Sababu za mke kumdharau Mume nyumbani

Ni kweli Geoff, tendo la ndoa ndio ndoa yenyewe. lakini lifanyike wakati wote wawili mkiwa na mood ya kufanya hivyo. Unafikiri kama una tabia ya kumnyanyasa mkeo atafurahia hilo tendo?
KWAKWELI HAWEZI!na tendo la ndoa huwa ''tendo'' kama humo ndani walau mna uhakika wa chakula na mahitajimengine ya msingi.kinyume na hilo,.....!A MAN WILL NEVER ERECT HIS PENIS
 
kama alikuwa na wanaume wengi kipindi cha nyuma na akikulinganisha na wewe anaona hauna lolote, hovyo hapo ameolewa na wewe kwaajili ya pesa tu labda, siyo mambo mengine ya ndani. hapo ndo mtajua umuhimu wa kumwomba Mungu akupatie kifaa kipyaaaa, au walau ambacho hakijasasambuliwa mara nyingi. hata kama ukiwa unamdunda kila siku, kama anaona unamfaa ndani ya chumbani, atakuheshimu tu. sasa, akiwa hakuwa amejitunza, yaani alikubuhu kipindi cha nyuma, ukamdunda na ndani kwenyewe ndo hakueleweki, basi ndo anakudharau na kuhamia nyumba ndogo kisirisiri hasa kama hajaokoka. ila kama ameokoka, labda kidogo image ya mambo ya kale yawezabadilika kidogo kwasababu Mungu hubadilisha chochote akitakacho. ushauri, oa au olewa na mwanamke au mwanaume aliyeokoka (ambaye hautampata kama wewe haujaokoka), au kama mambo ndani yameshaanza kuharibika, kimbilieni kanisa la walokole haraka kabla hamjamalizana ndani.

pink:khaaaa we vipi angalia izo?
ila utasababisha vurugu makanisa ya watu kila mtu akimbilie uko,ebu waacheni jamani watulizane uko waliko
 
Kwa mwanamke mwanaume ni TOTALITY ya mambo mengi, na kila jambo lina nafasi yake, mf. kujali kama mwanaume, kufanya tendo la ndoa kikamilifu, kuunguruma ndani ya nyumba, kukohoa kiume, kuzungumza kwa sauti ya kiume (nzito), kukemea kiume, kuwa na msimamo katika maamuzi, kuwa mkakamavu na si mwoga katika dhoruba, nk, nk. Yoye hata yanaunda tabia au mwonekano wa mwanaume. Mwanaume anapokosa moja au baadhi ya hizi sifa, bas mwanamke anajiskia kupungukiwa na "mwanaume" wake, yaani anakuona si kamili. Kumbe akiwa na akili ataelewa kuwa huwezi ukawa na yote, kumbe pale unapochechea atakupokea kama ulivyo. Lakini kama akili ziko kisiginoni ndoa hapo madharau yanaanza. Na ukiendelea kumgasi anaweza kuanza kutoa mifano halisi ya wanaume kadhaa waliofaulu atika uwanja huo ambao wewe unaonekana ni dhaifu. Atesema "angalia familia ya fulani mbona baba fulani yuko hivi, anafanya hivi", nk. nk. Ujue kwa uwanja huo anamwona yule wa nje ni bora zaidi kuliko wewe. Jamani kina mama tuvuliane kwani Mungu hawezi kumjalia mume wako yoye. Nasi kina baba tujikaze kwa yale tuyawezayo.
 
TO ME kama geoff!MWANAMKE PESA TU!hata uweje atakuheshimu kufa

sio kila mwanamke ni low,cheap na simple like that, kama ni changu sawa ila mwanamke mwenye nia njema na kuanza familia pesa ni karatasi,kuna wanamwake wana pesa wee acha utani kabisa na wametulia tu,,,utulivu,pendo na heshima basi
 
Mwanamke anatakiwa athaminiwe na aheshimiwe kama mwanamke hata kama humfikishi huko wanako sema mawenzi lakini imradi tu wampa heshima yake na kumthamini basi naamini upendo utaongezeka mara dufu.
Na hata tigo utajiexpress bila hata kuomba. Lol!
 
Badala ya kusingizia Beijing, elimu, kipato cha mama tuanze kuangalia ni matendo/tabia gani za kina baba/mana yanayosababisha wadharauliwe ndani ya nyumba zao; waibiwe/salitiwe n.k.

...'alalaye usimuamshe' kama sio mkutano wa Beijing, yote yange epukika haya :(
 
Jamani mbona natukanwa tena ili hali nilikuwa namsaidia OUR Fidel kusindikiza post yake! nadhani hunijui vizuri, tuendelee anyway tutazidi kujuana na kufahamiana.

inakuwaje mwanamke unasapoti kutigo express, kitu kinachovunja utu wa mwanamke? sijawahi kusikia mwanamke akiwa huru hivyo kuongea kama wewe ulivyofanya. vitendo hivi vya sodoma na gomora ni vya kuvipiga vita, dunia yenyewe hii imeshakwisha.kidogo tu hukumu itakuja.
 
...'alalaye usimuamshe' kama sio mkutano wa Beijing, yote yange epukika haya :(

angalia walioenda beijin wote kama wana wanaume, kuanzia baadhi ya wabunge(sitaji majina), na wengine wote, wako single, wanatapatapa tu leo na mwanaume huyu, kesho na yule, hakuna hata wa kuwakuna mgongoni pakiwasha inabidi watumie mwiko au wajibaruguze ukutani. fahari ya mwanamke ni kuolewa, kumhesimu mume wake na kutulia, hiyo ndo heshima kuliko zote. jaribu kuangalia wote wana gender utawaona walivyo, wanawachukia wanaume kwasababu wana bifu nao, yaani shida tupu.
 
inakuwaje mwanamke unasapoti kutigo express, kitu kinachovunja utu wa mwanamke? sijawahi kusikia mwanamke akiwa huru hivyo kuongea kama wewe ulivyofanya. vitendo hivi vya sodoma na gomora ni vya kuvipiga vita, dunia yenyewe hii imeshakwisha.kidogo tu hukumu itakuja.
Unajuaje kama naliwa na tatizo liko wapi! mwili ni wangu sio wako. Endelea na maisha yako...never hear from me again.
 
Unajuaje kama naliwa na tatizo liko wapi! mwili ni wangu sio wako. Endelea na maisha yako...never hear from me again.

kawaulize manesi watakwambia kinachowapata wadada wanaofanyiwa hivyo, nashangaa unasema hakuna tatizo kwako kwasababu ni mwili wako. mwanamke una ujasiri wa kufa mtu kuongea kitu cha ajabu kama hicho bila wasiwasi. nilikuwa najaribu kukushauri tu uache, kwasababu usijefikia unaenda hospitali special kwaajili ya kuingiza kanga na vitenge vitano kuziba ili ujifungue. pole sana, jitahidi kuacha basi.
 
I think all matters money, sex and respect... na kama kimoja kitakosekana hapo ndo problem starts... thats why we should have balance... u know what I mean...
 
I think all matters money, sex and respect... na kama kimoja kitakosekana hapo ndo problem starts... thats why we should have balance... u know what I mean...

my friend noname we just need a human heart and the rest shall be added unto us.............. the array of qualifivcations you have just proposed cant be guaranteed,.......... so we cant rely and trust that matrix for a happier matrimonial life ......... yeah, i say it for sure.............
 
Akili...thats are the facts, I am just being honest.. Tell me how will I have to live without one Money? sex? respect? and have a harmony matrimonial life...

Actually if you come think of it.. its heart which trouble us most of the time so I stopped following my heart and started using my brain...
 
I am a man and married to a cutie. Naweza kudhibitisha pasipo shaka yeyote kuwa mambo matatu ni muhimu sana kwa mwanamke 1. Pesa 2. Mawasiliano 3. Sex (tendo)

Maelezo mafupi ni kama ifuatavyo

1. Pesa: simshauri mtu aoe tu kwa sababu kapenda. Hajui mkewe atapata wapi mahitaji muhimu. Ukiamua kufanya hivi, omba uwe umeoa malaika. Kama ni mwanamke wa kawaida vishawishi vitamshinda tu na atagawa kwa ma pedeshee!

2. Mawasiliano: wale wanao "telekeza" familia zao bila kupiga simu kwa mkewe kwa muda mrefu wanajenga ukuta fulani ambao unakuwa rahisi kwa mwana mke yeyote kugawa kwa mtaa wa pili.

3. Sex: hapa hakuna ubishi. Kama huja jaliwa ku fwanya mambozz yakaeleweka jiandae kulea watoto wa jirani.

Alamsiki!
 
Akili...thats are the facts, I am just being honest.. Tell me how will I have to live without one Money? sex? respect? and have a harmony matrimonial life...

Actually if you come think of it.. its heart which trouble us most of the time so I stopped following my heart and started using my brain...

you are too mechanical mamy and life isnt alwayz like that............ i am glad that you chose to use brain, so your brain should honestly guide you into the correct path............ there is emough proof of how hearts got the gates brocken....... yeah, even where muscles failed........... take care dear friend...............
 
Mwanamke anatakiwa athaminiwe na aheshimiwe kama mwanamke hata kama humfikishi huko wanako sema mawenzi lakini imradi tu wampa heshima yake na kumthamini basi naamini upendo utaongezeka mara dufu.

Fidel80 alias Al-batar nilikuwa sijawahi kuuona huu upande wako mwingine :). Mkuu unashusha points nzito sana. Ni kweli kabisa kama unamdharau mwananke kwa namna moja au nyingine kwa mfano kumpiga kila wakati , kumdhalilisha kwa kumtukana na mengineyo mradi tu ajione hana thamani basi hata umfikishe kule mahala hilo tendo la ndoa ataona kama unambaka tu maana hatakuwa na hamu ya kuwa nawe katika tendo hilo.
 
TO ME kama geoff!MWANAMKE PESA TU!hata uweje atakuheshimu kufa

Hapa imenibidi nirespond, kaka hebu jaribu kumrudia mshiki usiku, ukiwa tungi na umfanyie yale asiyoyapenda kisha asubuhi mwaga pesa zako uone. I tell you utachemsha big time.
 
Back
Top Bottom