sababu zilivoanzisha vurugu katika kijiji cha Ndago jimbo la Iramba magharibi mkoani Singida

To hell with these blood politika
ustaarabu wa watanzania umeenda wapi
 
Mkutano umeandaliwa na Chadema laikini wasikilizaji ni wananchi wote. CUF,CCM,TLP,NCCR Na wasio na vyama lazima waende kwenye mkutano wa chama chochote kinachotaka kutwaa madaraka. hivyo siyo sahihi kuhoji CCM wamefuata nini kwenye mkutano wa CHADEMA. ingekuwa chadema wanajihutubia wenyewe tu then hakuna haja hata ya kuzunguka kufanya mikutano. maana lengo mojawapo la mikutano ya siasa ni kushawishi watu wa vyama vingine na wasio na vyama waunge mkono chama husika katika kusaka madaraka. so wanapopata wasikilizaji wengi toka vyama vingine ndiyo mafanikio ya mkutano.

ni kweli kabisa,lakini wa kulaumiwa hapo ni wale walioanzisha fujo!kwa maana hatakama vyama vingine vilifika iliwalazimu watulie wasikilize na kama kuna malalamiko vyombo husika vipo kwa ajili ya usalama!
 
Polisi wetu na kazi za uhakimu siwawezi...........sijui alijuaje kuwa wauwaji ni CHADEMA.....

Alisema kitendo hicho kiliwaudhi baadhi ya watu waliokuwa wamehudhuria mkutano huo."Wananchi hao walichukizwa na kitendo cha kukashifiwa mbunge wao na walianza kupiga kelele kuwa hawataki mbunge wao akashifiwe na badala yake, wakawataka Chadema wawe wanaeleza sera zao na si vinginevyo," alisema. Kamanda huyo alisema licha ya tahadhari hiyo, viongozi hao waliendelea kueleza kashfa za Mbunge Nchemba na ndipo vurugu zilipoanza.


Alifafanua kwamba, vurugu hizo zilianza baada ya wafuasi wa CCM waliokasirishwa na kashfa zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa Chadema kuanza kuwarushia mawe wafuasi wa Chadema.

Kamanda Sinzumwa alisema askari polisi wachache waliokuwapo, walizidiwa nguvu na makundi hayo."Huyu Mwenyekiti wa Vijana wa CCM, Yohana alikimbilia kwenye nyumba ya Mwalimu Shume Manase ili kuokoa maisha yake, lakini kundi la wafuasi wa Chadema wakiwa wamebeba fimbo na mawe, walimpiga sehemu mbalimbali mwilini na kusababisha kifo chake papo hapo," alisema.
 
Kwa taarifa hii kama kweli kuna jeshi la polisi wangepata pa kuanzia, lakini kwa polisi-ccm hii taarifa kwao ni majungu.. Ujumbe huu ni kwako IGP na makamanda wako.
 
kiufupi wafuasi wa chadema wakiongozwa na mnyika wameuwa na kujeruhi.tuilaani tabia hii mbaya.
 
Hukumu ya wauaji wa CDM ni wao pia kuuwawa, kwani CDM wameishafanya mauaji mengi sana , sasa uvumilivu basiiii

Umeona hukumu ya viongozi wa CHADEMA tu,Wahusika wa EPA,KAGODA,RICHMONDULI,TWIGA,MEREMETA,RADA NA DEEP GREEN waendelee kuwaibia watanzania dhaifu mkubwa wewe
 
''wafuasi wa Chadema wakiwa wamebeba fimbo na mawe, walimpiga sehemu mbalimbali mwilini na kusababisha kifo chake papo hapo," alisema.Kama huyu ndiyo RPC.........Tanzania tuna kazi kweli kweli!!!
 
Upande mwingine mtu anaweza akafa ukashukuru Mungu. Mungu anaweza kutufundisha kwa njia nyingi. hii inamaana tusiletee fujo wenzetu wanapokuwa wanafanya mikutano nayo. funzo la pili ni kwamba tujibu hoja kwa hoja sio hoja inajibiwa kwa matusi au kwa kufanya fujo. ni hayo tu.
 
Umakini wa CDM na umakini wa raia wema wa nchi hii unahitajika sana katika kipindi hiki hadi baada ya uchaguzi mkuu 2015.

CCM ni mafia-eque mob/party ambao kwao siasa ni mfumo wa mapato na ulinzi wa mali zilizopatikana kwa dhuluma.
Ni genge la watu wachache waliojipa umiliki wa nchi na ambao wanadhani kuwa kwa gharama yoyote wataendelea kubaki madarakani.

Kwa shahidi zilizopo na historia yao huko nyuma ni lazima tuwe makini na jasiri. Ukombozi ni lazima, ushindi ni haki ya wananchi!
 
Kwa hili ccm na jeshi la polisi wawajibike.Mazingira ya tukio ni ushahidi tosha hivyo naamini vijana wa ccm ndo walianzisha vurugu baada ya makombora ya wahutubiaji kuwaelemea.Kama chadema wangekuwa hivyo basi Lusinde angepigwa sana kule Arumeru. Enyi ccm mnaipeleka nchi pabaya kwa sababu za kipuuzi kabisa ,kama wapinzani wanakashifu badala ya sera si mtulie then wananchi waje kuwaadhibu kwenye uchaguzi 2015? Mi nadhani ccm ndo hawana sera ndo maana wanaleta migogoro!
 
Mkuu mimi najaribu kuwa fair kwa nafsi yangu katika mambo yote humu JF, na si mnazi bila kuyapima mambo.

Suala la Ndago huko Singida pamoja na utata wa mazingira yake , ni la kulaaniwa na Mtanzania yeyote kutokana na mauaji ambayo sasa yanaonekan dhahiri kuwa ya kisiasa.

Kitu cha kunote hapa ni kuwa kuna vijana(wa UVCCM inavyoonekana, sina uhakika) walikodiwa kuelekea uwanja wa mkutano wa CHADEMA kwa nia ya kufanya fujo.
Hili si suala la kistaarabu katika miaka hii ya vyama vingi.

Na bado tutabaki tukijiuliza kuwa wauaji haswa walikuwa nani, ni wale waliowapeleka hao vijana wakdhurike? au wale waliowadhuru kwa kuwaua?
Polisi wachunguze na wote watiwe hatiani kwa mauaji.

Mkuu kama unalitambua hilo thanks, well done!
ila kuna jamii kama Burn Karudi hata kama anaujua ukweli lazima akabishe, watu kama hawa wanahitaji ukombozi wa fikra kwanza.
Thanks for your very useful post
 
Last edited by a moderator:
duh,,,umenifungua mkuu, coz hata Mchemba alivyokuwa napayuka bungeni leo, nilikuwa cjafunguka sawa sawa!
 
Mmeua badala ya kutubu kwa muumba wenu mnaendesha kampeni ya umbeya. Damu ya Ndago haitafutika kwa kuongeza dhambi.
Aliyeuawa kajiua kwa kukusudia kwani nini hasa kilimpeleka kwenye mkutano wa CHADEMA na isitoshe wao pia walikuwa na dhumuni la kutoa uhai wa viongozi wa CHADEMA waliokuwepo hasa MH. Mnyika.

Lakini kwa kazi nzuri ya ulinzi ya na mapenzi mema kwa viongozi wao vijana wa CHADEMA wameweza kuwalinda viongozi wao na kutoa fundisho kwa walioanzisha fujo.

Sipendi kuona wala kusikia mtu akipoteza maisha lakini imebidi kwa sababu ya uhuni walioufanya ha vijana wa CCM.
 
563491_10151029058654339_1932870910_n.jpg


Hapa Mnyika akihutubia kabla ya kuanza kuvurumushiwa mawe na CCM
 
Hawa wanaojiita wanachama au wapenzi CDM nahic wakapimwe akili mtu anapoteza maisha na bado tu wanaunga mkono ujinga wao hivi ingekuwa yule alie kufa ni jamaa yako ungejickiaje juweni damu ya mtu haifutiki hata kama walikuja kuharibu huo mkutano lakini dhambi ya kuuwa ni kubwa ni ujinga mnaofanya kutetea maovu kujifanya mnauchungu na nchi si kigezo cha kutoa roho ya mtu I HATE FOREVER CDM
 
Back
Top Bottom