sababu za samsung kuhofia kupungukiwa profits

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
iphone5.jpg

1. recent news zinasema kwambba mauzo ya iphone 4 yamekuwa greatly affected na samsung galaxy na hivyo iphone kupata fundisho kwamba soko la simu sio la kuongeza vitu vya kawaida kama picha na vi game kwa sasa i phone imetangaza inakuja na iphone 5 ambayo itakuwa ina improved sili(program ya kucontroll simu kwa kuongea nayo) na transparent theme kama muonavyo kwenye picha ya juu

2. samsung wana kazi mana wanatumia expense mno kwa developers wakati hata faida wanayopata ni ndogo since mauzo yamefidia kidogo kwa ile gharama waliyotumia kununua lcd display kutoka sony kwa dola milioni 939 kitu kama trilioni moja na kadhaa

3.. black berry yajipanga kuhamia android ambapo every thing will be ready when the ceo signs the contract
 
dah mbona post ya zamani? Iphone 4 imetoka mda sana then baada ya hapo ikatoka iphone 4s then now naona advertisement za iphone 5 zinaanza.

Na naona nokia lumia anazidi tishia maisha maana zimetoka ni cheap sana. Nokia vitu vingi anatengeneza mwenyewe kasoro hiyo operating system ya windows tu. Mfano kama 808 nokia yenye bele service pack one karibia kila kitu ni chake.
 
View attachment 57638

1. recent news zinasema kwambba mauzo ya iphone 4 yamekuwa greatly affected na samsung galaxy na hivyo iphone kupata fundisho kwamba soko la simu sio la kuongeza vitu vya kawaida kama picha na vi game kwa sasa i phone imetangaza inakuja na iphone 5 ambayo itakuwa ina improved sili(program ya kucontroll simu kwa kuongea nayo) na transparent theme kama muonavyo kwenye picha ya juu

2. samsung wana kazi mana wanatumia expense mno kwa developers wakati hata faida wanayopata ni ndogo since mauzo yamefidia kidogo kwa ile gharama waliyotumia kununua lcd display kutoka sony kwa dola milioni 939 kitu kama trilioni moja na kadhaa

3.. black berry yajipanga kuhamia android ambapo every thing will be ready when the ceo signs the contract

Hapo bado sijapapata vizuri
 
Symbigan fan(chief) nokia walishakwisha hao naona hata s60 v5 hamna ki2 hamia android for the modern era
 
kaka hiyo simu ulioweka hapo kwa pic was jus imaginar and nat iphone product. zamani sana
 
View attachment 57638

1. recent news zinasema kwambba mauzo ya iphone 4 yamekuwa greatly affected na samsung galaxy na hivyo iphone kupata fundisho kwamba soko la simu sio la kuongeza vitu vya kawaida kama picha na vi game kwa sasa i phone imetangaza inakuja na iphone 5 ambayo itakuwa ina improved sili(program ya kucontroll simu kwa kuongea nayo) na transparent theme kama muonavyo kwenye picha ya juu

2. samsung wana kazi mana wanatumia expense mno kwa developers wakati hata faida wanayopata ni ndogo since mauzo yamefidia kidogo kwa ile gharama waliyotumia kununua lcd display kutoka sony kwa dola milioni 939 kitu kama trilioni moja na kadhaa

3.. black berry yajipanga kuhamia android ambapo every thing will be ready when the ceo signs the contract

Una uhakika hapo kwenye red? apple hawawezi kusema wanaongeza kitu gani katika iphone yao ijayo, hawa jamaa hawafanyi biashara namna hiyo, apple ni wasiri sana na wanapenda kuingia kwa "sapraizi", hilo jambo la kusema wanaleta iphone "transparent" ni uwongo kwa sababu case walizoorder si transparent, sema wataongeza screen size na kubadili position na aina ya "connector" kwa muonekano wa nje angalau bila kusahau kuwa wamebadili material zinazotengeza case zao, vitu vya ndani wanajua wao. Pia ni siri, siyo sili! Mwisho wa siku apple ikitangaza bidhaa mpya watu wanapanga foleni zaidi ya saa 8 kusuiri kununua!
 
naomba uliza hivi hiyo phone kwenye pic hapo juu ni simu ya ukweli au ni toy?
 
Sasa mkuu mie nitakuamini vipi umetoa expense na wala hukutuwekea turnover ambayo ingetufanya tuone kweli wanatumia zaidi ya wanavyopata

Hawa jamaa wanatumia sana hata kwenye marketing na wanauza balaa na kufidia operaring cost zote mkuu. Achana na skendo.
 
Symbigan fan(chief) nokia walishakwisha hao naona hata s60 v5 hamna ki2 hamia android for the modern era

We unaongea mambo ya kale s60v5 ni zamani sana baada ya hapo nokia wakatengeneza
-symbian ana
-symbian belle
-sasa hivi wapo windows mobile 7.5

Nokia lumia wameuza 2.2 million copies za lumia january hadi march wakiwa wamerelease nchi chache tu (hapa tume exclude symbian) wakati mwaka jana kipindi cha chrismass yani mwez wa 9 hadi 12 waliuza million 1. So toka milion 1 hadi million 2.2 ni ongezeko la zaidi ya asilimia 100

Now wametangaza mauzo ya lumia 900 na simu yenye camera isiyowahi tokea duniani yaani 41 megapixel nokia 808 yamezidi expectation yaani demand ni kubwa kuliko kiasi walichotengeneza nasubiri kwa hamu mauzo ya quarter 2 (mwez wa 3 hadi wa 6)
 
unamaanisha nini? Tiririka!

Namaanisha ni kitu wanasayansi wanafikiria kukitengeneza kwa hapo baadae wametengeneza concept.

Ila kutokana na ufinyu wa resource zote za material na ujuzi hawajazitengeneza au kama wamezitengeneza hawajaziweka sokoni kuziuza
 
battery inakaa wapi mkuu?

Yani hio ni simu kama simu nyengine sema ina uwezo wa kureflect kitu cha nyuma kije mbele na sio kama ipo kama kioo.

Kama ni mpenzi wa siasa nafkiri ushaskia ndege ya marekani isiyoonekana kwenye rada hio ndege ndio inatumia technology hio wewe unaona mawingu kumbe ndege imereflect picha ya mawingu
 
I say, sometimes watu wanatakiwa wakae watafakari na sio kuokota mizusho uko na kuileta hapa, tumoa akili yako kidogo, hiyo simu ni transparent, battery iko wapi, processors, transistors??? Tumia akili kidogo, and by the way apple sio watu wa kitangaza how the hardware will be, watasema tu kuna Ios mpya na features zake. Kama sasa ivi apple have ditches google maps katika ios 6 mpya ilotangazwa karibuni. Watakua na maps zao wenyewe ambazo zitakua 3D maps kabisa!!

Afu hawa jamaa samsung wananiboa, they are just proving that they are not creative, wao ni kuiga tu wenzao, hebu android fan antajie feature ambayo samsung hawakuiga katika iphone, maana iphone wametoa Siri samsung wakaja na S-voice, najiuliza kile ka S ni cha nini au mpaka jina wameamua kulicopy?
 
Yani hio ni simu kama simu nyengine sema ina uwezo wa kureflect kitu cha nyuma kije mbele na sio kama ipo kama kioo.

Kama ni mpenzi wa siasa nafkiri ushaskia ndege ya marekani isiyoonekana kwenye rada hio ndege ndio inatumia technology hio wewe unaona mawingu kumbe ndege imereflect picha ya mawingu

Mkuu yani umenchekesha sana, hiyo ndege ya marekani na kureflect mawingu isionekane wapi na wapi. Yani umeongea vitu ambavyo havihusiani. Mfano predators hazionekani kwenye radar kutokana na rangi yake na material iliyotengeneza board yake ndiyo maana Iran ilipoweza kuiteremsha predator ya wa marekaani walisema sasa wamejua rangi yake imetengenezwaje ili isonekane kwenye radar wala si eti ina reflect kitu cha nyuma kionekane mbele.
Halafu kuhusu hiyo simu ni future speculations kutokana na technolojia wanadai itawezekana mpaka memory kuwa stored in a glass. Ebu tafta youtube video inaitwa a day with glass uangalie ndiyo utajua. Hiyo simu si kwamba itakuwa ya kawaida inareflect ya nyuma kurudi mbele hapana ni transparent kabisa lakini still ni speculation.
 
Na wewe pia unanichekesha maana kama memory itakua installed kwenye glass ina maana hio simu haitatumia umeme kwa sababu toka nzaliwe sjaskia na nafikiri sitaskia glass ikapitisha umeme. Sasa kama glass haipitishi umeme na battery ya nini sasa wanichanganya ujue

Umeme wa battery utamove vipi from one place to another? Je umesema kuhusu memory vitu hivi navyo vipo?

-processor ya glass
-ram ya glass
-memory card za glass

Na kama hamna hata kimoja itakuaje kweli? Labda tusubirie miujiza maana mungu hashindwi na kitu naeza nkaamka asubuhi nkaokota chini ya mvungu
 
simu hii ni transparent pale tu utakapo chagua theme ya transparent actually its all about 3d transparency
 
Back
Top Bottom