Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,271
- 2,025
Hakika naona Mambo si Shwari juu ya Suala la KATIBA MPYA.Ukimya wa SERIKALI Unaadmshuria UGUMU wa Suala hilo.Binafsi niliamini Suala hili kwa kuwa sio geni kwa Watanzania kutokana na UZOEFU tulioupata wakati wa TUME ya WARIOBA ingekuwa ni kuyapitia MAPUNGUFU yaliyojitokea wakati ule na Kuyarekebisha na pia Kuwapitia Wananchi Ambao hawakupata nafasi ya kutoa MAONI na MAPENDEKEZO yao.
Mara ya Mwisho kusikia Kauli juu ya KATIBA MPYA ni kuwa Mchakato unatakiwa uanze upya kwa wananchi kupewa Elimu ya Katiba Elimu ambayo TUME ya Jaji WARIOBA iliifanya kwa Kugawa Nakala za Katiba iliyopo na VIPEPERUSHI vyake kwa Wananchi wote.
Baada ya hiyo Kauli hakuna kinachoendelea badala yake ni KUANZA kwa KAMPENI za kumwombea KURA kiongozi wa CCM kabla ya Muda wa Kampeni kuanza na TUME ya Uchaguzi ambayo SIO HURU ipo kimya na MSAJILI wa VYAMA nae yupo Kimya Kama vile hayupo Nchini.
DEMOKRASIA ya kweli ni Uwepo ya KATIBA ya WANANCHI TUME HURU YA UCHAGUZI na Uchaguzi Wa HAKI.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app