Sabodo kumchangia mgombea wa CHADEMA milioni 500

Hongera zako mzee Sabodo,hakika umeonesha nikwa jinsi gani unavyopenda mabadiliko mzee Sabodo,endelea hvyohvyo na Mungu atakusaidia kwaenye biashara zako
 
Sabodo amethubutu na anaendelea kuthubutu!
Naona serikali imeshindwa kumfix kama wafanyabiashara wengine wanavyowafix
Keep it up sabodo
 
Sioni tatizo la kuchukua msaada kwa huyu mzee,ila inapaswa kuchukuliwa kwa umakini sana.Isije ikawa source yake ni sehemu isiyo salama...
 
Hivi Sabodo anafanya biashara gani?

CHADEMA kuweni makini na michango kama hii japokuwa najua CHADEMA ni chama cha wafanyabiashara lakini michango ya namna hii mwisho wake ni kitanzi kwa chama. Kumbukeni michango kama hii ilianza taratibu kwa CCM na kisha wachangiaji wakaingia kwa nguvu na sasa ni mkakati wa kuvuana gamba!
 
Mi naona CDM wange anzisha mfuko maalum sisi wanachama na mashabiki tuchangie, tuanzie hapo kwenye huu mchango wa mzee sabodo tukusanye hela zenye makusudi ya kuchimba visima kwenye maeneo kame nchi nzima bila kujali itikadi za vyama maeneo kama singida,shinyanga,tabora,dodoma,manyara na kwingneko,haya yafanyike si kichama zaidi bali kiuzalendo zaidi nnahakika mbeleni wananchi watajenga trust sana kwa chama chetu hivyo kukifanya chama pekee kinacho wajibika kwa jamii yake.,mungu ibariki tanzania mungu ilaani ccm.
 
  • Thanks
Reactions: ral
Hivi Sabodo anafanya biashara gani?

CHADEMA kuweni makini na michango kama hii japokuwa najua CHADEMA ni chama cha wafanyabiashara lakini michango ya namna hii mwisho wake ni kitanzi kwa chama. Kumbukeni michango kama hii ilianza taratibu kwa CCM na kisha wachangiaji wakaingia kwa nguvu na sasa ni mkakati wa kuvuana gamba!

Sabodo ni business mogul, mojawapo ya biashara zake ni ile New world Cinema pale Mwenge. Ni mzalendo kweli kweli na mwanaharakati asiyeogopa. Huyu jamaa si mara moja na toka miaka ya mwisho wa tisini alikuwa ananunua page nzima kwenye magazeti makubwa makubwa kuinanga serikali. Mfano bofya hapa

Chadema achaneni na misaada ya hawa wafanyabiashara, yatawakuta kama ya ccm.

wale wa ccm wanafanya biashara za unga na wengine wanatuibia fedha za bot na miradi hewa ya serikali,wengine hawalipi kodi! Lazima wajikombe kwa magamba. Unafikiri ra angekuwa anafanya biashara halali angeenda igunga?
 
Hizi pesa zunaenda kwa wananchi moja kwa moja na sio za matumizi binafsi Kama wafanyavyo viongozi wa ccm.

pesa za walala hoi wa ccm zinaishia mikononi mwa watoto wa mkuu wa kaya.wanaishia kuzitumbua na wale wanawake wanaowaahidi ukuu wa wilaya.
 
WEWE SABODO! na hivyo vipesa vyakoo, tutakufilisi. kuwa makini na unachokifanya.
 
Ndie huyu mwenye kutetea Watanzania wenye asili ya Kiasia wa NHC au mwingine?,hakika mbele ya safari CDM mkiendelea na tabia ya kupokea Pesa za aina hiii,zile sifa zenu zote kama CHAMA MAKINI zitapotea huko mbele ya safari na ndio itakuwa mwanzo wa kununuliwa kusimamia haki.Tafuteni vyanzo vya umma kukusanya pesa ya kuendeshea chama ili mje kupata dhamana ya kukabidhiwa Nchi.

Watoa pesa nyingi kiasi hicho jueni zitaitajika kulipwa,mtaziludishaje hizo pesa,kwaa njia hipi,au ndio muwape nafasi wapinzain wenu kuwa mtalazimisha kwenda ikulu ili mlipe pesa za matajiri wa kiasia walio ingiza [Inject] kwenye chama chenu.Ninategemea chadema kuwa chama chenye mvuto na style ya aina yake na sio kucopy na kupaste namna ya kujitengenezea pesa.Chama kizuri ni kile chenye watu waliozamilia [Commited] na kujituma kwa hiali na moyo kufanya kazi ya kutumika chama kwa moyo wa hiali na sio kwa kununua mbinu za kuwapata wananchi wa kukiunga mkono chama.

Kwa kusudio kuwa Taifa linaitaji vyama viwili makini vya kupambanishwa katika kufukuzia nafasi ya kupewa madaraka ya kuchukua nafasi ya Urais na kutawala Taifa hili,basi CDM kama wao pia wako katika list hiyo basi hawana budi kujiandaa namna ya kumilki chama chenye mkakati wa kisayansi na sio chenye kucopy na kupaste hivyo kwa watu makini hakuna tofauti na kwingine hivyo basi wataona ni bora na kuendelea na chama kilichoko madarakani kulikoni kuwa na chama ambacho hakina tofauti na hawajui uwezo wake kama kweli kinaweza.Hivyo wataona ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili au heri ya zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Kama chadema ni makini Watch Out.

Wanafiki kama huyu humu ndani huwakosi na ndiyo unakamilisha usemi huu: "MSAFARA WA MAMBA KENGE WAMO"
 
Acha bifu zako za kike, zile ukipigwa chini tu unasema "i hate all men" au "all men are dogs". Kama una issue na mdosi mmoja au kikundi cha wadosi deal nao mwenyewe kivyako huko.... Maana wewe kila unapochangia hutizami ujumbe wala mchango wa mtu as an individual, unatazama race nzima na kugeneralize na HATE SPEECH. ACHA UKABURU DOGO... Mtoto wa miaka ya 70s unapokua KABURU ukizeeka utakua mchawi wa kuua kabisa. Your Mindset haina tofauti na HITLER... GROW UP kid!
 
Sabodo ni mfano wa kuigwa, wafanyabiashara sio tu mng'amg'anie ccm hata kama mnaoana kabisa kuwa haitufai na hamuwezi hata siku moja kutoa mawazo kuipinga ccm. badilikeni kuweni kama sabodo, saidieni vyama vya upinzani pia. shirikini kwenye mipango ya maendeleo ya vyama vya upinzani.
ACHENI UOGA

HUYU SIO KADA WA CCM, ni kada wa chadema ambaye amejificha ktk kimvuli cha CCM. Haiwezekani wewe mwana Yanga Ukaisaidia Simba kushinda hata siku moja.
 
Sabodo amethubutu na anaendelea kuthubutu!
Naona serikali imeshindwa kumfix kama wafanyabiashara wengine wanavyowafix
Keep it up sabodo

Uko sawa mkuu, Mzee Sabodo yuko sahihi kusema kuwa hali ya Tanzania imezidi kuwa mbaya kwa njongeza ya maadui wawili wapya ;wizi na ufisadi! Angalia Mhe Mkullo kafanya nini katika wizara ya fedha - wizi mtupu na dharau tele kwa kiongozi wake Rais Kikwete. Kusema uongo bungeni ni aibu kubwa na inamtosha kuwajibika na kuacha kazi na achukuliwe hatua kali. Rais Kikwete take immediate action and save the nation!
 
Kwa maelezo rahisi Sabodo amechangia moja kwa moja maendeleo ya wananchi wa Tanzania ... hapo CHADEMA wamekabidhiwa jukumu la utekelezaji.Ni nafasi nzuri ya kuonyesha uadilifu na uchapaji kazi wao kwani kwa fedha walizopewa na visima watakavyochimba itatumika kama kigezo pia cha kuangalia pia CCM huwa wanatumiaje kwani tutajua wao huwa wanatumia gharama gani kuchimba visima kama hivyo.Kama hamtakuja kusikia CCM kufanya kazi kama hiyo wanatumia mabilioni.

Happy Nyerere day WanaJF!
 
Back
Top Bottom