Safari mpya,pray for me

eyetyna

Senior Member
Jun 24, 2011
148
17
Wana Jf Nimeanza safari mpya ya urafiki na mtu mmoja hivi,na natamani tufike mbali. Naomba maombi yenu katika hili ili lengo tunalokusudia liweze kutimia,kwani nimesaumizwa sna na naamin kuwa sitoweza kutendwa tena kama mwanzoni.......
This is serious i need your prays.
 
Shukran zetu zako za dhati,mungu ndio atakayekulipa kwa sala zako
 
Tutalipwa lini?
Nenda katoe shukrani kanisani/msikitini, umwombe Mungu wako akuepushe na matapeli wa mapenzi.
 
Huwezi kuwa siriaz unaposema watu wakuombee....maana mie napata maana ya kwamba umekuja kutupa taarifa kuwa umeanza mahusiano mapya...
Mie nakutakia kheri kama nayo inaweza kuitwa sala....
 
kila la kheri,ukitendwa kumbuka wat does not kill u makes u stronger and tat life goes on....ukifanikiwa mshukuru mwenyezi Mungu kwa kukubariki
 
Chamsingi ukatimize wajibu wako naye atimize wajibu wake jahazi lenu litasonga,pia utambue ninyi ni wanadamu so makosa madogo madogo ni kawaida sana.
Kila raheli eyetyna!
 
E Bwana muumba wa rehema,mjalie huyu mja wako Eyetyna,apate haja ya moyo wake,e baba Mungu mwepushe na mafisadi wa mapenzi kina Fidel,TF,Aspirin,Kaizer,Rejao na wengine wote,E Baba msaidie mtumishi wako aone njia ya maongofu,aache kuiga tabia za umbea za kina Husn,SL,Smile na wengineo,e Baba mpe ujasiri wa Eliza wa Tegeta,busara na hekima za Faiza foxy,e baba toa mapepo yote aliyorushiwa na Bujibuji,mpe nguvu kiumbe wako asishawishiwe kuonja utamu uliotukuka wa Bishanga akaachika,Eimen!
 
Weka mkono wako wa kuume juu ya kifua chako na tuombe wote...Eh Mungu,Muumba mbingu na nchi.....,katika jioni hii ya leo,ukamuepushe na majiribu ya kila namna,...., .....,binti funga mlango kisha zima taa,sogea nilipo na usipige kelele,tunene kwa lugha....

Mtumainie bwana na kila kitu chako kitabarikiwa.
 
E Bwana muumba wa rehema,mjalie huyu mja wako Eyetyna,apate haja ya moyo wake,e baba Mungu mwepushe na mafisadi wa mapenzi kina Fidel,TF,Aspirin,Kaizer,Rejao na wengine wote,E Baba msaidie mtumishi wako aone njia ya maongofu,aache kuiga tabia za umbea za kina Husn,SL,Smile na wengineo,e Baba mpe ujasiri wa Eliza wa Tegeta,busara na hekima za Faiza foxy,e baba toa mapepo yote aliyorushiwa na Bujibuji,mpe nguvu kiumbe wako asishawishiwe kuonja utamu uliotukuka wa Bishanga akaachika,Eimen!
mh bishanga mgomvi ww hahaha! ila ni bonge ya sala me luv t! kila la kher mwaya ktk mahusiano yako mapya jus kp t real n muombe mungu sana atawasaidia!
 
Bidada wakati unasali usifunge macho, manake ukifungua utakuta washamchukua juu kwa ju! Kumbuka wamisionari walikuja na bible mkononi, wakatuambia tusali. Kufungua macho sie tunaimba biblia wao wanaruka na dhahabu na kila kitu.
 
E Bwana muumba wa rehema,mjalie huyu mja wako Eyetyna,apate haja ya moyo wake,e baba Mungu mwepushe na mafisadi wa mapenzi kina Fidel,TF,Aspirin,Kaizer,Rejao na wengine wote,E Baba msaidie mtumishi wako aone njia ya maongofu,aache kuiga tabia za umbea za kina Husn,SL,Smile na wengineo,e Baba mpe ujasiri wa Eliza wa Tegeta,busara na hekima za Faiza foxy,e baba toa mapepo yote aliyorushiwa na Bujibuji,mpe nguvu kiumbe wako asishawishiwe kuonja utamu uliotukuka wa Bishanga akaachika,Eimen!
Bishanga, Huyu mungu wetu ni mwema sana! Nina uhakika atakuwa ameisikiliza sala yako na kuipokea kwa mikono miwili!
 
Ila sala ingekuwa na manufaa kama angemuombea apate utulivu kama wa king'asti. Asije akawa na small house

Back
Top Bottom