This is so touching, the former Commissioner for budget was capable enough to the post. That lady knows her job and has enormous and wide exposure. Wauza sura ndiyo jadi yetu. Mungu ibariki JMT.SASA HAO WALIOMPIGIA DEBE SAADA HAWAKUWEZA KUFANYA HEADHUNTING NA KUMPATA MTU MWENYE CALIBER YA MAMA NGOZI?
HARVARD
MIT
FULL OF CONFIDENCE
CAREER WORLD BANK
MWANAMKE
naamini tanzania wapo. lakini hawajapewa nafasi wengine wako diaspora na kwingine.
mkulo alikuwa na degree feki
huyu mediocre na hafai hata kuwa headmaster wa shule ya msingi ya vikokotoni let alone mzumbe
hii ni aibu sana kwa wanawake wa tanzania na zaidi wanawake wa zanzibar, pwani na waswahili
is this the best you can come up with?
Jamani leteni majina ya candidates wanawake ambao wangeweza kumreplace huyu mediocre
Hata Hitler alionekana hodari/bora na baadhi ya wananchi wake hata kama hakuwa na PhD!
MKULO ALIKUWA NA DEGREE FEKI
HUYU MEDIOCRE na hafai hata kuwa headmaster wa shule ya msingi ya Vikokotoni let alone Mzumbe
Hii ni aibu sana kwa wanawake wa Tanzania na zaidi wanawake wa Zanzibar, Pwani na waswahili
Is this the best you can come up with?
JAMANI LETENI MAJINA YA CANDIDATES WANAWAKE ambao wangeweza kumreplace huyu mediocre
Inaonekana kuna tatizo la uelewa. Hivi ili mtu awe msomi anatakiwa asome nini na katika kiwango gani? Kama ni usoma kasoma na kama utendaji tungoje tuone. Tusiandikie mate wakati wino upo.Huyu binti, kama tu ni upendeleo kwa vile "msichana", basi at least angepewa naibu waziri wa Wizara ya Biashara na viwanda. Waziri wa Fedha na Uchumi? Hapana! Atawezaje kutuwakilisha kny International Monetary bodies with the level of education she posseses!!??
Inanikumbuasha kipindi cha Alli Hassan Mwinyi alipomteua Hawa Ngulume, aliyekuwa mpika chai ofisini, kuwa Area Commissioner, akim- replace na msomi Generali Twaha Ulimwengu! Maajabu. Only in Tanzania
Hahahahahaha........Ukishaona mtu anaweka mpaka shule ya msingi na sekondari kwenye CV, ujue kuna tatizo.
Mkuu wakwetu usimguse yupo intern! wizarani anafanya phd yake chuo kikuu huria Tanzania! period