Elections 2010 Sababu tatu singempigia kura Dk Slaa / CHADEMA

Utamchagua nani Ambaye ameahidi kuiondoa Tanzania kwenye EAC?
good Qn!!

haya leta jibu.........watu wengine bana, yani umekuja na sababu moja amabayo kwako ndo umeona ni tatizo la uchumi na maendeleo ya nchi hii!! According to you.....EAC ndiyo kitu pekee cha msingi amabacho rais mtarajiwa anatakiwa kufanya?

Huoni problem yyte kwenye Katiba ya nchi hii? Kweli watu wengine ni dumpers!!
 
Mlenge,

..hata mimi nina concerns kama zako. nimechukizwa na msimamo wa Chadema kuhusu suala la ushiriki wa Tanzania ktk EAC.

..suala lingine ktk ilani ya Chadema ni kuhusu ujenzi wa reli kati ya Tanga-Arusha-Serengeti-Musoma. sasa wakati tunapigana hapa kuhusu ujenzi wa barabara inayokatiza mbugani Serengeti, Chadema wameibuka na reli!!!

..suala la ujenzi wa reli ya Tanga-Arusha-Serengeti-Musoma lipo kwenye makabrasha ya serikali na CCM tangu miaka ya 80. sasa nashangaa kwa Chadema kuwa na idea zilezile kama za CCM ktk mambo controversial kama haya.

..binafsi nitawapigia kura Chadema. I hope..I hope watawasikiliza wa-Tanzania wanasema nini kuhusu suala la EAC. I hope hawa watatetea na kulinda maslahi ya Tanzania kama wanachama wa EAC. sijaridhika kabisa na jinsi CCM na mgombea wao walivyolishughulikia suala la EAC. Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nje for 10 yrs na EAC was one of his portfolios.

..kitu kingine namuogopa sana Zitto Kabwe,misimamo yake, na matamshi yake, kuhusu EAC. He is among the strongest proponents wa EAC in our parliament. hata alipokuwa kwenye tume ya Wangwe alikuwa akifanya kazi ya "kuwasomesha" wananchi, badala ya kusikiliza wanataka nini.

..well, I hope Chadema watatoa ufafanuzi wa kina kuhusu mkataba wa EAC. ningependa kujua ni vipengele vipi wanakubaliana navyo na vipi wanapingana navyo. wakijieleza vizuri ktk suala hili, na kwa kuzingatia maoni na maslahi ya wananchi, nina hakika wanaweza kusomba kura nyingi sana. press nzima ya Tanzania haikubaliani na masuala ya EAC, sasa Chadema waangalie wanaweza vipi ku-capitalize on that.
 
'mlenge' hebu badilisha herufi moja wapo hapo na uweke herufi ya kwanza ya jina la spika wa bunge.
Hata haina haja ya kumlaumu.
akibadilisha herufi hiyo unayosema akaweka s kama ulivyosema sitta itakuwa ******!
 
Mhhh labda ameamka on the other side of the bed:A S-confused1::A S-confused1::fencing::mad2:
 
Mbona huyu Bw. Mlenge ameorodhesha sababu moja mara tatu na kusema ni tatu?

Wengi wetu tunataka kushiriki katika majadiliano seriously ktk JF. Sio kuandika repeatedly ili eti uturidhishe una la kusema. WanaJF are not that simplistic to believe one is three because of repeatition.

Hata hivyo kuna fears ambazo zimekuwa expressed by wananchi kadhaa kuhusu Tanzania kuingia EAC. Lakini Katiba yetu kwa sasa haikatazi Serikali kuungana na Serikali za jirani. Mlenge alenge ibara ya Katiba na atufafanulie ni ipi hiyo, badala ya kurudia rudia tu kwamba Katiba inakiukwa kwa kuungana na nchi jirani.

Fears zilizoorodheshwa na wananchi zinahusu Tz. kuwa nyuma kiviwanda; WaKenya, Warundi na WaRwanda kuvamia ardhi yetu kwa vile kwao kuna ufinyu wa ardhi; nchi jirani kutokuwa na katiba zinozuruhusu free elections na genuine democracy, kwa mfano Uganda ambako Mu7 anataka kuwa mfalme wa maisha etc.

Lakini pia kuna wanaopinga hao wanaosita kujiunga ktk EAC, kwa kutoa sababu nzito. Kwa mfano soko la pamoja la EAC lenye watu milioni 140 ndilo hasa litatuwezesha kujenga viwanda vya ushindani duniani na kutoa ajira kwa watu wetu. Tunahitaji viwanda vitakavyotumia malighafi za Tz. e.g. pamba ili wakulima wetu wapate soko la nyumbani.

Mini-states will not make it economically in a world of giants. When countries in the developed world e.g Europe, are craving to join up in order to survive, people like Mlenge are arguing for tiny islands and mini countries to go it alone. We talk of economies of scale. We must see beyond our noses.

As for land grabbers, we in Tz. can make local laws to protect the indigenous. As for employment, we should lay some rules also for ensuring that only skills which are not available locally will be recruited from outside Tz. We must have bold, articulate and informed leadership to fight for our rights.

I believe it is leaders like Dr Slaa of CHADEMA, with its stance in favour of WAZAWA, a party unpolluted by graft and grand corruption, full of committed and bold patriots, who can see us through to a successfull EAC in which we should play a leading role.

As for me I shall vote Slaa and CHADEMA.
 
Dr SLAA, yes we can, huyu ni mtanzania wa pili kwa nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo, ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo, ni Dr. Slaa aliesimama mnazi mmoja kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi, ni Dr. Slaa aliesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuelekeza zaidi kwa watanzania, ni Dr.Slaa amesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma, ni Dr.Slaa amekuwa mtanzania baada ya nyerere kutoa hoja zinazomlenga mtanzania maskini, ni Dr.Slaa anaeweza kuthibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma, ni Dr.Slaa anaeweza kuwapa elimu bure watoto wetu pale mlimani achana na longolongo za sisiemu kuwatoza ushuru watoto waulizeni majukwaani wao nyerere aliwatoza ada? kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini? ni Dr. Slaa anaeongelea treni ya umeme kwenda kigoma,dodoma,tabora, mwanza, waulize mpango wao sisiem kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa mababu wetu waliyotumia wakati wa ukoloni hawa hawatutakii mema, hawa hawana tofauti na akina kalupeters, ni Dr.Slaa anaeongelea mfumko wa bei -nani hajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. kwani kuna tofauti gani tanzania na kenya, ethiopia, ambako ni chini ya 20 ya pesa yao? kwanini sisi tuna kasoro gani kuwa maskini kiasi kwamba mtu asafiri kutoka ethiopia kuja dar es salaam afike kabla ya mtu anatoka kariakoo kwenda mwenge? ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matilion ya pesa kutoka migodi yetu ya buzwagi, geita, bulyankulu, tulawaka,nzega,tanzanite hawa wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa wameruhusu wizi huo, ni Dr.Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shinilingi 350 achana na sisiemu inayoshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokizi mahitaji, ni Dr.Slaa anaeweza kusimamia mashirika ya jamii kuleta tija achana na sisiemu wanafyonza michango yetu kule kwani haya mashirkia yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? mbona kwingine yameweza? ni Dr.Slaa anweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu, bila kulipiza visasi, ni Dr,Slaa ambae amepanga kubadili katiba ili Rais afuite matakwa ya waliemwajiri ambao ni wananchi, waulize sisiemu hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe ela? hivi inaingia akilini kweli? hata kama mtu anasemwa ni fisadi hakuna hatua yoyote -naomba niwape heko ITV kwa kuturejeshe kwenye hotuba za mwalimu -katika hotoba yake moja alisema waziri mmoja kule uingereza aliandkwa kidogo tu gazetini kwamba amekutwa na malaya yule waziri alijiuzulu na waziri mkuu hata hakumjibu bali aliteua mtu mwingine, sisiemu hawawezi hayo? eti wanataka ushahidi nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielezlezo? tunaiona rushwa kwa matokeo yake -barabara bilion 200 siku mbili imeharibika kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? hawawezi sisiemu eti wantaka vielelezo -ni Dr.Slaa anaeweza kfanya hayo si tumeona mnazi mmoja aliwataja wote! hapo ni mbunge je akiwa rais watakimbia nchi nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupue muone moto utakavyowaka? tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati-jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekaa chini? we must be seriuos stupid??????? hivi kweli leo watu wanavuliwa nguo njiani kwenda mwanza, shinyanaga, tabora, kigoma, mbeya,lindi, mtwara kwa sababu ya usafiri wa malori???????? fikiaria ni wewe umevuliwa nguop mbele ya mama mkwe wako>??? harafu unaipiagia kula sisiemiu???? nani asie jua madakitari wetu wengi bingwa wapo botswana/ HAPA watu wanakufa tuu, nani asiejua matatizo ya umeme, maji, makzai, maradhi, yanavyotutesa? nani asiejua wakulima wetu waivyokuwa na masoko ya mazao yao, nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga, nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuxchuua kila kitu?? jamani wafanyakzi, wakulima, wanafunzi ni jukumu letu kupeleka habari hata kama vyombo vyetu vya habari ni vya hao hao, hawasemi ukweli hata wao ni maskini na wanakubali kupitia vyombo vyao tuendeee kusema piga na shavu la kushoto, ni Dr. Slaaa dr wa ukweli sio dr wa misifa anaweza kutuvusha tulipo, nchi hii ni maskini wa kujitakia, Tanznia ni tajiri tuna kila kitu mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila kitu? naonea huruma wenzangu waliokunywa maji ya bendari hivi kun mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? hivi kuna mabae hajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja,? wamekosa nini hawa? jamani tuache woga inawezekana mbona kenya wameweza? mbona malawi wameweza?mbona zimbabwe wameweza?mbona ghana wameweza? mbona tunwea kufnya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumia, tunamtuma Dr.Slaa kuwakurupusha kuweka katiba sawa huo ndio msingi wa yote, ni Dr. Slaa asiopgopa mgo,mbea binafsi hawa sisiemeu wanaogopa hwawezi kabisaaaaaaaaaaa, jamani 2010 hakuna kudanganyika, enough is enough achani kudanganyika, nawatamani watu wa kule mara -hakuna kura inaibiwa zote zinasimamiwa, tukibadilika inawezekana tena ni rahisi, peleke ujumbe huu kwa babu na bibi kule kijiji kwa simu kama ipo, au posta, au gari ili mradi wale jamaa waliochoka kuishi wasi ikwapue barua wakidhani ni ela mara daabda ya kuwavua nguo abiria, hii inatia aibu miaka 49 ya uhuru? karne ya 21 shida zote hizi inakera inaudhi na haivumiliki hawa sio wenzetu baba mbunge mjomba katibu wa wizara, biinamu waziri mkuu, wao wao wao na wanataka watiu wasisome ili wasiwe kuhoji wasome wao tuuuuuuuuuuuuuuuuu, wengine 40% ya ada kima cha chini laki 2, utalipaje hiyo 40% tunaonewa tunadhulumiwa, hawtundei haki -yaani wamefika sehemu wansema vijisenti ntamani yule mgaya angepata hivyo vijisent pengine asingejitoa mhanga inauma, hao hao wameandikwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lakini bado wanangangania hawakumbuki maneno ya mwalimu kuhusu wazir wa uengereza, mkubwa nae amewachia tuuuuuuuuuuuuuuuuu si washikaji acha tule good tym jamani tunaumia pisheni wanaoweza waongoze? jamani ifike sehemu ubinadamu uwepo, tupige kura na ninwashauri tongotongotongo zetu zitatuumiza haya Dr.Slaa huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mpeni shoka amalize misitu tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bila hakuna kitu,

Mtanzania mwenye haki ya kikatiba kutoa mawzo yake bila woga tuangane jamani sisi wote ni wana sisiemu lakini maji yamevuka shingo hapa hamna kitu kura tunampa Slaaa lakini tunabaki kuwa sisiemu cha msingi maendeleo bwana kuna ndani hamna kitu
 
Sabode: Kura ikitolewa kwa kigezo cha ushiriki wa Tanzania kwenye EAC, nini tofauti ya Dk Slaa / CHADEMA vs Kikwete / CCM?

Bwana Mlenge tofauti za misimamo katika Ilani kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani kimsingi hazipo.
ukisoma utaona mambo mengi yanafanana kasoro wengine wameweka maboresho na msisitizo katika maeneo machache.
hivyo wewe chagua halafu mambo mengine yatakaa vizuri baadaye tehetehetehe
 
1. Dr. Slaa na chadema wanaunga mkono ushiriki wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenye eac; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na chadema wanaunga mkono ushiriki wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenye eac; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na chadema wanaunga mkono ushiriki wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenye eac; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
mlenge umechanganyikiwa nini?
 
Kilasara said:
Lakini pia kuna wanaopinga hao wanaosita kujiunga ktk EAC, kwa kutoa sababu nzito. Kwa mfano soko la pamoja la EAC lenye watu milioni 140 ndilo hasa litatuwezesha kujenga viwanda vya ushindani duniani na kutoa ajira kwa watu wetu. Tunahitaji viwanda vitakavyotumia malighafi za Tz. e.g. pamba ili wakulima wetu wapate soko la nyumbani.
Kilasara said:
Mini-states will not make it economically in a world of giants. When countries in the developed world e.g Europe, are craving to join up in order to survive, people like Mlenge are arguing for tiny islands and mini countries to go it alone. We talk of economies of scale. We must see beyond our noses.

Kilasara,

..tatizo letu wa-Tanzania ni kufikiri kwamba solutions za matatizo yetu zitapatikana toka nje. Tanzania ndiyo the biggest country, in terms of population, and area, ktk EAC. soko letu limejaa bidhaa toka nje. tumeshindwa ku-take advantage ya soko tulilonalo, sasa tunasingizia kwamba, ili viwanda vishamiri Tanzania, tunahitaji soko la watu 140. hivyo ni lazima tujiunge na EAC.

..swali la kujiuliza ni kwamba: mbona Kenya wameweza ku-industrialize na ku-dominate soko la Afrika Mashariki kabla hata ya hii community? kwanini sisi wa-Tanzania tunaamini ktk kushindwa, kabla hata ya kujaribu kuanzisha viwanda vyetu wenyewe, vinavyotumia malighafi za ndani?

..mnaongelea 'fears' za wanaopinga EAC, lakini tatizo kubwa zaidi ni INFERIORITY COMPLEX ya wanaounga mkono EAC. hawa ndiyo wanaoididimiza nchi hii kwa kuamini kwamba wa-Tanzania hatuwezi kuendelea bila kuwa wanachama wa EAC na kukubaliana na hata yale mambo yatakayoathiri vizazi vijavyo.

..siyo kila nchi inalilia kuungana. Taiwan hawalilii kuwa part ya mainland China. wanaolilia muungano wanafanya hivyo kwa kuangalia maslahi yao ya ndani kwanza. kuna mambo kama ku-attract mitaji, kupanua soko baada ya kutosheleza soko la ndani, upatikanaji wa cheap labor, etc etc, ambavyo nchi husika huangalia kabla ya kuamua kuingia ktk muungano wa aina yoyote.

..mkakati wa Tanzania kujiunga na EAC haujulikani zaidi ya kurudia-rudia kwamba mataifa ya Ulaya yanaungana. je, kila linalofanyika ktk nchi za magharibi lazima na sisi tuige. sasa tukiwauliza mbona Canada na USA hawaungani kuunda the biggest country in the world sijui watasemaje.

..ni maoni yangu kwamba: Tanzania, kutokana na ukubwa wa soko letu, ukubwa wa eneo la ardhi yetu na rasilimali zake, hatulazimiki kuungana na nchi majirani ili kupiga hatua ktk uanzishaji wa viwanda. tunatakiwa kujikita zaidi ktk kuteremsha gharama za uzalishaji, wakati huohuo tukijitahidi kuzalisha bidhaa zenye viwango vya juu.
 
Dr SLAA, yes we can, huyu ni mtanzania wa pili kwa nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo, ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo, ni Dr. Slaa aliesimama mnazi mmoja kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi, ni Dr. Slaa aliesimama bungeni kuomba posho za wabunge kupungzwa kuelekeza zaidi kwa watanzania, ni Dr.Slaa amesimama bila woga kunyosha vidole kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma, ni Dr.Slaa amekuwa mtanzania baada ya nyerere kutoa hoja zinazomlenga mtanzania maskini, ni Dr.Slaa anaeweza kuthibiti matumizi mabaya ya ofisi za umma, ni Dr.Slaa anaeweza kuwapa elimu bure watoto wetu pale mlimani achana na longolongo za sisiemu kuwatoza ushuru watoto waulizeni majukwaani wao nyerere aliwatoza ada? kama si kutaka watanzania waendelee kuwa mambumbu ni nini? kama si kutaka watanzania tuendeleee kuwa watumwa ni nini? ni Dr. Slaa anaeongelea treni ya umeme kwenda kigoma,dodoma,tabora, mwanza, waulize mpango wao sisiem kama si kuwapa wahindi wanaoleta mabehewa mababu wetu waliyotumia wakati wa ukoloni hawa hawatutakii mema, hawa hawana tofauti na akina kalupeters, ni Dr.Slaa anaeongelea mfumko wa bei -nani hajua dola leo hii ni sawa na tsh 1500. kwani kuna tofauti gani tanzania na kenya, ethiopia, ambako ni chini ya 20 ya pesa yao? kwanini sisi tuna kasoro gani kuwa maskini kiasi kwamba mtu asafiri kutoka ethiopia kuja dar es salaam afike kabla ya mtu anatoka kariakoo kwenda mwenge? ni Dr.Slaa anaweza kuzuia wizi wa matilion ya pesa kutoka migodi yetu ya buzwagi, geita, bulyankulu, tulawaka,nzega,tanzanite hawa wameshindwa kwa sababu ni washirka wakubwa wameruhusu wizi huo, ni Dr.Slaa anaeweza kuwalipa wafanyakazi zaidi ya shinilingi 350 achana na sisiemu inayoshindwa kusimamia maliasili ambazo zingeliwapa wafanyakazi kima cha chini kinachokizi mahitaji, ni Dr.Slaa anaeweza kusimamia mashirika ya jamii kuleta tija achana na sisiemu wanafyonza michango yetu kule kwani haya mashirkia yameshindwa nini kuwajengea nyumba wanachama wake? mbona kwingine yameweza? ni Dr.Slaa anweza kuongoza nchi bila woga, kwa utawala wa kweli wa sheria bila kuwaonea watu, bila kulipiza visasi, ni Dr,Slaa ambae amepanga kubadili katiba ili Rais afuite matakwa ya waliemwajiri ambao ni wananchi, waulize sisiemu hata kama mtu kaiba anapewa mda arudishe ela? hivi inaingia akilini kweli? hata kama mtu anasemwa ni fisadi hakuna hatua yoyote -naomba niwape heko ITV kwa kuturejeshe kwenye hotuba za mwalimu -katika hotoba yake moja alisema waziri mmoja kule uingereza aliandkwa kidogo tu gazetini kwamba amekutwa na malaya yule waziri alijiuzulu na waziri mkuu hata hakumjibu bali aliteua mtu mwingine, sisiemu hawawezi hayo? eti wanataka ushahidi nani kawambia rushwa tule wawili harafu tutoe vielezlezo? tunaiona rushwa kwa matokeo yake -barabara bilion 200 siku mbili imeharibika kwanini usimfukuze waziri na katibu wake wa wizara kwanza? hawawezi sisiemu eti wantaka vielelezo -ni Dr.Slaa anaeweza kfanya hayo si tumeona mnazi mmoja aliwataja wote! hapo ni mbunge je akiwa rais watakimbia nchi nawambia tumpe miaka mitano tu awakurupue muone moto utakavyowaka? tutapata dawa, tutapata shule za bure, tutapata madawati-jamani hivi kweli karne ya leo watoto wanasoma wamekaa chini? we must be seriuos stupid??????? hivi kweli leo watu wanavuliwa nguo njiani kwenda mwanza, shinyanaga, tabora, kigoma, mbeya,lindi, mtwara kwa sababu ya usafiri wa malori???????? fikiaria ni wewe umevuliwa nguop mbele ya mama mkwe wako>??? harafu unaipiagia kula sisiemiu???? nani asie jua madakitari wetu wengi bingwa wapo botswana/ HAPA watu wanakufa tuu, nani asiejua matatizo ya umeme, maji, makzai, maradhi, yanavyotutesa? nani asiejua wakulima wetu waivyokuwa na masoko ya mazao yao, nani asiejua asilimia 85 ya watanzania wanatumia vibatari au makoroboi kama mwanga, nani asiejua tunavyonyonywa na hawa wakoloni waliokuja kuxchuua kila kitu?? jamani wafanyakzi, wakulima, wanafunzi ni jukumu letu kupeleka habari hata kama vyombo vyetu vya habari ni vya hao hao, hawasemi ukweli hata wao ni maskini na wanakubali kupitia vyombo vyao tuendeee kusema piga na shavu la kushoto, ni Dr. Slaaa dr wa ukweli sio dr wa misifa anaweza kutuvusha tulipo, nchi hii ni maskini wa kujitakia, Tanznia ni tajiri tuna kila kitu mito, maziwa, national parks, migodi, mazao ya misitu, na kila kitu? naonea huruma wenzangu waliokunywa maji ya bendari hivi kun mtu hajui mapolisi wanalala kwenye vibanda vya mabati? hivi kuna mabae hajui mapolisi watendaji wanalipwa laki moja,? wamekosa nini hawa? jamani tuache woga inawezekana mbona kenya wameweza? mbona malawi wameweza?mbona zimbabwe wameweza?mbona ghana wameweza? mbona tunwea kufnya mabadiliko sahihi, inawezakana na nafasi ni hii tuitumia, tunamtuma Dr.Slaa kuwakurupusha kuweka katiba sawa huo ndio msingi wa yote, ni Dr. Slaa asiopgopa mgo,mbea binafsi hawa sisiemeu wanaogopa hwawezi kabisaaaaaaaaaaa, jamani 2010 hakuna kudanganyika, enough is enough achani kudanganyika, nawatamani watu wa kule mara -hakuna kura inaibiwa zote zinasimamiwa, tukibadilika inawezekana tena ni rahisi, peleke ujumbe huu kwa babu na bibi kule kijiji kwa simu kama ipo, au posta, au gari ili mradi wale jamaa waliochoka kuishi wasi ikwapue barua wakidhani ni ela mara daabda ya kuwavua nguo abiria, hii inatia aibu miaka 49 ya uhuru? karne ya 21 shida zote hizi inakera inaudhi na haivumiliki hawa sio wenzetu baba mbunge mjomba katibu wa wizara, biinamu waziri mkuu, wao wao wao na wanataka watiu wasisome ili wasiwe kuhoji wasome wao tuuuuuuuuuuuuuuuuu, wengine 40% ya ada kima cha chini laki 2, utalipaje hiyo 40% tunaonewa tunadhulumiwa, hawtundei haki -yaani wamefika sehemu wansema vijisenti ntamani yule mgaya angepata hivyo vijisent pengine asingejitoa mhanga inauma, hao hao wameandikwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lakini bado wanangangania hawakumbuki maneno ya mwalimu kuhusu wazir wa uengereza, mkubwa nae amewachia tuuuuuuuuuuuuuuuuu si washikaji acha tule good tym jamani tunaumia pisheni wanaoweza waongoze? jamani ifike sehemu ubinadamu uwepo, tupige kura na ninwashauri tongotongotongo zetu zitatuumiza haya Dr.Slaa huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mpeni shoka amalize misitu tuanze upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bila hakuna kitu,

Mtanzania mwenye haki ya kikatiba kutoa mawzo yake bila woga tuangane jamani sisi wote ni wana sisiemu lakini maji yamevuka shingo hapa hamna kitu kura tunampa Slaaa lakini tunabaki kuwa sisiemu cha msingi maendeleo bwana kuna ndani hamna kitu

Yaani umeshindwa kupanga maandishi yako vizuri? yananichosha kusoma, maana najikuta narudia sentensi zile zile kama ninavyorudia sentensi za mlenge
 
1. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
2. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
3. Dr. Slaa na CHADEMA wanaunga mkono ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye EAC; ushiriki ambao ni kinyume na katiba.
wazimu ukizidi nenda kamwone sheikh yahya
 
Sabode: Kura ikitolewa kwa kigezo cha ushiriki wa Tanzania kwenye EAC, nini tofauti ya Dk Slaa / CHADEMA vs Kikwete / CCM?
Kwa hiyo we una maana kura yako utaitoa based on decision ya wether kujiondoa au kutojiondoa EAC tu basi na hauna sababu nyingine,kama ni hivyo basi we ni M(Herufi ya kwanza ya jina la Spika Sita)LENGE.... NA UNA UWEZO FINYU WA KUPAMBANUA MAMBO,any way,najuilaumu hata kwa nini nimepoteza muda wangu kukujibu
 
Utamchagua nani Ambaye ameahidi kuiondoa Tanzania kwenye EAC?
Sasa kama Dk Slaa ndiye "mpinzani" tunayeimbiwa tumchague, hapingi kuwepo kwa Tanzania EAC, ana tofauti ipi na Kikwete wa CCM? Kwa vile inasemekana JF ni / ina washabiki wengi wa Dk Slaa / CHADEMA, labda atatokea mmoja wa kubainisha sababu kwa nini nimpigie Kura Dk Slaa, ilhali yeye na CCM mawazo yao mamoja? (mtazamo kupitia lenzi ya EAC).
 
Bwana Mlenge tofauti za misimamo katika Ilani kati ya CCM na vyama vingine vya upinzani kimsingi hazipo.
ukisoma utaona mambo mengi yanafanana kasoro wengine wameweka maboresho na msisitizo katika maeneo machache.
hivyo wewe chagua halafu mambo mengine yatakaa vizuri baadaye tehetehetehe
Yaani hata basi wangeamua kutoa 'ahadi hewa' kwamba hawataki EAC, wanaleta wakati mgumu kujua kura apigiwe nani!
 
Kwa wale wote ambao lugha wanayoijua ni kutukana, narudia kusema sina la kuwajibu.

Kila mpiga kura huwa ana jambo analochagua kuliona muhimu na kulitumia hilo kufikia uamuzi wa kupiga kura. Kipimo kimojawapo ni uamuzi wa Tanzania kuwemo EAC. Kwa kigezo hicho, Dk Slaa hangestahili kupata kura yangu kwa vile ni mmojawapo wa anayeunga mkono uamuzi wa Tanzania kuwemo EAC. Ikiwa haungi mkono, hiyo ingekuwa hoja ya kujadiliwa ikiwa yupo mtu hapa anaweza kuthibitisha hivyo.

Kura ni ya siri. Kwa hiyo siwezi kusema kura yangu ningempigia nani.

Sikujiandikisha kupiga kura.

Kama ningejiandikisha, niambie ni kwa nini nimpigie kura Dk Slaa / CHADEMA, wakati wao ndio 'wapinzani' , 'wanamageuzi'? Kikwete na CCM, kwa mtizamo wangu finyu, wamefanya kosa kubwa mno kuitumbukiza Tanzania EAC. Lakini kosa kubwa zaidi ni kwa 'wapinzani' kama Dk Slaa walioamua kukaa kimya au kuunga mkono uamuzi huo.

  1. Dk Slaa / CHADEMA wabadili mwelekeo na kusema bayana hawataki Tanzania iwemo EAC
  2. Dk Slaa / CHADEMA waendelee na mwelekeo waliousema bayana wanaunga mkono EAC, lakini wawe tayari kupoteza kura.
  3. Mashabiki wa Dk Slaa / CHADEMA wawe tayari kustahimili kuona mgombea wao kipenzi anakosolewa, kama ambavyo wagombea wengine wanavyokosolewa.
Baada ya kusema hayo, tafadhali taja sababu tatu kwa nini ningempigia kura Dk Slaa / CHADEMA ilhali anaunga mkono Tanzania kuwemo EAC?
pili, ni kwa nini Dk Slaa anagombea urais, wakati anaunga mkono Tanzania kuwemo EAC?

Mlenge
 
Back
Top Bottom