Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
Miezi michache ijayo kipute cha uchaguzi wa serikali za mitaa kitaanza, Chadema inatakiwa ikamilishe chaguzi za ndani na pia ijiandae kwa uchaguzi Serikali za Mitaa, cha kushangaza uongozi kwa makusudi hawafanyi lolote zaidi ya maandamano.
Hii si mara ya kwanza, kila unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema wahuni wachache wanaotaka kubakia kwenye nyadhifa zao hulazimika kuanzisha schemes za kuwabakisha madarakani kwa kuvuruga chaguzi au kuzisubirisha bila sababu ya msingi. Wote tunajua hii mchezo huu unafanywa na Mzee wetu Mbowe.
Bila kujali athari zake, nimeamua kutoka ili nieleze umma na kuwataka wanazuoni wa chadema kuchukua hatua haraka kukinusuru chama chenu dhidi ya uhuni unaofanywa na baadhi ya viongozi. Anayetaka kubisha aseme ni tija ipi imepatikana kwa maandamano ya Dar es salaam na Mwanza?
Mwisho, ikiwa mikutano ya hadhara imeruhusiwa na haifanyiki, Je ni sababu gani inayokwamisha? Kama ni Fedha, tayari chama kimepokea mabilioni ya ruzuku, fedha hii inatumika wapi? Na kama imetumika tayari ni nani anayedhamini maandamano ya Chadema ila hataki kudhamini mikutano ya hadhara ili kujenga chama? Jibu liko wazi ni utapeli tu, ifike wakati wanazuoni ndani ya Chadema wajitokeze kukemea uhuni unaoendelea kuangamiza uhai wa chadema.