Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani

Other factors matter alot. maana kama mtu anakunyanyasa hata hiyo sex utaitamani? ndo yale yale kila ukimwona unahisi anakuja kukubaka. Inabidi kwanza mambo mengine yawe mazuri then kuwe na good sex

Exactly my point. Good sex inapatikana pale ambapo hakuna stress and everything is harmonised.
 
mwanamke anatakiwa athaminiwe na aheshimiwe kama mwanamke hata kama humfikishi huko wanako sema mawenzi lakini imradi tu wampa heshima yake na kumthamini basi naamini upendo utaongezeka mara dufu.
hureeeeeeeeeeeeeeee!...
 
1Kutomtimizia mahitaji ya pesa.
2,kutomtimizia mahitaji ya sex.
3.kutokuwepo anapokuhitaji
4.kuwa na gubu na kero....

ukiwa na sifa hizo bora usioe........
 
Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani......
MWANAMKE KURIDHIKA!na hawezi kuridhika bila kuridhishwa
SEX IS ONE THING......!
lakini kama huna pesa....!MWANAMKE ATAKUDHARAU SANA.hata uwe na ''ukuni'' wa kufa mtu
 
So ina maana hata kama mr ni mnyanyasaji kama anadharau, matusi ya reja reja n.k but sex ikiwa nzuri mke atamheshimu tu?

i agree kuwa good sex has a very big impact kwetu sisi wanawake but I believe other factors matters too au?

Trust me...sex ikiwa nzuri...nyinyi wengine mtakuwa mnashangaa tu kwa nini mwanamke kila mara anamrudia mwanamume wake au kwa nini haondoki licha ya manyanyaso...mtaanza kusema..ooh ingekuwa mimi ningekuwa nimeshafungasha virago zamani....kumbe hamjui tu kuwa huyo mwanamke anaipenda dik dik ya hiyo njemba. Binafsi sielewi kwa nini inakuwa hivyo lakini kwa baadhi ya wanawake hivyo ndivyo ilivyo!
 
Si vizuri kumdharau kiumbe yeyote yule katika hii dunia.

Lakini itakapofikia kumdharau mume wako ambaye unadai una/limpenda hadi kufikia kubadilisha ahadi ya kuishi pamoja mbele ya mashahidi, jua mapenzi yako kwake yamekwisha.


Usiendelee kumtesa mwenzio kwa dharau ambazo mara nyingi huambatana na jeuri.
 
Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani......
MWANAMKE KURIDHIKA!na hawezi kuridhika bila kuridhishwa
SEX IS ONE THING......!
lakini kama huna pesa....!MWANAMKE ATAKUDHARAU SANA.hata uwe na ''ukuni'' wa kufa mtu

Mkuu unakosea sana unapo base kwenye sex
Unajua kikubwa ni kumthamini mwanamke haya ya sex naamini yanakuja baadae na mtapanga wenyewe jinsi gani ya kuridhishana ni makubaliano yenu wawili baada ya kumthamini na kumjali.
 
Ni kweli wanaume wengine hawawajibiki kama baba wa familia, yaani yeye anafanya mabo yake tu.... ya familia ni kama hayamhusu iwe watoto kuumwa anahangainka mama, nguo za wayoto ni mama chakula ni mama n.k yeye ni tungi tu na mambo yake mengine..
Lakini cha ajabu ni kwambo bado wanawake wa maana wanaendelea kuvumilia kwenye ndoa na kumheshimu tu huyo mume pamoja na upuuzi wake huo!
 
Mkuu unakosea sana unapo base kwenye sex
Unajua kikubwa ni kumthamini mwanamke haya ya sex naamini yanakuja baadae na mtapanga wenyewe jinsi gani ya kuridhishana ni makubaliano yenu wawili baada ya kumthamini na kumjali.
ukienda semina ya ndoa pale msimbazi nadhani utaelewa vizuri zaidi.i am telling you TENDO LA NDOA NDIO NDOA YENYEWE
 
Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani......
MWANAMKE KURIDHIKA!na hawezi kuridhika bila kuridhishwa
SEX IS ONE THING......!
lakini kama huna pesa....!MWANAMKE ATAKUDHARAU SANA.hata uwe na ''ukuni'' wa kufa mtu

Umeongea kama utani lakini ndiyo ukweli wenyewe..mkuu kwa maisha yetu ya sasa.
 
Trust me...sex ikiwa nzuri...nyinyi wengine mtakuwa mnashangaa tu kwa nini mwanamke kila mara anamrudia mwanamume !

Dah Komredi hii mm naona sio lazima saaana.
Mwanamke ukimthamini na kumjali naamini hata kama humkuni sawa sawa atakupenda. Lakini kama humthamini na unamchukulia simple simple hata umfikishe mara 20 mawenzi atakuona **** tu.
 
ukienda semina ya ndoa pale msimbazi nadhani utaelewa vizuri zaidi.i am telling you TENDO LA NDOA NDIO NDOA YENYEWE

Hahahaha duh haya bana hapo nimenyoosha mikono.
Kwa hiyo lazima ujikunje kama nyani hahahaha
 
TO ME kama geoff!MWANAMKE PESA TU!hata uweje atakuheshimu kufa
 
Ndicho nisemacho mimi hapa mpenz AK. Kwa nini usimfikishe mwenzio basi? au ndo suala la uselfish nifaidi mie fish?

dear MJ1 .....

sio sahihi kukimbilia kusema kuwa ni uselfish.......... kumbuka mapenzi ni sanaa na sanaa yoyote si kila mtu aweza kuwa hodari kama mwingine...... chukulia mfano wa kucheza muziki..... ukienda ukumbini unakuta mziki mmoja lakini wengine wanacheza vizuri zaidi na wanvutia kwa uchezaji wao kuliko wengine...... na wengine wako hata stegini na wanatunkiwa zawadi kwa ucezaji wao.......... sasa immagine mume wako hajui kucheza kimaridadi namna ile utamdharau??. utaanza kiburi??.......................

haya mambo ni ya kimaumbile zaidi, kilio cha kutofia kileleni kinasikika zaidi kutoka kwa wanawake , kwa nini wasiwe wanume? ndipo ujue kuwa ni la kimaumbile zaidi........... ni ukweli kuwa wanawake huchelewa na si kosa lao ni maumile .........na pia wanaume huwahi si kosa lao ni maumbile... na pia wanaume hpata kila siku....... si kosa lao ni maumbile ...... na pia wanawake hawafiki kila siku..... si kosa lao ni maumbile............

sasa tukiyajua hayo, tunapaswa kuchukuliana katika madhaifu yetu mbalimbali..... mwanamke amshirikishe mumewe kupanda hivo vilele na hata kwa kumuongoza njia ya kupita kama mwanaume anaonekana haijui vizuri ...... mwanamke pia ajue kuwa kutokuwa hodari kaika le sanaa si sababu tosha ya kumdharau kwani kila sanaa haiwezu kuwa na kila mtu anaimudu vizuri.......... mchukulie katika udhaifu uo na msaidiane bila kuathiri heshima yake na usithbtu kumnung'unikia kila wakati, unamsababisaha ajisikie vibaya kuwa "hawezi"........... na hi inaweza kumnyima kujiamini akiwa mwilini mwako na hilo litazidisha zaidi udhaifu wake........
 
Hahahaha duh haya bana hapo nimenyoosha mikono.
Kwa hiyo lazima ujikunje kama nyani hahahaha
ukishindwa kufanya hili utashangaa na roho yako...!hata nguo hazitapigwa pasi.lakini PESA BABA!PESA NDO KILA KITU
 
Wapendwa habarini za kwenu.

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tunashuhudia matendo ya ajabu ambayo hayakuwepo kwa kiasi hiki kwa wanandoa. Wanandoa wengi wa kike wamekuwa wakilalamikiwa kuwa na viburi, jeuri na dharau na pia kushutumiwa kwa kukosa kuzizingatia zile tamaduni za awali ambazo zinamtaka yeye amheshimu, enzi na kumnyenyekea mume ambaye ndiye kichwa cha familia.

The same applied kwa kina baba, wengi wanalaumiwa kuwa wakatili nowdays, hawasikii na wanatiwa viburi na small houses zao.

Nyingi sababu zimekwishatajwa mf.Kwa mwanamke asiye na adabu tunaambiwa ni;
- Malezi na maadili kupungua
- U-feminism/gender/ beijing effects
- Uwezo wa kipato/kazi nzuri/elimu n.k ambavyo vinasemekana kumpa mwanamke kichwa

Kwa mume mara nyingi huwa tunasema anadharau kama mke ni mama wa nyumbani hana kipato chochote; hajui kupigilia pamba za kufa mtu; hajui kujiweka soap soap; anajali watoto kuliko Mzee n.k.

Lakini pia inaaminika kuwa zipo sababu muhimu ambazo mume/mke mwenyewe huchangia katika either kumfanya mume/mke asimsikilize, awe anakuwa mbabe na kuonyesha uanaume wake/ usinibabaishe type -wanawake (Sababu ambazo hazihusiani na ubeijing kabisa) mf. kama mume mwenyewe hajiheshimu/hamheshimu mkewe
-Mume/mke hamchukulii mkewe/mewe kama mke anayestahili kuheshimiwa, kutomsikiliza au sikiliza ushauri wa mke n.k.

My take: Nadhani kuna umuhimu wa kubadilisha theory ya mahusiano haya kwa sasa. Badala ya kusingizia Beijing, elimu, kipato cha mama tuanze kuangalia ni matendo/tabia gani za kina baba/mana yanayosababisha wadharauliwe ndani ya nyumba zao; waibiwe/salitiwe n.k.

Samahani nimeedit kwa kuwa its a two-way traffic ila naona heading imegoma ......Isomeke Sababu za mke/mume kumdharau/mtenda mwenzi wake....

Aksanteni.
apo sawa kwa kurekebisha mada yako,maana pangechimbika umu kwa kinadada
 
ukienda semina ya ndoa pale msimbazi nadhani utaelewa vizuri zaidi.i am telling you TENDO LA NDOA NDIO NDOA YENYEWE

Ni kweli Geoff, tendo la ndoa ndio ndoa yenyewe. lakini lifanyike wakati wote wawili mkiwa na mood ya kufanya hivyo. Unafikiri kama una tabia ya kumnyanyasa mkeo atafurahia hilo tendo?
 
Dah Komredi hii mm naona sio lazima saaana.
Mwanamke ukimthamini na kumjali naamini hata kama humkuni sawa sawa atakupenda. Lakini kama humthamini na unamchukulia simple simple hata umfikishe mara 20 mawenzi atakuona **** tu.

Hahahahaaa...wewe Komredi wewe....unaanza kunisikitisha kwa kweli. Nina mifano hai kabisa ya wanawake ambao wanajaliwa na kutendewa vyema kabisa na wanaume wao lakini kuna kitu kimoja wanachokikosa...nacho ni sex ya kuridhisha. Wengine wanadai wanaume wao wako wadogo kule kwenye nanihino...wengine wanadai wanaume wao wanakojoa haraka...na wengine hudai wanaume wao hawajui mapenzi kwa ujumla. Matokeo yake wanatoka nje kutafuta wanachokikosa nyumbani. Kumbuka, nimesema nina mifano hai kabisa......
 
Lazima ukumbuke kuwa ndoa siyo "rehersal", ndoa ni "performance". Kila kitu kifanyikacho kwenye ndoa ni "real". Kwa maana hiyo elimu ya malango inahitajika sana ili ndoa iwe na maridhiano na kudumu.

Shida kubwa ni ukosefu wa elimu ya malango. Mfano: we eti mtu kwa sababu ameoa basi anatoka huko na mashinikizo yake anakuja "anakwea" tu bila "maandalizi" yeyote, kweli atakudharau na hasa akipata wa pembeni ambaye ana "certificate' ya elimu ya malango aisee atakuona kumbe ulikuwa unamchafua tu.
 
Back
Top Bottom