Sababu ya kifo cha Steven Kibona na Gilman Rutihinda

Status
Not open for further replies.
zama zile kulitokea vifo katika mazingira ya ajabu ajabu sana na hofu ya sumu iuayo taratibu ilikuwa dhahiri. Nani anamkumbuka Stan Katabalo. mwandishi mahiri wa gazeti la 'Mfanyakazi' aliyelisimamia kidete suala la Loliondo....nae alikufa kimya kimya...kama Kibona na Rutihinda! Upinzani utakapochukua nchi ni baadhi ya vifo ambavyo itabidi vipelelezwe kuujua ukweli. na Horrace Kolimba alikufaje?
 
Haya, hii ni mifumo yetu ya kiafrika inayoruhusu kupanga uongo na sababu ambazo si za kweli.
Wataalamu wa hospitali ( madaktari) nao ni mojawapo ya watu wanaosababisha mambo haya ya uvumi. Hawafanyi uchunguzi wa kutosha juu ya magonjwa na sababu iliyofanya huyo mtu afe. Hakuna ripoti ya kweli inayotolewa kwa ndugu na jamaa juu ya ugonjwa au tatizo lililosababisha kifo chake. Hawatoi ripoti kwa ukamilifu. Wataeleza magonjwa mengine ambayo yametokea baada ya.

Hapo ndio rumours zinaanza kutawala. Watu maarufu walitakiwa watolewe ripoti za vifo za wazi zaidi na wananchi wafahamu kiini cha vifo vyao kinyume na hivyo minong'ono itatawala.

Katika maisha ya mwanadamu, hakuna binadamu asiye onewa wivu, kuchukiwa, kutofautiana misimamo iwe ni wana ukoo, wafanyakazi wenzake, wakubwa wake wa kzai na pengine jamii inayomzunguka. Katika mazingira haya ni rahisi kutafuta sababu yoyote ile ya sababu ya kifo chake.

Tutashinda upuuzi kwa kuwa watu wenye uwazi na ukweli. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
 
Tuache marehemu wapumzike kwa amani,mnawaongezea wafiwa machungu ambayo wameanza kusahau.
 
Ipo siku every secrete will be revealed. I hope I will live to see that day

Kwa Bongo njaa ni kali mno, kila mtu anafukuzia mlo wa siku hivyo hakuna anayeweza kujishughulisha na mambo ya wafu hao. Mchonga mwenyewe kutokana na mlolongo wa tabia za viongozi wetu, kuna wasiwasi huenda walimfanyizia sayansi ya kiintelijensia ili asije akaweka zengwe jingine jamaa asiingie magogoni kwenda kuiba. Walipofanikiwa tu, sarakasi za wizi wa rasilimali za Taifa mpaka leo zimeshika kasi ya ajabu.
 
acha uongo usiokua na maana huo.Kama walikua na ngoma iweje wafe pamoja na baadae kidogo wachape hela kama wazimbabwe?kama hujui ukweli kuchangia si razima.R.I.P wazalendo wa ukweli

jamaa sio muongo ila analofahamu ni la upande mmoja,ni kweli ugonjwa unawamaliza sana BOT na HAZINA,hilo la kuchapishwa noti nyingine yeye halijui isipokuwa yote yanawezekana.
 
jamani humu naona watu wanajibu hoja kwa visababu vya kijinga sana hadi inakera jaribuni kufikiria kwanza haiwezekani jitu likadai eti ukimwi ndio uliwaua just ndani ya miezi tu mbona wake zao bado wapo? Mama Kibona yupo Mikocheni B kule mzima wa afya ungekuwa ukimwi si angekufa zamani?

Jitu lingine linadai vyakula that's stupid comment kama hizo inafaa ziwe zinachangiwe kwenye kipindi cha mitikisiko ya pwani cha redio times fm sio humu jf humu ni kwawatu wenyeupeo mkubwa wa kufikiria,kuna vifo vimetokea ktk taifa hili mpaka leo vimeacha maswali coz haijulikani kifo kilikuwa cha kupangwa au la au kama cha kupangwa nani na nani walihusika embu ona listi hii hapa chini

1.KIFO CHA SOKOINE(HAUJULIKANI KAMA ILIKUWA AJALI YA KAWAIDA AU LA)
2.KIFO CHA KARUME(HAIJULIKANI NANI ALIHUSIKA )
3.KIFO CHA STEVEN KIBONA(INASADIKIWA ALILISHWA SUMU)
4.KIFO CHA RUTIHINDA(INASADIKIKA SUMU)
5.MEJA GEN KOMBE(MKUU WA TISS ALIPIGWA RISASI)
6.MALEK MZIRAI(ALIANDIKA KITABU KUHUSU KASELLA BANTU)
7.MCHUNGAJI URIA SIMANGO
8.MOUSA LEE MEMBER(ALITEKA NDEGE YA TZ AKAUWAWA UK ALIKOKIMBILIA)
9.GAVANA BALALI(HAIJULIKANI KAMA KAFARIKI)
10.HORICE KOLIMBA (SUMU INASADIKIWA)
11.PROF CHACHAGE SETH CHACHAGE (ALIKUFA BAADA YA KUANDIKA KITABU CHA MAKUWADI WA SOKO HURIA)
12.KIFO CHA CHACHA WANGWE
13.KIFO CHA DAVID MWAIKAMBO

NA WENGINE WENGI LIST YAO NI ENDLESS WENGINE WAMEUWAWA BILA YA JAMII KUJUA LAKINI UKIANGALIA VIFO VYA HAO WOTE VINASHARE KITU KIMOJA SAWA AMBACHO NIKWAMBA WOTE VIFO VYAO VILITOKEA JUST BAADA YA KUTOFAUTIANA NA VIONGOZI WA NCHI EITHER HAWAKUTII MAAGIZO YAO KWA MANUFAA YA WAO VIONGOZI AU WALIFANYA MAMBO AMBAYO YALIWAKERA HAO VIONGOZI SO JITU JINGA LENYE UFINYU WA MAWAZO LINASEMA ETI VYAKULA AU HIV KWELI HIV INAKUUA TU MARA BAADA YA KUTOFAUTIANA NA MHESHMIWA? WENGINE BAKINI WASOMAJI TU HUMU

kwa hiyo we ndo mkweli sana au vp? Hata kama watu wanasema uongo hutakiwi kukasirika namna hiyo. Grow some balls.
 
Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu.

Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko wa bei na ugumu wa maisha ungeongezeka.

Bwana mkubwa kwa hasira za kukataliwa ombi lake akawapeleka India, waliporudi kutoka huko wote wakaanza kuumwa, na bwana mkubwa akatueleza kuwa wamelishwa vyakula vya Kihindi hivyo basi, walikumbwa na tumbo la kuharisha kwa sababu ya ugeni wa chakula cha Kihindi.

Hawakukaa muda mrefu, wakafa. Je ni kweli walidungwa sumu iuayo taratibu? Au ndio kifo chao kilikuwa chakawaida tu?

Kuna tija gani kujadili mambo yaliyotokea miogno miwili leo?
 
Kibona alikuwa ni Waziri wa fedha, naye Rutihinda alikuwa ni Gavana wa Benki Kuu.

Hawa jamaa wazalendo, walikataa kuprint fedha na kuziingiza kwenye system kwani walijua wakifanya hivyo mfumuko wa bei na ugumu wa maisha ungeongezeka.

JBwana mkubwa kwa hasira za kukataliwa ombi lake akawapeleka India, waliporudi kutoka huko wote wakaanza kuumwa, na bwana mkubwa akatueleza kuwa wamelishwa vyakula vya Kihindi hivyo basi, walikumbwa na tumbo la kuharisha kwa sababu ya ugeni wa chakula cha Kihindi.

Hawakukaa muda mrefu, wakafa. Je ni kweli walidungwa sumu iuayo taratibu? Au ndio kifo chao kilikuwa chakawaida tu?

Jamani mbona Rutihinda alikufa kwa ajali ya gari? Nyie mnaishi wapi? Si gari lake liligonga Ubalozi wa Burundi pale Upanga! Nyie vp
 
MAKOSHNELI,

Waislamu tuna Profesa Kighoma Ali Malima mtu wa karibu wa raisi mstaafu;Mwinyi.Tunaamini aliuliwa na mfumo kristo baada ya kubainisha ubaguzi wa elimu katika wizara ya elimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom