Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sababu ya ajali za mabasi kukithiri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Nov 20, 2011.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi
  Zifuatazo ni baadhi tu ya picha jinsi gani madereva wetu wa mabasi makubwa ya abiria hasa yanaokwenda mikoani jinsi wanavyoendesha
  .
  [​IMG]
  Haya ni mabasi ya Sabi Baba, Abood, Ilas na Nganga yafanyayo safari zake kati ya Dar - Mbeya - Tunduma yakijaribu kulipita gari la tank la mafuta huku yakiwa yameongozana katika kona za milima ya Iyovi madereva wakiwa hawana wasiwasi wowote. Hivi mfano wakati wanaenda namna hii alafu mbele linatokea gari lingine tena likiwa kwenye spidi ni nini kitatokea?
  [​IMG]
  Picha hii ni mwendelezo wa kilichojiri baada ya picha ya kwanza hapo juu
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,852
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mkuu umesomeka vizuri, naona hapo Nganga aliamua kujificha nyuma ya lori,angalau hakufanya upuuzi huu walioufanya Sai Baba, Abood na Ilasi zote za Tunduma hizo. Iyovi ni sehemu ya hatari tupu lkn jamaa wanalala na kona zile wakipiga overtake za kufa mtu! kimsingi madereva wetu chanzo kikubwa sana cha ajali kwa careless driving yao,followed by ubovu wa barabara na magari yenyewe!
   
Loading...