Sababu 6 kwanini sitoenda kuhudhuria mazishi ya mbunge wangu Captain Komba

Kufa siyo Adhabu.na ukifa huendi kupumzika.turejee vitabu vitakatifu na tuzingatie yaliyomo ndani.
 
Sisi sote siku moja isiyokuwa na jina tutaitwa marehemu. Tuisubiri siku yetu na sisi. Ni bahati mbaya hatujui watasema nini kuhusu sisi wakati huo tutakuwa hatuwezi kujitetea. Tuajiandalie kifo chema!
 
Shukrani A. Ngonyani

Attention Seeker... Cheap Popularity.. Low Thoughts...
Usitafute umaarufu wa kijinga wewe... Pamoja na yote binadamu atabaki kuwa binadamu tu... Huna haja ya kumuhukumu Komba... Wewe ukiwa kama nani katika mamlaka ya roho... Wewe umetenda mangapi ya kuwaudhi na kuwaharibia maisha toka uzaliwe mpaka hapo ulipo??? Unadhani una utakatifu wa kumuita Komba alikuwa mchafu...

Kama wewe ni Chadema (am inn as well) unadhani mtoto wa marehemu ambae ni Chadema mwenzio akisoma hapa atajisikiaje?? Kuna wakati mwingine tusitafute umaarufu wa kwenye mitandao huku nafsi zikitusuta...

Think before you act!!!!

Mungu akusamehe bure maana hujui ulitendalo....
Kila binadam ana mapungufu yake,,yako hatuyajui cz hatukufaham vizuri
Mwenye kuhukum.ni ...Allah tu!!
nipo na itikadi tofauti na aliyokua nayo Marehem ..ila majukumu ya Mungu tusiingilie!!!

Hivi kuhukumu maana yake nini? Ninavyofahamu ni kwamba mtu katenda kosa na adhabu anayopewa kutokana na kosa lake ndo hukumu. Kama wale ambao walitaka kumhukumu yule mwanamke aliyezini na yesu akawambia wale waliotaka kumua kwa kumpiga mawe kwamba ambaye hana zambi awe wakwanza kumtupia jiwe huyu mwanamke. Lakini wote walikimbia.

Sasa kutaja kosa la mtu sio kumhukumu mtu naona tunachanganya maneno.
 
Last edited by a moderator:
1. Ni mtu ambaye ameifikisha nchi hapa ilipo kwa kusaidia kurubuni maskini wasio na elimu kwa vinyimbo vyake ili waichague CCM na kuwapiga vijembe wapinzani.

1. Ni mtu aliyehamia Dar badala ya kuishi Liuli au hata Nyasa, huku akijua kuwa yeye ni mwakilishi wa wananchi. Tena huko Dar hadi mtaa anaoishi ukapewa jina lake kwa umaarufu wake.

3. Ni mtu aliyetaka kulitumbukiza taifa ktk machafuko kwa kauli yake ya kuwa iwapo rasimu ya katiba ya jaji warioba ingepita "angeingia msituni kupigana".

4. Ni mtu ambaye hakupenda demokrasia hata kidogo na alitusi mara kadhaa vyama visivyo madarakani na kutoa lugha ya kejeli.

5. Ni mtu aliyemtukana sana jaji Warioba kuliko watu wote nchi hii. Alitoa matusi, kejeli na dharau dhidi ya jaji Warioba huku akiwa anajua/hajui kuwa mzee Warioba alikuwa "mjumbe" tu wa kile walichosema watanzania.

6. Mwanae Komba, Fred alijiunga na chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) punde tu alipomaliza kuchukua shahada yake pale SAUT na akamwelezea tabia ya baba yake kuwa ni "MBAYA" na miongoni mwa watu walioichukia demokrasia ni huyu marehemu

kwa lipi nipange safari kwenda nyumbani kumzika huyu jamaa? Sina wivu wala inda kwa ndugu yangu, mbunge wangu wa kule nyumbani wala chuki nae. "Ila ukweli hastahili kupata pole ya kifo wala faraja ya kifo kutoka kwa wazalendo na wapinga ukoloni weusi"

Shukrani a. Ngonyani

Machi 03, 2015

Dar Es Salaam

Ngonyani@naij.com/sirngonyani@gmail.com

+255 784 37 97 99

kwan uliombwa au kuambiwa ukazike au kujipendekeza kwako.akae liuli kwan komba kwao liuli.au unatafuta umaarushu tu.nashaka sana na upeo wako
 
....hakuna kumjaza maiti masifa ambazo hakuwa nazo,big up kamanda,mie mwenyewe nitamfuata huko huko na AK 47
 
Ngonyani wewe ni mjinga wa kutupwa,Komba kuish Dar na kupeleka huduma kwa wananchi wake haramu,wewe kuishi Dar na kuwatelekeza wazazi wako hapa kijijini halali?. Rudi huku mazazi wako ombaomba sasa hivi, kwanza tulikukuwa hutujui uko wapi asante kwa kufahamisha kuna siku tutawaleta wazazi wako Dar.

hili jamaa ni jinga la kutupwa nahisi linatafura umaarufu.aliyemwambia ukiwa mwakilish wa sehehemu lazima uwepo hapo nan hajui hata mfumo.arudi akavue samaki na dagaa.maisha yamemshinda.kwanza kaombwa akazike au
 
Sababu ya 7.Marehemu kuchukua mikopo mikubwa benki, na kuitumia kuhonga vibinti vidogo,wakati wananchi wake wa Nyasa wanataabika na umasikini wa kutisha.
 
Tangu enzi ya uhai wake marehem tumemjadil sana hapa,mijadala ilionesha hakua mwadilifu,huo ndo ukweli

Ukiwa mkweli na kutoa mawazo na hisia zako huwezi kuwa mnafiki hata siku moja.
Kuna wengine hapa wanajua kabisa nini kilikuwa kinaendelea wakati wa uhai wa JK lakini kwa unafiki tu sasa wanajifanya hakuwa hivyo wakweli wanavyosema.
 
ni jambo la aibu kwako mleta mada, kutumia jina la marehemu ili mradi tuchangie mada yako tu.
 
Tatizo hujui kwa nini watu huenda kuzika.Kuhudhuria Mazishi kwa mtu uliyemchukia sana ni muhimu.Uende ukashuhudie anavyozikwa utupie na udongo urudi umefurahi kuwa uliyemchukia kafa kweli na wewe umeshuhudia na kurusha udongo kwa hasira kwenye kaburi lake.

Halafu kafa kwani anakuona kuwa hujaenda kuzika? Wewe utakuwa na ugonjwa wa akili.Naomba yeyote mwenye namba za hospitali ya vichaa mirembe ampe huyu ngonyani amtumie kwenye simu yake ambayo kaiweka wazi.

hafu alivyo mjinga kaweka na nmba za simu akajua watu watampa mia tano kwa pongez kumbe ni chiz la kutupwa.hawa watu wasio na ajira wanakausumbufu flan kakutafuta sympathy.
 
huyu jamaa post zake zote ni mavi tu moja ya post yake nii hiii mjue kwamba nilichoandika kwamba hawa watafuta ajira wanakausumbufu flani ni kweli.HII NDO MOJA YA POST ZAKE

Mwezi Novemba mwaka 2013 hadi February 2014, nilikuwa jijini Dar Es Salaam ktk mihangaiko yangu ya maisha.

Lakini nikaona si vyema nikae bure, wakati ule suala la watanzania wenzetu kukamatwa ktk viwanja mbalimbali vya ndege duniani wakiwa wanavusha madawa ya kulevya likiwa "hot". Nikaamua kulifuatilia.

Nilifanya uchunguzi binafsi jijini Dar Es Salaam na kujiridhisha kuwa wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya walikuwa wanajulikana bayana mitaani, nikajiuliza; je ni kweli jeshi la polisi halioni watu hawa? Kama vigogo wanaohusika na usafirishaji wa madawa ya kulevya hawapatikani kwa nini isideal na hawa retailer wanaouza madawa ya kulevya mitaani huku wakijulikana?

Nikachunguza na kupita kufanyia utafiti maeneo kadhaa jijini Dar ambako wanauza madawa ya kulevya tena ilipobidi hadi kukutana na wauzaji ili tu kujiridhisha. Kisha nikafanya maamuzi mazito.

Wakati nimesharudi niko Tanga nikamwandikia barua pepe IGP nikimpatia majina na maeneo ya kijiografia hadi nyumba ambazo madawa ya kulevya yanauzwa. Nikaona ni busara pia nika CC; barua ile kwa maRPC wote mikoa yote, na maofisa wote wa jeshi la polisi makao makuu. Baada ya mwezi kupita bila majibu ya mrejesho nikatuma barua kwa njia ya posta(hard copy) kwenda kwa IGP nikimweleza kwa urefu maeneo na majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya ktk maeneo kadhaa jijini Dar Es Salaam. Pia nikampigia simu kwenye namba yake 0754 785 557(IGP Mangu) nikimweleza nimemtumia barua pepe na barua ya nakala ngumu kuja mezani kwake.

Bahati mbaya naamini taarifa ile haikufanyiwa kazi, kwani kulikuwa maeneo ambayo nilitakiwa nitoe ushirikiano na nilikuwa tayari kufanya hivyo muda wowote ikibidi hata kwa gharama zangu, nilimweleza hivyo.

Najua ni hatari kwangu ktk suala hili lakini nilikuwa tayari kufa kwa ajili ya taifa langu, kumwaga damu kwa ajili ya kuleta ustawi wa vijana wenzangu wanaoharibika kwa madawa ya kulevya. Nilidhamiria kumwaga damu yangu ili iwe wino wa kielelezo cha upigaji vita wa madawa ya kulevya.

Kitendo kile cha jeshi la polisi kupuuza taarifa nyeti kama hizi ziliniacha mdomo wazi hadi leo na sijajua nini kusudi lake.
Je linawaogopa drug dealers? Lina maslahi binafsi(personal interest)? Jeshi lote hawakuziona barua zangu zaidi ya 48?

Bado natafakari!!

Shukrani A. Ngonyani,

February 10, 2015

Tanga,

ngonyani@naij.com/Sirngonyani@gmail.com

+255784 37 97 99.

UPDATES.......
Kuna wachangiaji wamedai niweke ushahidi wa vielelezo/barua nilizotuma ili waweze amini.

Nadhani na nafikiri tena upya kuweka hapa. Huenda huu ukawa mtego tu wa wahusika wajue kama majina yao yamo kwenye orodha au la.

Pia ifahamike kuwa mimi ni verified member hapa, natumia jina langu halisi sio kama wao na fake ID zao, pia nimeweka physical adress yangu na mawasiliano yangu hata namba ya simu, nimeweka original passport size yangu kama avatar, mwenye mashaka nami mimi nitamwekea mara tatu kwake.
 
alijichafua mwenyewe kabla hata ya kifo chake iwe fundisho kwa walevi wa madaraka kama alivyokuwa komba
 
shukrani a. Ngonyani

attention seeker... Cheap popularity.. Low thoughts...
Usitafute umaarufu wa kijinga wewe... Pamoja na yote binadamu atabaki kuwa binadamu tu... Huna haja ya kumuhukumu komba... Wewe ukiwa kama nani katika mamlaka ya roho... Wewe umetenda mangapi ya kuwaudhi na kuwaharibia maisha toka uzaliwe mpaka hapo ulipo??? Unadhani una utakatifu wa kumuita komba alikuwa mchafu...

Kama wewe ni chadema (am inn as well) unadhani mtoto wa marehemu ambae ni chadema mwenzio akisoma hapa atajisikiaje?? Kuna wakati mwingine tusitafute umaarufu wa kwenye mitandao huku nafsi zikitusuta...

Think before you act!!!!

umempa makaavu vyema.lengo la huyu jamaa ni kutafuta umarufu ndo mana hat anatumia jina lake picha yaake na namba ya simu.alishawai mtumia igp majina ya wala na wauz unga eti kwa madai kafanya utafiti na yuko tayari kushirikishwa alijua atapewa kazi ya usalama.aaaaaaahaa mavi kweli huyu jamaa
 
Last edited by a moderator:
Hayo uliyoandika hapo juu japo kuwa upo CDM ila bado nimekuona huna kitu ulichoandika still politics hata kunako msiba.
ngoja nikusamehe kwasababu kila roho itaonja MAUTI.Hata usipoenda msibani still huna mamlaka ya kumhukumu.
Nimesoma akili yako tupa kule Komba ndio kaondoka story zake zimeisha huwezi sema mabaya yake tena.Kama unatafuta kick sema kwa alitakaye kuja hapo umebugi man.NEXT.
JAPOKUWA SISIMU SIIIPENDI.rai yangu usisome mawazo yangu.
 
Shukrani A. Ngonyani

Attention Seeker... Cheap Popularity.. Low Thoughts...
Usitafute umaarufu wa kijinga wewe... Pamoja na yote binadamu atabaki kuwa binadamu tu... Huna haja ya kumuhukumu Komba... Wewe ukiwa kama nani katika mamlaka ya roho... Wewe umetenda mangapi ya kuwaudhi na kuwaharibia maisha toka uzaliwe mpaka hapo ulipo??? Unadhani una utakatifu wa kumuita Komba alikuwa mchafu...

Kama wewe ni Chadema (am inn as well) unadhani mtoto wa marehemu ambae ni Chadema mwenzio akisoma hapa atajisikiaje?? Kuna wakati mwingine tusitafute umaarufu wa kwenye mitandao huku nafsi zikitusuta...

Think before you act!!!!
nimekuhurumia sana kijana , pole sana kwa mapovu mengi ! Hivi huyu Komba alivyokuwa akitukana watu hakujua kama ana watoto ?
 
Last edited by a moderator:
Mama Makinda amemuombea MSAMAHA JANA.

Kwa nini hakuomba yeye mwenyewe kabla ya kufa? Huyu Makinda nae sijui wa wapi. Alikuwa anombea msamaha nani. Roho ya Komba au limwili lake?

Basi na tujifunze kuelekeza nguvu nyeusi kwa watu wenye nguvu nyeupe, maana kwa kufanya hivyo hizo nguvu nyeusi zitakurudia wewe.
 
Je, usipoenda kumzika hatazikwa?
Itasaidia nini kugombana na maiti?

.................Pumzika kwa amani John Komba.
Marehemu alikuwa siyo mpenda amani,hadi alitishia kuingia msituni.Sasa kwenye msitu wa moto atapumzikaje.
 
umempa makaavu vyema.lengo la huyu jamaa ni kutafuta umarufu ndo mana hat anatumia jina lake picha yaake na namba ya simu.alishawai mtumia igp majina ya wala na wauz unga eti kwa madai kafanya utafiti na yuko tayari kushirikishwa alijua atapewa kazi ya usalama.aaaaaaahaa mavi kweli huyu jamaa

wewe ndio bure kabisa hivi mtu anayefahamika nchi nzima kwa uzalendo wake aje kutafuta umaarufu hapa !
 
Mkuu pale kwenye vigezo namba 1 na namba 5 , ni makosa ambayo mtu akiyatenda basi bila kumung'unya maneno adhabu yake ni moto wa milele .
 
Back
Top Bottom