CHADEMA kwanini mnaandamana kwenda Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN)?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,687
46,376
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
 
Siku zote nyumbu huwa hawajui wakoenda. Wao huvuka hata mto wenye mamba wakijua kabisa wataliwa.
NYUMBU
Nyumbu wangekuwa hawajui wanakoenda kuna siku ungekuta kwa mfano wale wa serengiti wametokezea Dodoma... si hawajui wanakoenda... so inawezekana.
Lakini kwa taarifa yako wana pattern inayoeleweka kabisa ni msimu gani wanaenda wapi. Huwezi Sema hawajui wanakoenda. Na huwa wako na dhamira halisi ya kufika ndio maana wanavuka hata mto wenye mamba hatari.
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Mkuu umeomba tukupe majibu , lakini mbona unatoa risala tena , si ungeacha tukupe majibu ?
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Hebu elezea hapa. Wanapaswa kuandamana kuelekea wapi?

Usituone wajinga
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Kwenda Ofisi za UN nadhani ni symbolic... kuwa unapaza sauti duniani wajue. Haina maana kuwa unakwenda kuishitaki serikali ili UN ichukue hatua dhidi ya serikali.
Ni jinsi ya kudemonstrate kwa upana kuwa kuna shida ndani ya Taifa linalohitaji suluhu.
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Unajua role ya UN ? Kupokea maoni au malalamiko siyo kosa bali kuyatolea maoni na kuchukua upande ndiyo kosa. Wewe unataka mpaka watu wapasuane ndiyo wao waingilie kati wakati wanaweza kuzuia kabla ya kufikia hatua hiyo.
 
Kwan mnawashwa washwa nn?.
Mambo ya CHADEMA tuacheni tutayamaliza wenyewe maana hata mbinu tulizotumia kuwa chama kikuu cha upinzani tunazijua sisi, so relax.
 
Baada ya safari ndefu nitawapokea pale UN, na kuwapa juice na sconse nadhani watashiba na kutawanyika! 😁
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Hawajielewi hao nyumbu
 
Ulitaka waandamane kwenda wapi labda Central police au
Hebu toa ushauri!

Ova
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Wewe inakuuma nini?
 
Kama objective ni kupata uongozi wa dola the end will justify the means, lakini kama ni kwaajili ya watanzania basi wala wasingehangaika na hao externals wangerudi Kwa raia...Hapo ndipo CCM inapokosa mbadala
 
Lema aliwahi kuwachangisha wanachadema ili akaisambazie dunia habari kuhusu awamu ya tano lkn kwa bahati mbaya akakosa ndege hvy zile pesa ikabidi ale na familia yake 😂
 
Chadema wanazingua,
Maandamano wangeyafanya kwenda Bungeni au Wizara ya sheria na katiba, au hata nje ya ikulu japo ni hatari, au mahakama kuu

Ila kujifanya wanaenda kwa UN na USA ambako waTz wengi wanaamini hao watu wana nia ovu na nch yetu ni kujikosea wao wenyewe CHADEMA
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Vijinga hivi vijamaa.
 
Sasa uandamane kwenda wapi? Unataka waandamane kwenda kwa mashetani walioandaa ile miswada ya hovyo kwa makusudi?

Fahamu kuwa hawa mashetani huwa wanakataa hata kupokea fomu za wagombea wa upinzani, sasa uwaambie unaandamana kwenda kwenye ofisi zao, unadhani utawakuta? Lazima watafunga ofisi, halafu watawaweka vibaraka wao migambo ili waje wasingizie kuwa waandamanaji walivamia ofisi zao na waliharibu vitu kadhaa.

Ni uamuzi wa busara kuandamana kwenda kwenye ofisi za taasisi kama UN maana huko kuna watu waliostaarabika. Hoja za CHADEMA zitapimwa na UN kwa kuzingatia maazimio ya UN ambayo Tanzania imeyaridhia na kusaini. Wakiutwa na ofisi ya UN, hawawezi kukimbia, lazima wataenda kutoa maelezo yao.

Halafu unachanganya mambo, nadhani kwa kukosa ufahamu. Ofisi ya UN au mwakilishi wa UN siyo sawasawa na ofisi ya ubalozi au balozi wa nchi fulani.
 
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.

Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?

Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.
Sukari kilo shilling 5000/= je CCM mna Duka lenu mnalonunuwa sukari kilo shilling 2400?
 
Back
Top Bottom