Sababu za wameru kumkataa Siyoi Sumari

leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.

Nawaunga mkono 100% hapo kwenye red na watanzania wote tuiige mfano huu.
 
Nawaunga mkono 100% hapo kwenye red na watanzania wote tuiige mfano huu.
Wajomba zangu waligombania uongozi wa ukoo, ilikuwa bifu kubwa sana!!
Kuna mangi meru ... ila wanakuwa on the low low!! usultani upo meru.
 
CCM hawawezi kuachia hili jimbo kirahisi hasa ukizingatia huu ni uchaguzi mdogo. Inauma lakini ndiyo ukweli
 
Kwa Wameru, Mmeru ni anayejua Kimeru na ammenda jando "Kimeru". Bila la hivyo huyo ni wa kuja tu. Kuna makabila bwana, khaaaa
 
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.

Wewe ni miongoni mwa ma-bongo lala kwelikweli. Wakati CDM wanang'ang'ania Slaa akgombee huko yeye anajua Kimeru?
Kuwa mkazi maanake nini? Mpendazoe anayelilia mahakama imtangaze mshindi hata kama hastahili ni Makazi wa Segerea kweli si alishindwa huko Shinyanga ndo kakimbilia Segerea? Wenje wa Nyamagana si Mkenya yule? Pole ndugu yangu hapo umetokota.
uongozi wa Kisultani! Thehethehe, Kma ilivyo CDM nenda Kule Bungeni kuna Slaa wawili, Lissu Wawili, Nyerere Kibao Ndesamburo ndo usiseme wamejaa huo siyo usltani?

Hesabu zako za ki-abunuasi bwana nenda nazo huko eti ameteuliwa kwa fedha nyingi, sema ni shilingi ngapi.
 
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru

Nasari ndio kabisaa hakubaliki kwa sababu ni mkazi wa nje ya nchi.
 
Mimi nawasapoti wana Arumeru kwa 100 pc. Kwanini kweli wampe kura zao MTU ALIYEWEKWA NA MAFISADI kwa interest zao??? Kama kweli hawamtaki huyu asiyetaka KUOA(Sioi)basi KURA ZAO ZOOOTE KABISA KABISA WA ZAO WAMPE Nassari wa CHADEMA na hawatajutia KURA zao.

CHADEMA hoyeee! CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
leo nimepata fursa ya kuongea na baadhi ya wananchi wa arumeru mashariki,wengi wanaonekana kuchukizwa na kitendo cha ccm kumsimamisha ndugu siyoi sumari kama mgombea wake.
Sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na:
siyoi sio mkazi wa arumeru
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
Wameru wamesema wao ndio wenye uamuzi wa mwisho na hawategemei fedha kushinda nguvu ya umma.

Sijui hasira za wananchi hawa zitaamua nini lakini huu ndio msimamo wao.

nyie magwanda manpenda kujipa moyo sana kisha mtakuja kulalama hapa mmechakachuliwa,Jipangeni kweli kweli dogo yuko sawa atawagalagaza kinoma

siyoi sio mkazi wa arumeru
wabunge wote wakazi wa jijini dar
siyoi hajui kimeru(hata salamu)
hata salam? \
siyoi amekosa utu,kwani ni wiki chache baada ya mzee wake kututoka mtoto anaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi.
kufa kwa baba ndio mwisho wa kutumikia wananchi.

Pia hawapendezi kuendelea kuongozwa kisultani.
ukisha sema wameru basi kimila ndio hivyo tokea kina fundikila

Fedha nyingi(karibu milioni mia saba) zimetumika kumpitisha.
kumbe huyu ndo anafaa kama kura za maoni tu hivyo basi kwenye uchaguzi zitazidi ngoja nami nijisogeze
 
WAMERU WANA NJAA KWELI KWELI,NAAMINI NGAWIRA ZITAWATOA UTU MPENDE MSIPENDe
 
wote uliowataja hawaishi meru.kwa wameru hili ni jambo kubwa.lakini ni lazima tujue meru ni jimbo lenye wamasai na wameru kwa wingi hata hivyo sikumbuki ni lini mmasai aliwahi kushika jimbo hili!
Sijui wengine wanasema anavaa hereni ?
 
Meningits hizo hoja mbili za Kutokuishi Arumeru na kutokujua kimeru Nakupa Mia.Hii naikumbuka hata marehemu baba yake alikuwa aishi arusha zaidi ya kujenga nyumba tu kwao Akeri, maisha yake amekuwa DSM hata wakati anakuja kugombea alipata upinzani mkubwa sana baada ya kusema eti ametumwa na wameru wanaoshi DSM kuja kugombea sasa wameru wakajiuliza watu wanaokaa DSM ndiyo wanawachagulia mbunge?lakini kwavile alikuwa amejipanga aligawasimu na pesa kwenda mbele na kwavile kipindi kile simu ilikuwa ni bonge la issue wapiga kura wakalainika wakampitisha.

SIOYI awezi kujua kimeru kwa sababu, aja kaa sana arusha na mama yake siyo mmeru na pia inawezekana yeye mwenye alikipotezea kimeru.

Mytake; Wameru wanatakiwa kufanya uhamuzi wa busara kupitia sanduku la kura kwa miaka zaidi ya 25 kumekuwa akunauwakilishi wa maana na tija kwao anzia kwa Prof.Mbise,Major ndosi kisha Sumari.
 
Tatizo si sanduku la kura wajameni. Uamuzi utategemea intelijensia ya adisheni ya matokeo ya vituo halisi na vituo bandia, kutoka kata zinazo ekisisiti na kata hewa, bila kusahau zile fomu zitakazonyeshewa na mvua. Nasari anaweza kushinda kwa 80% kwenye sanduku la kura, but CDM msipokomaa na utaicoon wa Magamba kwenye hizo Angles, mmekwisha. Na mkifanikiwa kuwakaba koo kwenye hizo mbinu, ya mwisho ni utangazwaji wa matokeo. Yatacheleweshwa for more than three weeks, hapa mjipange kwelikweli hata ikibidi kuchukua containers za hotpots na mobile toilets, pia msisahau tear gas masks na oil chafu, kukabiliana na zengwe la POLICCM. WISH YOU ALL THE BEST, SINCE YOU ARE FIGHTING FOR OUR RIGHTS, JUSTICE AND DIGNITY THE ALMIGHTY GOD WILL GRANT YOU VICTORY.
 
Wewe ni miongoni mwa ma-bongo lala kwelikweli. Wakati CDM wanang'ang'ania Slaa akgombee huko yeye anajua Kimeru?
Kuwa mkazi maanake nini? Mpendazoe anayelilia mahakama imtangaze mshindi hata kama hastahili ni Makazi wa Segerea kweli si alishindwa huko Shinyanga ndo kakimbilia Segerea? Wenje wa Nyamagana si Mkenya yule? Pole ndugu yangu hapo umetokota.
uongozi wa Kisultani! Thehethehe, Kma ilivyo CDM nenda Kule Bungeni kuna Slaa wawili, Lissu Wawili, Nyerere Kibao Ndesamburo ndo usiseme wamejaa huo siyo usltani?

Hesabu zako za ki-abunuasi bwana nenda nazo huko eti ameteuliwa kwa fedha nyingi, sema ni shilingi ngapi.

mkuu umeisoma post yangu vizuri?
 
Back
Top Bottom