Wakuu,
Kuna sababu tatu za kutokea kwa vifo ktk mikutano ya Chadema . Sababu ya kubwa ya kwanza iliyonifanya hata leo nilete uzi huu hapa ni maelezo ya rafiki yangu anayefanya kazi ktk mmoja ya taasisi za serikal akinitonya kwamba, serikali inataka kutunga sheria ya kuzuia ama kuthibiti mikutano ya hadhara na maandamano kama ilivyokwisha dokezwa na mwanasheria mkuu wa serikali Bungeni. Tatizo kubwa ambalo linawakabili mpaka sasa serikalini, ni kukubalika kwa sheria hiyo mbele ya Umma. Hii inatokana na baadhi ya maofisa (yeye amewaita objective) wanadhani kwamba itapingwa sana na vyama vya siasa na hata wananchi hawataiunga mkono sheria husika. Mmoja ya mapendekezo ni kwamba ili kupunguza vurugu na usumbufu ktk mikutano na maandamano, viogozi wasiruhusiwe kwenda kwenye majimbo yasiyo yao kisheria (Hoja ya Anne Kilango Bungeni) bila kupata ruhusa na bila sababu inayoeleweka. Huyo bwana akasema, nina wasiwasi na vifo hivi na harakati zinaendelea huku serikalini za kuhalalisha sheria hiyo ambayo yeye pamoja na kufanya kazi kwa miaka mingi serikalini, ana ona kama ni mbovu kabla hata draft ya kwanza yenyewe haijaandaliwa.
Hoja ya pili kubwa sana ni hao Maofisa objective wanaopinga sheria hiyo, wanadhani kwamba sheria hiyo itagombanisha serikali na wafadhili kiasi cha kuzuia misaada na mikopo. Hoja hii ya pili ya wapinzani wa sheria hii ndio yenye nguvu kuliko kuliko ile ya kwanza. Sasa yeye ananiuliza, hebu fanyeni utafiti isijekuwa yanajengwa mazingira ya kuwalainisha wahisani na kuhalalisha sheria hiyo kabla sheria haijatungwa na hamjazuiwa kufanya shughuli zenu za kisiasa.
Kwa maoni yake japokuwa hana ushahidi, vifo hivi na utata unaozingira vifo vyenyewe kunaweza kuwa na uhusiano na taarifa zake. (Hayo ni ya rafiki yangu aliyoniambia)
Sababu ya 2; Vifo vya Singida na Morogoro, kwa nini vinaweza kuwa na mkono wa mtu.
Kifo cha Singida kwa kiwango kikubwa ina halalisha (justify) maelezo ya huyo rafiki yangu. Hii ni kwa sabau, Katika mikutano iliyofanyika Singida, viongozi wa Chadema walipata taarifa kuwa vurugu zitatokea ktk mkutano wao. Wakaomba ulinzi wa kutosha wa Jeshi la Polisi. Pamoja na kutoa taarifa polisi na polisi kuwepo, bado vurugu hizo zilitokea na mtu akafa katka mazingira ya kutatanisha viongozi hao wakiwa wameshaondoka. (Singida polisi hawakuhusishwa, lakini ndipo kulipo na ile kambi ya vijana wa ccm iliyofichuliwa na Dr Slaa). Baadaye polisi na ccm wakajenga mazingira ya kukihusisha Chadema. Chadema walipeleka hoja hiyo bungeni ili ijadiliwe kwa undani na ukweli ujulikane, wakakwama pamoja na kuiweka kwa urefu ktk maoni ya msemaji wa kambi hiyo walizuiwa kusoma. Kitu gani kinafichwa?
Morogoro.
Morogoro polisi waliua. Mashuhuda wapo. Polisi ikajiundia kamati ya kujichunguza chap chap na kuleta matokeo feki kwa kiwango cha kutia aibu. Pili, kwa mujibu wa taarifa zilizotoka Jf na baadhi ya magazeti, kuna tetesi za wanandugu kushawishiwa ili kuichafuaChadema. Sakata hili lina maswali ya kujiuliza kama ifuatavyo. Kwa nini Chadema walikwekewa mizengwe kushiriki msiba huo. Kwanini wanandugu wa marehemu Ali ambao mwanzoni walikuwa wanaandaa mazishi vizuri na Chadema wakageuka ghafla na kutumia msiba huo dhidi ya Chadema kama hakuna mkono wa ccm na serikali? Tatu, ni lini ccm na serikali walikaa na kuwashawishi wanandugu wa Marehemu Ali dhidi ya Chadema ktk kipindi kifupi namna hii kama hamna maandalizi, kabla ya kifo? Ktk siku mbili waliwezaje kulifuatilia asili yake na wakawa tayari kwenda mkoa wa Tanga kutafuta ndugu zake kuwashawishi? Naomba kushawishiwa kuwa yote haya hayana maandalizi ya kabla.
Mmoja ya comment hapa chini [QUOTE=Ndukidi; Siku tatu kabla ya mkutano wa Morogoro Nape Nnauye akongea kwenye radio moja, alisikika akishauri wananchi wa Morogoro wasiende kwenye mkutano wa CDM kwani kutatokea vurugu na wanaweza kuumia.. alikuwa anaongea kama vile kuna mpango funali, nilikuwa namsikiliza na watu wengine , kuna mtu akasema mbona anaongea hivi , au wamepanga kufanya vurugu.. kilichotokea baada ya hapo wote tunajua...
Binafsi namini huu ni mkakati wa serikali kutaka ama kufuta CDM, au kupiga vita mikutano ya CDM kabisa.
Everyone is crying out for peace yes
None is crying out for justice
(2x)
(CHORUS)
I don't want no peace
I need equal rights and justice (3x)
Got to get it
Equal rights and justice
Everybody want to go to heaven
But nobody want to die
Everybody want to go to up to heaven
But none o them (2x) want to die
CHORUS
(Just give me my share)
What is due to Caesar
You better give it on to Caesar
And what belong to I and I
You better (2x) give it up to I
CHORUS
(I'm fighting for it)
Everyone heading for the top
But tell me how far is it from the bottom
Nobody knows but
Everybody fighting to reach the top
How far is it from the bottom
CHORUS
Everyone is talking about crime
Tell me who are the criminals
I said everybody's talking about crime, crime
Tell me who, who are the criminals
I really don't see them
CHORUS
There be no crime
Equal rights and justice (Precedes each line below)
There be no criminals
Everyone is fighting for
Palestine is fighting for
Down in Angola
Down in Botswana
Down in Zimbabwe
Down in Rhodesia
Right here in Jamaica
by Peter Tosh.
Somo zuri sana.
Ukweli mtupu.
upuuzi mtupu. Wa- tz wanaendelea na sensa, wewe na ucharu wako unafanya mikutano ya hadhara. Ulikuwa wapi kufanya mikutano hiyo kuwaamasisha waislamu wasiigomee sensa. Kama kweli unaipenda nchi hii wakati huu si wakati wa mikutano ya hadhara hadi sensa ipite.
tena ndugu zangu nawapa taadhali sana, kuenda huko ni kwenda kujitafutia kuwa "sacrifice" za madaraka ya watu. Kwani walishajitangazia uwekundu ktk bendera yao. Kitu ambacho wahenga wetu walikubaliana kuwa kisiwepo ktk flag yetu. lakini kwa vichwa vyao vigumu wanasisitiza kuwepo kwa rangi hiyo.
Niaminivyo Slaa ni picha tu pale, wanywa damu na waroho kwa sasa wamejificha kabisa wakiwauwa mmoja mmoja kama kafara kwa kila mkoa hadi mikoa yote imalizike.
M4C hhhhoooyyyyeeeeeeee!!!!!
Sababu ya 2; Vifo vya Singida na Morogoro, kwa nini vinaweza kuwa na mkono wa mtu.
Kifo cha Singida kwa kiwango kikubwa ina halalisha (justify) maelezo ya huyo rafiki yangu. Hii ni kwa sabau, Katika mikutano iliyofanyika Singida, viongozi wa Chadema walipata taarifa kuwa vurugu zitatokea ktk mkutano wao. Wakaomba ulinzi wa kutosha wa Jeshi la Polisi.
Morogoro.
Morogoro polisi waliua. Mashuhuda wapo. Polisi ikajiundia kamati ya kujichunguza chap chap na kuleta matokeo feki kwa kiwango cha kutia aibu. Pili, kwa mujibu wa taarifa zilizotoka Jf na baadhi ya magazeti, kuna tetesi za wanandugu kushawishiwa ili kuichafuaChadema. Sakata hili lina maswali ya kujiuliza kama ifuatavyo. Kwa nini Chadema walikwekewa mizengwe kushiriki msiba huo. Kwanini wanandugu wa marehemu Ali ambao mwanzoni walikuwa wanaandaa mazishi vizuri na Chadema wakageuka ghafla na kutumia msiba huo dhidi ya Chadema kama hakuna mkono wa ccm na serikali? Tatu, ni lini ccm na serikali walikaa na kuwashawishi wanandugu wa Marehemu Ali dhidi ya Chadema ktk kipindi kifupi namna hii kama hamna maandalizi, kabla ya kifo? Ktk siku mbili waliwezaje kulifuatilia asili yake na wakawa tayari kwenda mkoa wa Tanga kutafuta ndugu zake kuwashawishi? Naomba kushawishiwa kuwa yote haya hayana maandalizi ya kabla.
Machozi yamenitoka kwa maauji ya IRINGA na MOROGORO
jikaze mkuu acha kulia lia beba silaha twende mbele kusaka uhuru kwani hata mkoloni mweupe aliua lakini hakumwaga utumbo kama vile huyu mkoloni mweusi(ccm) sijui kajifunza wapi......kamata silaha tukapambane ukifa au nikifa weka mzoga wangu pembeni songeni mbele na mapambano....mwangosi amepambana damu yake ni chachu kwetu...ole wake anaye cheka sasa maana kesho atasaga meno na kulia,mafisadi wacheke leo lakini 2016..............!God know