Nyuki
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 367
- 14
i am a man and married to a cutie. Naweza kudhibitisha pasipo shaka yeyote kuwa mambo matatu ni muhimu sana kwa mwanamke 1. Pesa 2. Mawasiliano 3. Sex (tendo)
maelezo mafupi ni kama ifuatavyo
1. Pesa: Simshauri mtu aoe tu kwa sababu kapenda. Hajui mkewe atapata wapi mahitaji muhimu. Ukiamua kufanya hivi, omba uwe umeoa malaika. Kama ni mwanamke wa kawaida vishawishi vitamshinda tu na atagawa kwa ma pedeshee!
2. mawasiliano: Wale wanao "telekeza" familia zao bila kupiga simu kwa mkewe kwa muda mrefu wanajenga ukuta fulani ambao unakuwa rahisi kwa mwana mke yeyote kugawa kwa mtaa wa pili.
3. Sex: Hapa hakuna ubishi. Kama huja jaliwa ku fwanya mambozz yakaeleweka jiandae kulea watoto wa jirani.
alamsiki!
hiyo ni tabia yake mkuu wala hasisingizie hakupigiwa simu muda mrefu kwanini yeye asipige?