la wakiendekeza upumbavu hata Mabanzi watakula.
 
SURE MKUU!
Mkakati wa kumchagua Spika safari hii kwa upande wa ccm utapewa kigezo cha ziada, maana wameona wabunge watakaokuwepo bungeni kuwa hawatahongeka kwa namna yoyote...
 
Nami nimesikia kutoka magazetini...kweli ndugu inatisha! Hata kama wabunge machachari wapo, kama spika hataki hoja fulani ijadiliwe ndio basi haitajadiliwa bungeni.
Nadhani kwa sasa wabunge wa upinzani wamuunge mkono Mzee Sitta ili kuokoa hicho kiti, or else utashuhudia ufisadi ukitamalaki. Kumbukeni hii ni awamu ya mwisho ya muungwana, waliomuweka hapo wanataka chao...ooh!
 
Kama kweli wabunge wanaitakia mema Tz, basi wajiepushe na Chenge kwa nguvu zote. Tena wakitaka "balance" wamchague naibu spika toka upinzani kama akijitokeza mwenye uwezo kugombea.
 
Ole wao walioipigia thithiem, i new this was coming.after all, this is the last term for this government. there is no any incentive to perfome. You will see many more bad things.
nami nimesikia kutoka magazetini...kweli ndugu inatisha! Hata kama wabunge machachari wapo, kama spika hataki hoja fulani ijadiliwe ndio basi haitajadiliwa bungeni.
Nadhani kwa sasa wabunge wa upinzani wamuunge mkono mzee sitta ili kuokoa hicho kiti, or else utashuhudia ufisadi ukitamalaki. Kumbukeni hii ni awamu ya mwisho ya muungwana, waliomuweka hapo wanataka chao...ooh!
 
Wakirogwa tu hao ccm wakampitisha Fisadi yoyote yule wanazidi kukichimbia kaburi Chama,Wabunge wa sasa hata wa ccm wengi wao c wale wa ndio Mzee watakuwa wako Radhi kumpa wa upinzani mwenye Intergrity yakutosha,personaly nadhani watu perfect wakugombea hapo ccm ni Job Ndugai na Samwel Sitta tu,huyu Mama Makinda ndo hafai kabisa nakufanya kaz kwake kwa Maslahi ya Chama kwenye hili Bunge la wakiendekeza upumbavu hata Mabanzi watakula.
Binafsi ningemuunga mkono Jenista Mhagama au Job Ndugai, Sitta is kwishnei!!
 
Nimesikia habari kupitia magazeti ya leo kwamba Chenge naye amechukua fomu ya kuwania uspika. Kulikuwa na tetesi kuwa ile kambi ya mafisadi wameamua kuongoza bunge katika nafasi ya uspika, chenge kuchukua fomu inamaanisha ni kweli kwamba jamaa wamepania ili wajisafishe (mafisadi) kwa kutumia uspika.

Hizi ni habari mbaya kwangu kwani hawa jamaa wana nguvu ya kifisadi wanaweza kuwashawishi wabunge uchwara (wa CCM) ili wawapigie kura na hivyo kuutwaa uspika.

Hivi kutakuwa na mijadala ya kifisadi tena, Bunge litakuwaje. Napata wasiwasi.

Wengine waliochukua fomu ni Anna Makinda na Samwel Sitta.

Mama yangu na chenge!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ama kweli dunia imeisha.
 
CHENGE sio mtu wa kupa hilo Bunge aliendeshe maana hata ruhusu kabisa mijadala ya maana ijadiliwe Nchi itakwisha.
 
Well:Well:Well

Bunge lijalo halitazungmzia tena:-

- Meremeta/DEEP Green
- RichMond
- EPA/Kagoda
- E.T.C

Regardless nani ni SPIKA! Binafsi pia nisingependa kumsikia Mbunge akiongelea hayo masuala - Yabaki kama historia BASI!

Na wewe fisadi nini?
 
Hii ni kweli? Eti Lowasa na Chenge wamechukua form za kugombea uspeaker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa TZ?

Na kama ni kweli, ni nini mustakabali wa taifa hili endapo mmoja wao atafanikiwa kuwa speaker?
 
Mustakabali wa nchi utakuwa very positive!
Ni kwamba wakichaguliwa hawa kuwa spika, watajitahidi sana kutetea UFISADI bungeni, na hivyo kurahisisha sana kazi ya CHADEMA kwa malengo ya 2015...NIMEMALIZA!
 
You mean it will be a blessing in disguise!?
 
Chenge au Lowassa au Rostam au Ridhiwani moja wao akichaguliwa kuwa Spika ndiyo biashara itakuwa imekwisha, maana hautasikia hoja za wapinzani zikijadiliwa. Hii itakuwa kama enzi ya Uspika wa Pius Msekwa, alikuwa anapinga hoja za wapinzani live pamoja na kujua zilikuwa zinaukweli.
 
With CCM walivyo wagumu kusoma alama za nyakati wanaweza.
Ila ndo itakuwa jeneza lao
 
ccm watakuwa wamejinunulia sanda---btw kuna baadhi ya watanzania wameziba akili zao
 
Back
Top Bottom