NingaR
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 2,759
- 590
Na wewe pia unanichekesha maana kama memory itakua installed kwenye glass ina maana hio simu haitatumia umeme kwa sababu toka nzaliwe sjaskia na nafikiri sitaskia glass ikapitisha umeme. Sasa kama glass haipitishi umeme na battery ya nini sasa wanichanganya ujue
Umeme wa battery utamove vipi from one place to another? Je umesema kuhusu memory vitu hivi navyo vipo?
-processor ya glass
-ram ya glass
-memory card za glass
Na kama hamna hata kimoja itakuaje kweli? Labda tusubirie miujiza maana mungu hashindwi na kitu naeza nkaamka asubuhi nkaokota chini ya mvungu
I got U chief huyo jamaa hajui what physics is ndo maana anambwelambwela tu.