naomba ufafanuzi hapo kwenye redTimu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao
kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono
Mkuu usiwachukulie poa Uganda.Timu ya taifa ya rwanda inatarajia kuchukua ubingwa wa cecafa muda mfupi ujao
kwa niaba ya watanzania tunawatakia mchezo mwema na ushindimunono